Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
Kama unaona hizo hela ni kitu Cha maana kuliko uislam hamia huko ugalatiani.
 
Kwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?
Hakuna atakaye kuchapa,je boss katoa option ya watu kwenda msikitini?

Wakati nipo Mzumbe versity kuna lecture moja madam alikuwa anatufundisha law mwaka wa kwanza,nilikuwa nikitoka msikitini nikija lecture hunizuia kuingia anaona namdharau kwa kuchelewa kipindi chake

Sasa huenda kuna mazingira ambayo maboss wengine hawataki,je hapo huoni ni shida
 
Kwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?
Mimi binafsi naenda kuswali,nishawahi acha kazi kwa kuambiwa nichague kuswali au kufanya kazi,nikachagua kuswali

Najua anayetoa ridhiki ni Allah,na kweli baadae nikapata kazi nyingine tena bora kuliko ile

Ila kwa ujumla ni bora kuheshimu siku ya ibada ya waislamu ya ijumaa,kwani hawawezi panga mda mwingine?
 
Bahati mbaya kila mtu anadai siku ya kuabudu, wakati Mungu katupangia siku moja tu katika juma. Kwani vitabu vya kiimani viwili vinasemaje ? Sasa Muislam, msabato, mjumapili wote wanaidai serikali mapumziko. Je siku 4 tu za wiki zilizobaki zinatosha kwa maendeleo ????
 
kwe
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.

"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)
kwene ofici yangu siruhusu ni either uache kazi ufuate dini au ufuate kazi

Anzisha kampuni yako boss
 
Kwani kuna anayewakataza kwenda kumuabudu allah ijumaa? Waende tu. Halafu we jamaa acha basi uchochezi wa kidini. Umewahi kusikia au kusoma wakristo wakijibagua na kutaka matakwa yao binafsi katikati ya jamii kubwa mchanganyiko nchini Tanzania? huo ni ubaguzi wa kidini na ni upuuzi na ushenzi
Ukiona mtu anaendekeza ubaguzi wa kidini au kulalama lalama ili kupata haki anayoona amepokwa ya kiimani wengi wao ni masikini na makapuku kuanzia akilini(ubongo) hadi mfukoni.Ukiwa bize na mambo yako ya msingi huwezi pata muda wa kulia lia kupewa nafasi ya kiimani. Nchi haina dini muda wa kazi watu wafanye kazi. Asiyetaka aache aende kufanya kazi taasisi za kidini.
 
wakristo wapo upstair na mambo ya imani, hiyo jumapili utakuta wana ibada/misa mbili asubuhi na mchana ili watu wapate muda wa kufanya kazi zao, unachagua uingie misa/ibada ya muda gani. Watu waende wakafanye kazi baada ya ibada
 
Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
Sababu ni hii👇🏽👇🏽 na nyie jengeni zenu Serikali uwape mabilioni👇🏽👇🏽
The Health Department coordinates and strengthens health services provided by Church health facilities falling under the Tanzanian Episcopal Conference (TEC) and the Christian Council of Tanzania (TEC). Currently, these facilities total more than 900:

  • 103 hospitals (2 Zonal Referral Hospitals, 10 Regional Referral Hospitals, 37 District/Council Designated Hospitals, and 54 Voluntary Agency Hospitals);
  • 102 health centres; and
  • 696 dispensaries.
In addition, Churches also offer pharmaceuticals services; operate 62 middle cadre health training institutions, as well as 2 universities and 3 constituency colleges that provide health education.

In terms of coverage, the Churches own 42% of hospitals in Tanzania.
 
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.

"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)

Ndugu yangu mambo mengine ni kukuza chuki tu bila sababu za msingi. hakuna sababu ya bandiko la kukuza chuki unless kuna mtu anakatazwa kwenda kuswali.

Wote tunaruhusiwa kwenda kusali, sijawahi kukatazwa kwenda Ijumaa hata mara moja, cha muhimu toa taarifa muage mwenyekiti au boss.. ukirudi unaendelea na kikao

Huyo anayekatazwa kwenda Ijumaa msikitini labda itakuwa sio serikalini, huko labda ni private sector..ila serikalini msiwasingizie mimi nipo humu na Ijumaa tuanaenda kuswali bila shida...
 
Bahati mbaya kila mtu anadai siku ya kuabudu, wakati Mungu katupangia siku moja tu katika juma. Kwani vitabu vya kiimani viwili vinasemaje ? Sasa Muislam, msabato, mjumapili wote wanaidai serikali mapumziko. Je siku 4 tu za wiki zilizobaki zinatosha kwa maendeleo ????
Boss kwa kawaida jmosi na jpili si ni mapumziko kiserikali?
Kuhusu private sector hapo tena boss ndio ataamua
 
Back
Top Bottom