Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam wengi "msikitini hawaonekani na kwenye kumbi za starehe wanatafutwa. (Secular temptation)
Wanafunzi wa kiislam wakike wanavaa hijabu kama fashion na au sare tu au tu wajulikane ni waislam lakini sio kwa lengo la kujistiri, wakati wanarudi shule utakuta wamevivua vijuba viko kwenye bag wamebakiwa na vikofia, mtaani ndo hawavai kabisa.
Masheikh asilimia kubwa hawana mishahara, wanategemea sadaka, pamoja na hali hiyo bado wanashindana kuongeza wake au kuoa na kuacha. wapo ambao pia wanaamini mtoto wa kike akisoma ataharibikiwa. lakini sasa hata wale ambao hawajasoma elimu ya secular wakbaki tu nyumbani wakaolewa, nao pia huharibikiwa. wengi wa mashekh na maustadh wanajifunza uganga ili wapate kuingiza chochote, saa 11 alfajiri anaswalisha, saa moja yupo kilingeni (evil).
kwa sababu hiyo kuna baadhi ya wakristo nao bado wanaamini ukimuna sheikh ana ndevu, ujue anafuga majini 12 (pathetic).
Kuna wavaa vipedo na nusu uchi ambao wana ma baibui yanayovaliwa mwezi wa Ramadhani, kuna walevi wanaoacha kunywa pombe mwezi wa ramadhani, kuna wazinifu wanaopeana break mwezi wa ranadhani. sikukuu ya eid watu wanasherehekea kwa mengi.
wachache wameweza kuweka uwiiano wa maisha , wapo walioshindwa kabisa na kutotoa mahuru na wengi wako kati na kati. (hypocrisy)
Wapo wanaoamini wataweza kuusambaza uislam na dunia nzima itaua waislam, either kwa nguvu (extremist) au kwa mawaidha/daawa (optimist/ tabligh). wapo wanaoona wakifanya ibada wao na familia yao inatosha, na wapo wanaoona kila mmoja afanye anachokitaka (shooting the moon)
1 or 0 or -1 ?
Mleta uzi hajaongea uongo, ni kweli tupu.Mnahangaika sana ila quran na mafundisho yake hayatakuja kutetereka milele na hadi sasa hao waliowaletea huo ukafir wenu wameshtuka na wengi wanaishia kujiunga dini ya haki, embu angalia sasahivi ndio kwaresma hakuna chochote kilichobadilika hata nyir wenyewe makafir hamuiheshimu ila mwezi mtukufu ukifika hata wewe kafir huwa unatulia
Shida kuna story nyingi kwenye vitabu vya dini ukizisoma ukakasi inakulazimu ujitoe akili ndio uzielewe mfanoInternet imekujua kuua imani potofu
Uislamu na hata ukristo unakufa natural death.
Mchawi ni internet.
Mtu akisoma tafsiri ya Quran akaielewa. Lazima ataukimbia uislamu. Maana kuna aya za ajabu sana.
Na mtu akisoma biblia akaielewa lazima ataukimbia ukristo . Maana kuna mambo ya ajabu sana
Internet inakupa tafsiri kabisa za kila aya. Hapo ndipo dini zinapoteza imani . Maana vitabu vyao vinawaumbua
Huko ni mwendo wa kulana vinyeoUkiacha bangi na unga uislam uko zanzibar tu
Kwanini mna mind sana uislamu mpaka mnakosa uisingizi, kila mada ni waislamu, wakati wenyewe wameka wanaangalia tu. Mta kufa na stress za uislamu.Mleta uzi hajaongea uongo, ni kweli tupu.
Na kinachoshangaza zaidi ni kua waislam wanaijua dini vizuri, sijui ni kitu gani huwatokea vijana hadi wanaachana na mambo ya dini hadi mwezi wa ramadhan!!
Mtoto wa mdogo wa miaka 10 unakuta ana juzuu kadhaa kichwani, ila akifika miaka 17 humkuti msikitini. Nini huwakumba hawa watoto??
Watoto wa kike ndo janga zaidi, umri huo hijab havai tena, anavaa vijora tu.
Nadhani wazazi hawatimizi wajibu wao ipasavyo
.mna genre yenu ya porn kabisa inaitwa hijabi porn[emoji16] na ni maarufu kinoma
mnapita mapito
ila ndo hivyo mkuu, dini ni taasisi, kila taasisi ina changamoto
si unaona wakristo wanavyommind papa?
Umeandika upumbavu mtupu.Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam wengi "msikitini hawaonekani na kwenye kumbi za starehe wanatafutwa. (Secular temptation)
Wanafunzi wa kiislam wakike wanavaa hijabu kama fashion na au sare tu au tu wajulikane ni waislam lakini sio kwa lengo la kujistiri, wakati wanarudi shule utakuta wamevivua vijuba viko kwenye bag wamebakiwa na vikofia, mtaani ndo hawavai kabisa.
Masheikh asilimia kubwa hawana mishahara, wanategemea sadaka, pamoja na hali hiyo bado wanashindana kuongeza wake au kuoa na kuacha. wapo ambao pia wanaamini mtoto wa kike akisoma ataharibikiwa. lakini sasa hata wale ambao hawajasoma elimu ya secular wakbaki tu nyumbani wakaolewa, nao pia huharibikiwa. wengi wa mashekh na maustadh wanajifunza uganga ili wapate kuingiza chochote, saa 11 alfajiri anaswalisha, saa moja yupo kilingeni (evil).
kwa sababu hiyo kuna baadhi ya wakristo nao bado wanaamini ukimuna sheikh ana ndevu, ujue anafuga majini 12 (pathetic).
Kuna wavaa vipedo na nusu uchi ambao wana ma baibui yanayovaliwa mwezi wa Ramadhani, kuna walevi wanaoacha kunywa pombe mwezi wa ramadhani, kuna wazinifu wanaopeana break mwezi wa ranadhani. sikukuu ya eid watu wanasherehekea kwa mengi.
wachache wameweza kuweka uwiiano wa maisha , wapo walioshindwa kabisa na kutotoa mahuru na wengi wako kati na kati. (hypocrisy)
Wapo wanaoamini wataweza kuusambaza uislam na dunia nzima itaua waislam, either kwa nguvu (extremist) au kwa mawaidha/daawa (optimist/ tabligh). wapo wanaoona wakifanya ibada wao na familia yao inatosha, na wapo wanaoona kila mmoja afanye anachokitaka (shooting the moon)
1 or 0 or -1 ?
Hijab sio Uislamu bali ni vazi kama mavazi menginemna genre yenu ya porn kabisa inaitwa hijabi porn😁 na ni maarufu kinoma
mnapita mapito
ila ndo hivyo mkuu, dini ni taasisi, kila taasisi ina changamoto
si unaona wakristo wanavyommind papa?
Chaihiyo dini ni ya uongo. mashekhe wanajifunza uganga na uchawi
chaiInternet imekujua kuua imani potofu
Uislamu na hata ukristo unakufa natural death.
Mchawi ni internet.
Mtu akisoma tafsiri ya Quran akaielewa. Lazima ataukimbia uislamu. Maana kuna aya za ajabu sana.
Na mtu akisoma biblia akaielewa lazima ataukimbia ukristo . Maana kuna mambo ya ajabu sana
Internet inakupa tafsiri kabisa za kila aya. Hapo ndipo dini zinapoteza imani . Maana vitabu vyao vinawaumbua
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.Chai
Tatizo ni lugha ya kiarabuMleta uzi hajaongea uongo, ni kweli tupu.
Na kinachoshangaza zaidi ni kua waislam wanaijua dini vizuri, sijui ni kitu gani huwatokea vijana hadi wanaachana na mambo ya dini hadi mwezi wa ramadhan!!
Mtoto wa mdogo wa miaka 10 unakuta ana juzuu kadhaa kichwani, ila akifika miaka 17 humkuti msikitini. Nini huwakumba hawa watoto??
Watoto wa kike ndo janga zaidi, umri huo hijab havai tena, anavaa vijora tu.
Nadhani wazazi hawatimizi wajibu wao ipasavyo
Warumi 1:26–27Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Wanawake watakaoingia peponi watapewa daraja kubwa zaidi kuliko hurulain.Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Huko peponi si patakuwa kama jumba la kuchezea video za ngono sasaWanawake watakaoingia peponi watapewa daraja kubwa zaidi kuliko hurulain.
Kuna baadhi ya vitu si rahisi kuvijua hata ukiambiwa ukifika peponi utapata hiki na hiki maana kwa maisha ya hapa duniani hujapata kuona wala kusikia utaenda kujua hukohuko mbeleni
Pia Mwenyezi Mungu yeye ndiye mjuzi wa kila kitu .
Ndio maana hakuwauumba Adam na Hawa (Eva) kwa wakati mmoja. Alimuumba Adam kisha akamtoa Hawa kwenye mbavu za Adamu
Si bora niwe nimezungukwa na wanawake hata 200 nawapelekea motoHuko peponi si patakuwa kama jumba la kuchezea video za ngono sasa
Juma anafanya mapenzi na wanawake 72, Khamis naye, Hassan naye, Hussein naye na wengine wengi hapo ni mlio ya ngono ya wanawake na wanaume inasikikaka wakifanya mapenzi.
Wanawake wawili siwezi wala kufanya mapenzi kila siku na mke wangu siwezi hao wanawake 72 nitaweza? Ngono siyo kipaumbele kwangu