Waislamu amkeni sasa, mtaala mpya wa elimu hauna nafasi ya kuwabeba kiujanja watoto wenu!

Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni kama wanapambana na jambo la lazima tena kwa uharaka huku wakilitazama kama fursa adimu.

Na kama vile wataalamu walivyoonya mapema kuwa, kwa namna mtaala mpya ulivyokaa na kwa namna mifumo ya taasisi nyingi za kielimu zilivyo dhaifu, Tanzania tunakwenda kuzalisha tena kizazi chenye mgawanyiko mkubwa wa maarifa na ufahamu katika jamii.

Yale malalamiko ya miongo yote ya ndugu zangu wa kiislamu kuhusu kuwepo mfumo kristo unaowanyonya waislamu na kuwabeba wakristo baada ya miaka kumi tu ijayo yataibuka upya lakini hayatakuwa na msingi wowote wa kutetewa maana hayawezi kuzuia kitu.

Ndugu zangu amkeni sasa, andaeni mazingira bora na lazima ya kuwawezesha watoto wenu kielimu. Dunia hauna huruma.
I doubt kama unailewa mtaala wa elimu mpya mbona hauhusiane na Dini kwa hali yoyote
 
Hivi sasa ni mvaa hijab, hata ukienda ktk kumbi za makanisa unakuta picha ya hijab , iliokaribu na bikra maria alievaa hijab, hii inawaumiza sana baadhi ya watu wakiwemo chadema ya Lissu
 
Ukiona nchi yenye rasilimali haipigi hatua za kutosha

Tambua imejaza raia na baadhi ya viongozi wenye mitazamo ya mleta mada.

Unaamini mafanikio ni lazima kundi moja lishindwe
Well said Dr. Zaganza, hii mada imekaa ki ushindani shindani kama Simba na Yanga. Ukhanithi wa kiakili kama huu hauna hatima njema kwa for the welfare of our society
 
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni kama wanapambana na jambo la lazima tena kwa uharaka huku wakilitazama kama fursa adimu.

Na kama vile wataalamu walivyoonya mapema kuwa, kwa namna mtaala mpya ulivyokaa na kwa namna mifumo ya taasisi nyingi za kielimu zilivyo dhaifu, Tanzania tunakwenda kuzalisha tena kizazi chenye mgawanyiko mkubwa wa maarifa na ufahamu katika jamii.

Yale malalamiko ya miongo yote ya ndugu zangu wa kiislamu kuhusu kuwepo mfumo kristo unaowanyonya waislamu na kuwabeba wakristo baada ya miaka kumi tu ijayo yataibuka upya lakini hayatakuwa na msingi wowote wa kutetewa maana hayawezi kuzuia kitu.

Ndugu zangu amkeni sasa, andaeni mazingira bora na lazima ya kuwawezesha watoto wenu kielimu. Dunia hauna huruma.
Kwani lengo la hii mitaala ni kuimarisha dini zetu au kuboresha maisha ya watanzania kwa ujumla
 
Mtoa mada, amekusudia kejeli za kawaida za tangu kale za makafiri juu ya Waislamu.
Ni kweli mfumo wa elimu na afya wa kikoloni ulijiegemeza kwa Wakristo kwa sababu ndiyo zilikuwa taasisi zilizopewa haki na uwezo wa kutoa huduma hizo kwa ruzuku ya serikali ya kikoloni. Haina ubishi kuwa hili liliwapa tabu waislamu kwa sababu katika mazingira hayo walilazimika wakane imani na au mila zao ili kupata elimu hiyo.

Baadaya uhuru dai la waislamu ilikuwa mfumo huo ubadilishwe na utoe fursa sawa kwa watu wote, dai ambalo lilitekelezwa kwa kiasi flani tu na watawala wa wakati huo kwa sababu wengi wao walikuwa zao la mifumo hiyo batili.

Lakini hii haimaanishi kuwa Waislamu ni naturally dhaifu kwa kwa makafiri panapohusika na swala la elimu.
Kwa hiyo hatuna cha kujifunza kwao, kila watru wana malengo tofauti ya kidunia na akhera.
Hakuna musilamu anayeomba ada kanisani au kwa wakristo na hakuna mtu mzima anayeenda kuomba chakula na huduma nyingine kwa Wakristo!

Punguzeni kejeli uchwara!
 
Viongozi wetu wa bakwata akina mufti professor zuber na Dr Musa wameshapitia kitambo sanaa mitaala yote na tumejipanga vyema..
Sisi hatuna shida tumejipanga Kwa elimu ya akhera na dunia
 
Binafsi sijashudia lolote kati ya ulivyoorodhesha hapa, lakini siwezi kukupinga.

Ishu ya mtaala mpya ni changamoto kwa wadau wote. Haijalishi dini zao.
Mimi nimekupa hizo hints kwa sababu nimezishuhudia, unaweza kudadisi ili kuona kama zipo ama la.

Hiyo issue ya mtaala mpya kuwa changamoto kwa watu wote ndio imepelekea baadhi ya taasisi na jamii kuamua kuchukua hatua madhubuti wakati huo huo jamii zingine zimetulia zikitegemea huruma na mbeleko, mwisho wa siku tutakuwa na jamii mbili tofauti, na hapo malalamiko yataibuka upya.
 
Mada zingine za kipumbavu, kama hayo unayosema ni kweli basi tungekuwa sahani moja na China. Vinginevyo ni upuuzi tu hakuna cha maana
Soma mada na uelewe, hapa tunajadili mbegu (sera ya elimu) itakayozaa matunda ya kimaisha kwa mtu binafsi na jamii yake.

Fahamu tu, kila mtu na jamii inapambania kuupata mkate kwa uhakika, jamii inayozembea itabakia kulalamika. Tumezoea kuona jamii ya kiislamu ikiwa nyuma kielimu na kukosa fursa za ajira na vyeo huku tukisahau misingi iliyozaa yote hayo. Mada hii imelenga ndugu zangu wa kiislamu kujipanga na kuchukua hatua ili huko mbele wasilalamike.
 
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni kama wanapambana na jambo la lazima tena kwa uharaka huku wakilitazama kama fursa adimu.

Na kama vile wataalamu walivyoonya mapema kuwa, kwa namna mtaala mpya ulivyokaa na kwa namna mifumo ya taasisi nyingi za kielimu zilivyo dhaifu, Tanzania tunakwenda kuzalisha tena kizazi chenye mgawanyiko mkubwa wa maarifa na ufahamu katika jamii.

Yale malalamiko ya miongo yote ya ndugu zangu wa kiislamu kuhusu kuwepo mfumo kristo unaowanyonya waislamu na kuwabeba wakristo baada ya miaka kumi tu ijayo yataibuka upya lakini hayatakuwa na msingi wowote wa kutetewa maana hayawezi kuzuia kitu.

Ndugu zangu amkeni sasa, andaeni mazingira bora na lazima ya kuwawezesha watoto wenu kielimu. Dunia hauna huruma.
Kama ni elimu Dunia sisi si kipaumbele chetu.
 
Ungesema uliyogundua kwenye mtaala huo, ambayo ni fursa kwa WAKRISTO na kikwazo kwa waislam.
 
Ni jambo jema sana. Umoja wa Wakuu wa shule wa Shule zinazomilikiwa na Majimbo au mashirika ya Kikatoliki wameshafanya haya. Kesho mkikuta Saint Francis inaongoza, msishangae. Matokeo mazuri ni matunda ya Mikakati ya muda mrefu.

Anzeni, hamjachelewa. Tanzania imara inahitaji maendeleo ya jamii zote, Wakristo kwa Waislam.

N.B. Jengeni tabia ya kuwapeleka watoto wenu kwenye shule za Kikristo, wakapate Elimu. Kama mwanao alipata msingi mzuri wa elimu ya dini, hawezi kubadili dini kwa sababu anasoma shule ya Kikristo.
 
Jamii ya wakiristo wanafanya initiatives zipi zinazowaweka tofauti na waislam?
Mtoa mada msenge tu wa kikiristo sasa hajui yy anaishi kwenye jamii hyo hyo yenye athari za kiislam au hajui haipiti siku kama mtanzania mkiristo hamtegemei muislam and vice vesa is true
 
Back
Top Bottom