camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Sasa mtaalam wewe si unifundishe mimi kafiri nisilimu!Umeshaelewa kuwa Adam alikuwa nabii hayo mengine ni nje ya mada
Ukitaka kujua Kwa Nini Allah ndani ya Quran Kuna sehemu anatumia wingi na sehemu nyingine anatumia umoja uliza hilo swali wataalam wapo watakufundisha
Waislam ndio kazi yetu kuwafundisha makafiri kama wewe Ili umjue Mungu wa kweli aliyekuumba Ili umuabudu
Maana Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimizi
Utasemaje kitu haramu wakati halali haipo.alafu nani kakudanganya kwamba tunatumia biblia tofauti??biblia ni moja mzeeBiblia halisi ikiwa nyinyi wenywe hamuna me naitoa wapi? We hujiuliz kwann wakristo wote hawatumii biblia moja?
Okay biblia hiyo munayo tumia inasemaje yesu ni mungu au mwana wa mungu?Utasemaje kitu haramu wakati halali haipo.alafu nani kakudanganya kwamba tunatumia biblia tofauti??biblia ni moja mzee
Duh! Hivi umeenda shule kweli wewe?Hata ukiwauliza wapi kwenye kuluwan
Sasa mtaalam wewe si unifundishe mimi kafiri nisilimu!
Mind you! Kila asemaye "hakuna MUNGU isipokuwa allah" anakufuru na ni kafiri mkubwa mno!
Duh! Hivi umeenda shule kweli wewe?
Utofauti wa NABII na MTUME ni upi?KATIKA UISLAAM SIO LAZIMA UTENDE UNABII AU UFANYE MIUJIZA NDIO TUKUTAMBUE KUWA NABII...SIO KAMA WAKRISTU AMBAO UNABII KWAO NI MIUJIZA TU...
KATIKA UISLAAM, UTAKUWA NABII ENDAPO UTAKUWA UMEFANYWA NA MOLA WETU ALLAAH KUWA MPOKEAJI WA MAELEKEZO YAKE KWENDA KWA WANADAMU...
HIVYO ADAM ALITUMIKA NA ALLAAH KUFIKISHIA MAELEKEZO YAKE KWA WATOTO WAKE...ALLAAH HAKUONGEA NA HAWAA WALA HAKUONGEA NA WATOTO WAKE AADAM...ILA ALIONGEA NA AADAM JAMBO LA KUFANYA FAMILIA YAKE. NDIO MAANA NI NABII.
HILO SWALI JIPYA...JE UMEELEWA JIBU LA SWALI LA KWANZA..?Utofauti wa NABII na MTUME ni upi?
NABII NI YULE MTU AMBAYE ALLAAH ANAMCHAGUA ILI AFIKISHE MAELEKEZO YAKE KWA WANAADAM WENGINE...HUYU SIO LAZIMA AWE AMETUMWA KWA WATU MAALUM KWA UJUMBE MAALUM...Utofauti wa NABII na MTUME ni upi?
Nikwambie kitu?NABII NI YULE MTU AMBAYE ALLAAH ANAMCHAGUA ILI AFIKISHE MAELEKEZO YAKE KWA WANAADAM WENGINE...HUYU SIO LAZIMA AWE AMETUMWA KWA WATU MAALUM KWA UJUMBE MAALUM...
ILA NABII ALIYETUMWA KWA WATU MAALUM WANAOFANYA DHULMA FULANI NA UJUMBE MAALUM(sheria au kitabu kipya).
MFANO MUSA NA HAARUN NI MITUME WALIOTUMWA KWA FIRAUN NA WATU WAKE KUMFIKISHIA UJUMBE WA KURUDI KWA MOLA WAO, VILEVILE WALITUMWA KWA WANA ISRAEL NA SHERIA MPYA(TAURATI) ILI WAMUABUDU MOLA IPASAVYO...NA VILE VILE WALIKUWA NI NJIA YA ALLAAH KUWASILIANA NA VIUMBE VYAKE, HIVYO WALIKUWA NI MITUME NA VILEVILE KWA WAKATI HUO HUO NI MANABII...
WALIPOONDOKA MUSA NA HARUN...WALIACHA SHERIA YA TAURAT KWA YOSHUA AMBAYE YEYE ALIKUWA NABII TU WA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA SHERIA ILE ILE...HAKUJA NA SHERIA MPYA, ILA ALIBAKI TU KAMA NJIA YA MAWASILIANO YA ALLAAH NA VIUMBE VYAKE.
HIVYO BASI...KILA MTUME NI NABII...LAKINI SIO NABII NI MTUME. MUSA NI MTUME NA NI NABII KWA PAMOJA...ILA JOSHUA NA SAMWEL NI MANABII TU.
Mkuu we ni taahiraHivi kutokana na Qurani
Mke wa Nabii adam aliitwa nani?
A verse please:
Mathayo 4:5-7 na Luka 4: 12Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Kwahiyo Yesu nae alikufuru maana hapo anasema hakuna Mungu isipokuwa Elohim Kwa kiarabu Allah
ELOHIM
ELOH..
ALAH
HAYA.Nikwambie kitu?
Umedanganywa,Allah hakuwa mungu wa Mussa!