Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

Unapiga kelele humu kana kwamba waislam ni kikundi kidogo katikati ya kundi kubwa la wakristo na wapagani, unawapigania haki zao unazoona hawapati. Huko ni kubagua watu wa nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini. Tanzania haiongozwi kwa misingi na itikadi za kidini, ni nchi huru raia wake wako huru kuamini na kuabudu dini na imani waitakayo. Acha kuweka alama za kibaguzi wa kidini kuwa waislam na uislam ndio kundi la kipekee kupata kila wakitakacho, kufanya waislam ndio kundi maalum kuliko mengine. Mbona wakristo huwa hawajitengi na kujiona wao ni bora kuliko wengine badala yake huona watu wote ni sawa na Mungu anawapenda hata kama si wakristo
 
Umeandika mistari mingi lkn yote ni utumbo mtupu. Hebu summary ulichokiandika
 
Waislam wenyewe wanasemaje kwani?
Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
 
Mahkama ya Kadhi imeshindikana kuweka mpaka leo .Unasema mambo kijuu juu tu.
 
Mkuu@"loth hema umebadilika sana sio kama zamani ulikuwa na religion extremity ila kwasasa umebadilika sana vp umepata mchepuko wa kiislamu au?
 
Waislam wenyewe hawataki kwenda msikitini. Utawalazimisha?
 
Nimeipenda hii
 
Wewe mbona unapiga sana makelele mpaka huku back bencher tunakusikia

Wakristo ibada yao ni jumapili na jumamosi huwa sio siku ya kazi lkn sisis waislamu ibada yetu ya swala ya ijumaa ipo siku za kazi,ndio maana imeletwa hoja hiyo,shida iko wapi?

Je una shida na hilo?
 
Wakiristo kwenda kanisani ni option. Muislam ni lazima kwenda msikitini
Kàma ni lazima kuna hawà àmbào hawaendi wanafanywa nini?
Hàpa Pemba mess ya jeshi machomànne kuna msikiti na bàr. Kuna hawa wàñaolewa badala ya kwenda kuswàli njoo utoe fatwa maana umesema kwenda msikitini ni lazima,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…