Waislam wengi wapo uvuguvugu, sio wa baridi wala wa moto

Watajua wenyewe!

Cha msingi kila mtu aamini anachoamini mwisho hauko mbali sote kila mtu kwa wakati wake na siku yake ataenda kushuhudia kile alichokiona sahihi kwake so haina haja ya kuparuana makucha.
 

Kwa dunia ya sasa kukomalia sana madini ya kuletewa ni ufala na kupoteza muda,
 
Mleta uzi hajaongea uongo, ni kweli tupu.
Na kinachoshangaza zaidi ni kua waislam wanaijua dini vizuri, sijui ni kitu gani huwatokea vijana hadi wanaachana na mambo ya dini hadi mwezi wa ramadhan!!

Mtoto wa mdogo wa miaka 10 unakuta ana juzuu kadhaa kichwani, ila akifika miaka 17 humkuti msikitini. Nini huwakumba hawa watoto??

Watoto wa kike ndo janga zaidi, umri huo hijab havai tena, anavaa vijora tu.
Nadhani wazazi hawatimizi wajibu wao ipasavyo
 
Shida kuna story nyingi kwenye vitabu vya dini ukizisoma ukakasi inakulazimu ujitoe akili ndio uzielewe mfano

Kwenye biblia
Kuna story mtu anapigana na mungu hapohapo unaambiwa mungu ni roho isiyoonekana na hakuna mtu aliwahi muona


Na kwenye quruan....
Ukifa unapewa walimbwende 72 mabikra wakati huo huo huku duniani unzizi unakatazwa sasa sijui mbinguni kwa ALLAH anaruhusu vipi hiki kitu


Mara mifereji ya pombe kuwepo mbinguni huku duniani ulevi unakatazwa


Hata mm nilikuwa mfuasi wa dini sana utotoni ila nilivopata akili ya kuchanganua mambo mhhhh nilikosa uvumilivu

Ila yote kwa yote

Iman ya kidini na akili ya logic havikai pamoja
 
Kwanini mna mind sana uislamu mpaka mnakosa uisingizi, kila mada ni waislamu, wakati wenyewe wameka wanaangalia tu. Mta kufa na stress za uislamu.
 
Hata kama uislamu kuna changamoto za kuchinja watu....
Lakini hii ya ugalatia ya kutifuana mavi wakiileta hapa nchini ndio tutaongeza kuchinja zaidi

 
Umeandika upumbavu mtupu.
 
mna genre yenu ya porn kabisa inaitwa hijabi porn😁 na ni maarufu kinoma

mnapita mapito

ila ndo hivyo mkuu, dini ni taasisi, kila taasisi ina changamoto

si unaona wakristo wanavyommind papa?
Hijab sio Uislamu bali ni vazi kama mavazi mengine

Si kila anayevaa hijabu na kujistiri ni muislamu, nenda Zanzibar hapo, wavaa hijabu na kanzu wengi ila uliza majina sasa.
 
chai
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Tatizo ni lugha ya kiarabu
 
Warumi 1:26–27
Kwa sababu hii ya. ibada ya sanamu, Yesu aliwaacha wafuate tamaa zao; kwa maana hata wanawake walibadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; na vivyo hivyo waume nao waliyaacha matumizi ya asili ya mwanamke, wakawakiana tamaa, wanaume kwa wanaume,

 
Wanawake watakaoingia peponi watapewa daraja kubwa zaidi kuliko hurulain.
Kuna baadhi ya vitu si rahisi kuvijua hata ukiambiwa ukifika peponi utapata hiki na hiki maana kwa maisha ya hapa duniani hujapata kuona wala kusikia utaenda kujua hukohuko mbeleni

Pia Mwenyezi Mungu yeye ndiye mjuzi wa kila kitu .

Ndio maana hakuwauumba Adam na Hawa (Eva) kwa wakati mmoja. Alimuumba Adam kisha akamtoa Hawa kwenye mbavu za Adamu
 
Huko peponi si patakuwa kama jumba la kuchezea video za ngono sasa
Juma anafanya mapenzi na wanawake 72, Khamis naye, Hassan naye, Hussein naye na wengine wengi hapo ni mlio ya ngono ya wanawake na wanaume inasikikaka wakifanya mapenzi.
Wanawake wawili siwezi wala kufanya mapenzi kila siku na mke wangu siwezi hao wanawake 72 nitaweza? Ngono siyo kipaumbele kwangu
 
Si bora niwe nimezungukwa na wanawake hata 200 nawapelekea moto
Kuliko kuwa madhabahuni na mapunga ya kigalatia yaliyokatazwa wanawake na kukubaliwa kutifuana mitaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…