Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Pumbafu!
 
Pumbafu!
 
Waislamu mmepigana vita sana kuhusu hiyo tahweed
ndio mje kuielewa trinity
 
Endelea kukaza fuvu wakati Quran iko wazi!.

Quran inasema Yesu ndiye Kiama lakini kutwa mnakaza mafuvu manasema Yesu siyo Mungu
 
Huu upuuzi wako ndiyo nilitoka kumkanya fala mmoja juzi kwa kunambia eti YESU ndiyo Mungu ambae alishuka duniani kimwili ili watu wasimwogope.

Ni upuuzi kabisa, nimesoma vitabu vyote vya injili ambavyo yesu alikuwa anazungumza na makutano, hakuna hata mstari mmoja amekiri ama kujiita yeye ni Mungu.

Baali alikuwa akijiita majina kama Mwana wa Mungu, mwana wa Adam.

Na alisema wazi kabisa kuwa yeye ametumwa na Mungu ambaye ni mkuu kukiko yeye (Yesu).

Na hata katika kuomba hapa duniani Yesu alikuwa anaonekana kuomba msaada wa nguvu ambayo ilikuwa kubwa kukiko yeye.

Mfano "Eloi Eloi lama sabakthani, yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha" ?

Sasa kama Yeye alikuwa Mungu aliwezaji kuomba mwingine ?

Hayo mambo ya three trinity of God na binadamu tu sisi tumefasiri fasiri, ila hakuna hata mstari mmoja kwenye biblia unaosema kuwa Mungu amegawanyika ama kufanya kazi katika nafsi tatu.

Alafu haya mambo zamani (kwenye agano la kale) hayakuwepo sijui cha utatu wa Mungu.

Ila Yesu alipoondoka tu waliofata ndiyo walikuja kuharibu mambo na kumtafsiri Yesu kuwa Mungu wakati YESU mwenyewe alikataa kata kuwa yeye si Mungu bali ametumwa tu aliye juu yake (Baba/Mungu).
 
Mimi ni mkristo lakini hapo kwenye namba mbili nimekuelewa.

Hakuna hata mstari mmoja kwenye biblia unaosema Mungu amegwanyika katika nafsi tatu (Baba,mwana na roho mtakatifu).

Huu ujinga ukianza kuenezwa na roman empire na umedumu hata leo.

Suala la Mungu kutumia wingi kwenye kufanya vitu vyake huwezi kutumia kama kigezo cha kwamba eti ndiyo ana exist katika utatu.
 
Yeah anasema ukimuona yeye umemuona babq

1Timotheo 6
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
 
CAPABLE GOD huyu jamaaa ndio anaongoza kwa chuki nzito sana juu ya Mtume Muhammad swalahullah ailaih wasalam pamoja na waislamu wote kwa jumla

Alafu chuki zake Wala hazimpi faida yoyote zaidi ya kumtesa mwenyewe kwenye nafasi yake ovu.!

Brother badilika hata kama ni chuki sio za kihivyo aiseee mana Kila mtu anakuona mpumbavu japo wapo wanaokuona kama hero lakin wao sio kama ww.
 
Yeah anasema ukimuona yeye umemuona babq
Huyo aliye kiandika alikuwa muislamu toka arabuni kisome uone ujinga wa uislamu.
Sijawai ona madhaifu ya ukristo yanakuwa narrated hata na wakristo walio hama
Simple logic ni kwamba hayapo hata sheikh mwaipopo hajawahi kuelezea udhaifu wa ukristo
 
Nenda kasome kuhusu "majestic plural". Ukishaijuwa hutopata shida.
Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us..... Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
 
Nani kakwambia kama malaika hakushiriki kwenye uumbaji ??? Unazani alieambiwa akachukue udongo wa kuja kufinywangiwa binadam ni nani ??? Kasome uzur maandiko na skuzote kama ni mtafuta ukweli usirizike kusoma maandiko ya imani moja tu maana hutoweza kupata jibu kamili unatakiwa upitie imani tofauti ili uelewwe kilichokusudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…