Yani mwislamu amjibu mlokole ??? Nitamdharau sanaUnazidi kuwaingiza vichakani. Yaani kutojibu hoja kuhusu msingi wa imani yao ni kujitambua
Mtume ni wale waliopewa vitabu.Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
KweliHawawezi kuwa na majibu kuhusu hili kwa kuwa uislam ni chombo au mpango wa kueneza mila, desturi na tamaduni za kiarabu. Sasa mlengo wake mkubwa uko kutabanaisha historia ya jinsi waarabu walivyoishi
Wanamwita nabii ili kuonyesha kuwa uislam ulikuepo kitamboHawawezi kuwa na majibu kuhusu hili kwa kuwa uislam ni chombo au mpango wa kueneza mila, desturi na tamaduni za kiarabu. Sasa mlengo wake mkubwa uko kutabanaisha historia ya jinsi waarabu walivyoishi
SI waislam tuu Adam alikuwa nabii kwa sababu alikuwa akipngea na Mungu moja kwa moja .Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Wanamwita nabii ili kuonyesha kuwa uislam ulikuepo kitambo
Yani mwislamu amjibu mlokole ??? Nitamdharau sana
Kabla ya yote wewe umetaja sura tu hujaainisha hiyo aya ni aya namba ngapi imesema hvyo, hebu bainisha aya ya ngapi katika kila sura uliyotaja.Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Japo hujaniuliza me ila ngoja niwasaidie kujibu hao walioshindwa, Allah anasema kweny qur an katk suurat al nnahl aya ya 44Hata ukiwauliza wapi kwenye kuluwan na masimulizi wameandika kila alfajili muswali huku mmeweka vipaza sauti juu ya misikiti, hawana majibu. Hivyo wanabakia kuimba mashairi/malenga kila siku
Japo hujaniuliza me ila ngoja niwasaidie kujibu hao walioshindwa, Allah anasema kweny qur an katk suurat al nnahl aya ya 44
(
وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ﴿٤٤﴾
Na Tumekuteremshia Ukumbusho (Qur-aan) ili uwabainishie watu yaliyoteremshwa kwao huenda wakapata kutafakari.
Kazi Ya Mtume Ni Kubainisha Yale Yaliteremshwa Kwetu Na Katika Aliyotufundisha Ni Adhana Ambayo hutolewa kwa sauti ili kuwazindua watu na muda wa swala, ulivyokuja utandawazi kutumia kipaza sauti ni bora zaid katika kuwakumbusha watu kunako muda sahihi wa swala japo kuna katika watu wanakosea kwa kuingiza maneno tofauti na adhana.
Uislamu haufuati biblia so ustaki kila unacho amin wewe kwenye biblia na waislamu waamin hvyo, na huyo samson ni nani? Katajwa kwenye kitabu gani cha waislamu?Waislamu utawaweza yaee .
Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)
Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.
Yakobo
Ibrahim
Isaka
Daudi
Yoroboamu
Samsoni......
Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.
Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.
Samsoni NI mnadhimu.
Ibrahim Baba WA mataifa.
Daudi nu mfalme WA Israel.
Usichokijua ukibwabwaja unaonekana mpumbavu. Kwa hiyo wewe umejaaa hiyo sifa ya upumbavu. Kasome Quran ndio utajua hayo yote. Adhana ni wito wa kuwaitabwaislam waende msikitini kufanya ibadaHata ukiwauliza wapi kwenye kuluwan na masimulizi wameandika kila alfajili muswali huku mmeweka vipaza sauti juu ya misikiti, hawana majibu. Hivyo wanabakia kuimba mashairi/malenga kila siku
Usichokijua ukibwabwaja unaonekana mpumbavu. Kwa hiyo wewe umejaaa hiyo sifa ya upumbavu. Kasome Quran ndio utajua hayo yote. Adhana ni wito wa kuwaitabwaislam waende msikitini kufanya ibada
Yani mtu anaulizia manabii wa mbali haoni wakina mwakatobe , sijui nabii tito wa dini yake🤔Unapotoa majibu kuhusu imani yako usiwe na ubaguzi. Maana huwezi jua kama hayo majibu unayompa kwa msingi wa kitabu chenu yatamfanya awe muumini mpya
Uislamu haufuati biblia so ustaki kila unacho amin wewe kwenye biblia na waislamu waamin hvyo, na huyo samson ni nani? Katajwa kwenye kitabu gani cha waislamu?
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Umejibù vizuriSiyo muislamu ila kitendo cha Adam kuumbwa na Sir God mwenyewe kwa mkono wake na kuleta kizazi cha wana adamu wote ulimwenguni ana stahili kuitwa nabii.
Yani mtu anaulizia manabii wa mbali haoni wakina mwakatobe , sijui nabii tito wa dini yake🤔