Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kama unaona hizo hela ni kitu Cha maana kuliko uislam hamia huko ugalatiani.Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
Anataka kila hatua ya kikao awepo weka kumbukumbuKwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?
Mbona MUM inatoa wahitimu bora kabisaEti wewe naye ulifanya presentation chuo kikuu.Itakuwa ni MUM hii
Who told you worshiping God is option according the Bible. Leviticus 23:3Wakiristo kwenda kanisani ni option. Muislam ni lazima kwenda msikitini
Sasa kama ni lazima kwanini useme wawe wanaruhusiwa vipi asiporuhusiwa??Wakiristo kwenda kanisani ni option. Muislam ni lazima kwenda msikitini
Hakuna atakaye kuchapa,je boss katoa option ya watu kwenda msikitini?Kwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?
MUM ya Tanesco,shirika la umma waliyopewa bure na Marehemu Mkapa.Mbona MUM inatoa wahitimu bora kabisa
Mimi binafsi naenda kuswali,nishawahi acha kazi kwa kuambiwa nichague kuswali au kufanya kazi,nikachagua kuswaliKwani ukisitisha wewe kukàa Hapo kikaoñi ukaenda kuswali nani àtakuçhàpa màkwaju?
Bahati mbaya kila mtu anadai siku ya kuabudu, wakati Mungu katupangia siku moja tu katika juma. Kwani vitabu vya kiimani viwili vinasemaje ? Sasa Muislam, msabato, mjumapili wote wanaidai serikali mapumziko. Je siku 4 tu za wiki zilizobaki zinatosha kwa maendeleo ????Mimi binafsi naenda kuswali,nishawahi acha kazi kwa kuambiwa nichague kuswali au kufanya kazi,nikachagua kuswali
Najua anayetoa ridhiki ni Allah,na kweli baadae nikapata kazi nyingine tena bora kuliko ile
Ila kwa ujumla ni bora kuheshimu siku ya ibada ya waislamu ya ijumaa,kwani hawawezi panga mda mwingine?
Wapi imeandikwa, ficha ujinga uheshimike.Wakiristo kwenda kanisani ni option. Muislam ni lazima kwenda msikitini
kwene ofici yangu siruhusu ni either uache kazi ufuate dini au ufuate kaziBaadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.
"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)
Ukiona mtu anaendekeza ubaguzi wa kidini au kulalama lalama ili kupata haki anayoona amepokwa ya kiimani wengi wao ni masikini na makapuku kuanzia akilini(ubongo) hadi mfukoni.Ukiwa bize na mambo yako ya msingi huwezi pata muda wa kulia lia kupewa nafasi ya kiimani. Nchi haina dini muda wa kazi watu wafanye kazi. Asiyetaka aache aende kufanya kazi taasisi za kidini.Kwani kuna anayewakataza kwenda kumuabudu allah ijumaa? Waende tu. Halafu we jamaa acha basi uchochezi wa kidini. Umewahi kusikia au kusoma wakristo wakijibagua na kutaka matakwa yao binafsi katikati ya jamii kubwa mchanganyiko nchini Tanzania? huo ni ubaguzi wa kidini na ni upuuzi na ushenzi
product za MUM ni kituko, kama umesoma huko bora ukae kimya tu maana utaonekana ni mdini na una IQ ndogo halafu ika brain washedEti wewe naye ulifanya presentation chuo kikuu.Itakuwa ni MUM hii
wakristo wapo upstair na mambo ya imani, hiyo jumapili utakuta wana ibada/misa mbili asubuhi na mchana ili watu wapate muda wa kufanya kazi zao, unachagua uingie misa/ibada ya muda gani. Watu waende wakafanye kazi baada ya ibadaUkiona mtu anaendekeza ubaguzi wa kidini au kulalama lalama ili kupata haki anayoona amepokwa ya kiimani wengi wao ni masikini na makapuku kuanzia akilini(ubongo) hadi mfukoni.Ukiwa bize na mambo yako ya msingi huwezi pata muda wa kulia lia kupewa nafasi ya kiimani. Nchi haina dini muda wa kazi watu wafanye kazi. Asiyetaka aache aende kufanya kazi taasisi za kidini.
Sababu ni hii👇🏽👇🏽 na nyie jengeni zenu Serikali uwape mabilioni👇🏽👇🏽Serikali inawapa mpunga Wakristo wa makanisa yote Bill 7 kila mwaka wakati waislamu senti mbovu hawapewi sijui kwa nini ?Wakristo hawakupigania UHURU .Sijui imekaaje ndio maana wkristo ukitaja UISLAMU povu linawatokaa.
Sasa si mpeleke pendekezo Bungeni humu JF mnapoteza muda- andikeni mnayotaka mpeleke Bungeni iwe SheriaTunataka mda huo vikao visitishwe tukaswali period
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.
"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)
Boss kwa kawaida jmosi na jpili si ni mapumziko kiserikali?Bahati mbaya kila mtu anadai siku ya kuabudu, wakati Mungu katupangia siku moja tu katika juma. Kwani vitabu vya kiimani viwili vinasemaje ? Sasa Muislam, msabato, mjumapili wote wanaidai serikali mapumziko. Je siku 4 tu za wiki zilizobaki zinatosha kwa maendeleo ????