Sheikh hiyo ni mifano tu. Ulitaka niwataje wafadhili wenu wote? Kama kuna sehemu hamfanyi vizuri, siyo kosa mkijirekebisha.Ukihesabu hapo umetaja watu wanne tuu Ndo waliojenga misikiti......jibu Unaweza kujijibu mwenyewe.Je ktk misikiti yoote Zaidi ya malaki iliyopo nchini imejengwa na hao watu wanne!!?
Hatuna wafadhili ...........tunafanya Vyema na Ndo Maana tunakuwa kiidadi na kiushawishI wa kiimani ndani ya jamii iliyostaarabika hapa ulimwenguniSheikh hiyo ni mifano tu. Ulitaka niwataje wafadhili wenu wote? Kama kuna sehemu hamfanyi vizuri, siyo kosa mkijirekebisha.
Kweli aisee. Kuna dada mmoja hapa ukonga ana jina la kiislam lakini anatoa utumbo mpana kama zawadi. Nikamuuliza nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya kiislam, wewe si muislam mbona unatoa sana kisoda? Akasema hajawahi kusoma diniHata wale wanaojitoleaga kuwafundisha watoto madrasa pia wengi wao hali sio nzuri.
Wazazi ni wagumu kishenzi kuwalipa wale walimu, yaani mtu analipa milioni kadhaa huko shule mtoto apate elimu dunia ila buku 5 sijui 10 kwa mwezi kwa mwanae ili apate ilim akhera inamtoa roho.
Madrasa zinasaidia mno kushape watoto wa kiislam, mtoto mpaka aje kujiingiza kwenye upuuzi basi tayari ilim ya dini ipo kichwani na ipo siku akili ikimkaa sawa atamkumbuka Mola wake.
Tatizo ni wazazi wa kipindi hiki wagumu kutoa.
Unapo zungumzia kulipwa na waislam me naona haijakaa sawa, sidhani hata kama upande wa pili nako kuko hivyo.
Misikiti karibia yote ina usimamizi, hao wasimamizi ndio wana jukumu la kulipa ma imamu wao kiufupi ni hivyo hapa ni public siwezi kuelezea kwa ki
Hicho ki-icon kinaleta ukakasi Boss.Papa huyuhuyu wa🌈
Jina sio Dini.Kweli aisee. Kuna dada mmoja hapa ukonga ana jina la kiislam lakini anatoa utumbo mpana kama zawadi. Nikamuuliza nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya kiislam, wewe si muislam mbona unatoa sana kisoda? Akasema hajawahi kusoma dini
Kusoma katika uislam ni lazima sio ombi halafu masomo yetu ya dini yanaendana na falsafa ya dini yetu Ila mtu kusoma kwa ajili ya dunia yake ili aweze kuungana na dunia nyingine kusoma sio ticket ya kutoboa kimaisha Kuna waislam wengi wametoboa na ni dini asilimia Mia moja dini sio kigezo Cha kutoboa Ila tunaamini Mungu anawapa wanadamu wote bila kujali dini zao hivyo hapo umekosea na kuonyesha ujinga wako katka suala hiliTembea uone. Kuna umuhimu wa philosophy na theology katika kuwa kiongozi wa dini. Ndio maana ukifuata uislamu kwa asilimia mia moja hauwezi kutoboa hapa duniani. Unajua kuwa uislamu unakataza hadi teknolojia. Ndio maana uarabuni kote wenye taaluma ni watu ambao sio waarabu. Waarabu wamebaki kama wamiliki wa biashara na wananchi tu.
Naomba ufuatilie kwa nini wakimbizi wa Uarabuni wanakimbilia Ulaya na Marekani na sio kwa waarabu wenzao kama Saudia na U.A.E. Tembea duniani ndio utajua kuwa dini yako ina matatizo makubwa sana. Mimi nilivyozunguka duniani ndio nikajua kwa nini uswahilini wamejaa ma sheikh na maimamu. Mambo yapo mengi sana lakini watu wanaogopa kuongea. Nimekaa na waislamu wengi wasomi wengi kuna vipengele vingi hawavifuati. Wanaogopa kubadilika kwa sababu it is too late. Muislamu mwenye uwezo akienda kuishi Saudia mwaka mmoja akirudi nchini atabadili dini. Dini ya uislamu inamatabaka mengi sana. Siwachukiii waislamu bali najaribu kubainisha kuna mambo hayapo sawa inabidi mkae chini mujiulize. Kuna Taasisi imekuja Tanzania badala ya kujenga shule au kuwapa mikopo ya biashara ina walipia mahari vijana na vijana wa kiislamu mnashingilia seriously ? Kaeni mjifunze angalieni waislamu wasomi kuna vitu cingi hawavifuatilii. Ni hilo tu sichukii uislamu wala sipigii chapuo dini mbadala wa ninachosema ni kuwa hizi dini tumeletewa. Mungu alitupa uhuru wa kuishi maisha tunayotaka kwa hio ili ufanikiwa inabidi uchambue maamuzi unayofanya katika maisha yako.Kusoma katika uislam ni lazima sio ombi halafu masomo yetu ya dini yanaendana na falsafa ya dini yetu Ila mtu kusoma kwa ajili ya dunia yake ili aweze kuungana na dunia nyingine kusoma sio ticket ya kutoboa kimaisha Kuna waislam wengi wametoboa na ni dini asilimia Mia moja dini sio kigezo Cha kutoboa Ila tunaamini Mungu anawapa wanadamu wote bila kujali dini zao hivyo hapo umekosea na kuonyesha ujinga wako katka suala hili
Nilikuwa nakufikiria ni mtu wa maana we mdadaa; kumbe gigy money akasome!Sadaka zao ni mia, mia mbili amejitahidi gome la mia tano,
Huko Zanzibar watoto wanakazaniwa Madrasa badala ya kuenda shule halafu wanalalamika maisha magumu. Mpemba au Muunguja akiamua kusoma anakuwa Genious kweli inaniuma sana kuona vipaji kama hivi vinapotea. Tafuta Wapemba au Waunguja walioamua kupiga kitabu utanishukuru.Tatizo nyinyi wakristo dunia mmeikumbatia Sana na kujali maslahi ya dunia zaidi ambayo ni muda mfupi tuu ihali maslahi ya baada ya kufa ni makubwa mno na pale imamu au muadhini anapofanya Yale majukumu anatarajia malipo kwa Mungu yaliyo makubwa na anajivunia hivyo pesa kwake ni ziada alipwe asilipwe haiwezi kufikia thawabu
Achana nalo punga hilo, sijui limeshapata bwana kama alivyoagizwa?Papa huyuhuyu wa🌈
Ww ndio mpumbavu ebu tuwekee hizo takwimu za watu wanao kimbilia Ulaya na wanao enda mashariki ya kati ili tuone ni wapi wengi?Naomba ufuatilie kwa nini wakimbizi wa Uarabuni wanakimbilia Ulaya na Marekani na sio kwa waarabu wenzao kama Saudia na U.A.E. Tembea duniani ndio utajua kuwa dini yako ina matatizo makubwa sana. Mimi nilivyozunguka duniani ndio nikajua kwa nini uswahilini wamejaa ma sheikh na maimamu. Mambo yapo mengi sana lakini watu wanaogopa kuongea. Nimekaa na waislamu wengi wasomi wengi kuna vipengele vingi hawavifuati. Wanaogopa kubadilika kwa sababu it is too late. Muislamu mwenye uwezo akienda kuishi Saudia mwaka mmoja akirudi nchini atabadili dini. Dini ya uislamu inamatabaka mengi sana. Siwachukiii waislamu bali najaribu kubainisha kuna mambo hayapo sawa inabidi mkae chini mujiulize. Kuna Taasisi imekuja Tanzania badala ya kujenga shule au kuwapa mikopo ya biashara ina walipia mahari vijana na vijana wa kiislamu mnashingilia seriously ? Kaeni mjifunze angalieni waislamu wasomi kuna vitu cingi hawavifuatilii. Ni hilo tu sichukii uislamu wala sipigii chapuo dini mbadala wa ninachosema ni kuwa hizi dini tumeletewa. Mungu alitupa uhuru wa kuishi maisha tunayotaka kwa hio ili ufanikiwa inabidi uchambue maamuzi unayofanya katika maisha yako.
Sina haja ya kuweka takwimu wala siwezi kukutukana kila kitu kipo mitandaoni. Jaribu kuangalia hata wakimbizi wa Syria, Afghanistan na Iraq walienda wapi na ukikaa nao huku ulaya wanakuwambia bbora huku kuliko nchi za kiarabu.Ww ndio mpumbavu ebu tuwekee hizo takwimu za watu wanao kimbilia Ulaya na wanao enda mashariki ya kati ili tuone ni wapi wengi?
Hizi tabia zenu za kuwa mnaongea mambo msio kuwa na elimu nayo muache ili kuficha upumbavu wenu.
Kwa nn kusiwe na haja ya kuweka takwimu ili kudhibitisha madai yako?Sina haja ya kuweka takwimu wala siwezi kukutukana kila kitu kipo mitandaoni. Jaribu kuangalia hata wakimbizi wa Syria, Afghanistan na Iraq walienda wapi na ukikaa nao huku ulaya wanakuwambia bbora huku kuliko nchi za kiarabu.
Kwa nn kusiwe na haja ya kuweka takwimu ili kudhibitisha madai yako?
Ww ulisha wahi kwenda Qtaar, UAE,Oman,Saudia na usiwakute hao raia kutoka Iraq,na Syria au Afghanistan?
Unajua ni nchi zipi zinazo wahifadhi wakimbizi wengi kutoka kwenye hizo nchi ulizo zitaja hapo au unajiropokokea tu? Nchi pekee yenye wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati ni Ujerumani tu hakuna nyingine na wenyewe walianza kwenda Ujerumani baada ya Uturuki kuzidiwa.
Hujui suala la wakimbizi kwenda Ulaya lilikuwa linakuzwa na vyombo vya habari kwa ajili ya propaganda za kisiasa na kujitukuza kwa wazungu?
Alafu kingine unacho takiwa kukijua ni kuwa kijografia ni rahisi kutoka hizo nchi kwenda Ulaya kuliko kwenda kwenye nchi za Ghuba.
Hizi ndo nchi zinazo wahifadhi wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati.
(1) Iran ina wahifadhi zaidi ya wakimbizi milion 4.5 kutoka Iraq na Afghanistan.
(2) Uturuki inawahifadhi wakimbizi milion 4 kutoka wengi wao wakiwa kutoka Syria.
(3) Jordan inawahifadhi wakimbizi milion 2 kutoka Syria.
(4)Lebanon imewahifadhi wakimbizi kutoka Syria milion 1.5kutoka Syria.
(5) Ujerumani iliwahifadhi wakimbizi milion 1 kutoka Syria.
Hata hivyo wakimbizi wengi wamesha rudi nchini mwao baada ya vita kupungua mfano Ujerumani zaidi ya wakimbizi laki 8 wamesha rudi nchini mwao.
ElimuHata wale wanaojitoleaga kuwafundisha watoto madrasa pia wengi wao hali sio nzuri.
Wazazi ni wagumu kishenzi kuwalipa wale walimu, yaani mtu analipa milioni kadhaa huko shule mtoto apate elimu dunia ila buku 5 sijui 10 kwa mwezi kwa mwanae ili apate ilim akhera inamtoa roho.
Madrasa zinasaidia mno kushape watoto wa kiislam, mtoto mpaka aje kujiingiza kwenye upuuzi basi tayari ilim ya dini ipo kichwani na ipo siku akili ikimkaa sawa atamkumbuka Mola wake.
Tatizo ni wazazi wa kipindi hiki wagumu kutoa.