Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Mimi ni mtoto wa kishua nimesoma Tanganyika high school kisha chuo kikuu nchini marekani kwahiyo elimu ya mkoloni siitambui
Tanganyika high school ulienda tu ukasoma pale?
Kwanza,walimu na wanafunzi kibao ni waswahili tu hukuwa nap?
Na hiki kiswahili umekijuaje.
We mtoto wa kishua mafi ya kuku.
We maganga tu.
 
Tunasoma weeee,halafu tunakimbilia kutafuta ajira,tukiona Serikalini kugumu tunakimbilia kwenye makampuni ya gesi na mafuta,malori,mabasi na viwanda....sasa asilimia kubwa ya makampuni haya yanamilikiwa na watu wa imani ipi1
Ukiwa na hiki huyu ana hiki,ukiwa na kile huyu ana kile
 
Mwambie akutajie list ya mafisadi mbona hajajibu muulize Tena kuhusu kashfa ya Escrow ilihusisha Viongozi wa dini ipi?
 
Nilikua mfuasi mzuri wa mijadala yako ila naona ushawehuka asa watoe shukran ili iweje ?kwan walisoma bure?uandishi wako ushakua wa kifala heri ungeendelea na siasa
 
Watoto wa madogo wangu ni waislamu na wao ni waislamu ila shule watoto wao wamepelekwa za seminari hadi wanamaliza..

Anasema nachojataka watoto wangu wapate elimu bora
 
Mkoloni alikua akitoza Kodi wote lakini akiwapa mission waendeshe taasisi zao,watu walilazimishwa kubadili dini ili wasome,mfano Moses nnauye,hivi korosho za pwani,Lindi na mtwara na katani ya Tanga siyo mazao ya biashara!?..AA,TAA,TANU ni chama kimoja
 
Hata waislam Wana seminari,unaelewa nini juu ya seminari!?
Hujui maana ya seminari, hakuna seminari ya kiislamu Seminari ni muundo wa malezi unaotoa mafunzo ya dini, hususan Ukristo na elimu dunia

Tulipokuwa seminari tulifundishwa mambo kuhusu dini ukristo tuliishi katika msingi Ya dini ya ukristo kula, kuongea kutembea na kuijua biblia pia na mambo ya shule ndio maana tuliitwa waseminari .. waanzilishi wa haya yote ni wamisionari ambao kaka mkumbwa Pascal mayala ametole ufafanuzi .

Hakuna seminari za kiislamu toa ujinga msilazimishe mambo
 
Sasa hapa kati yako wewe na makafiri nani kadhihirisha chuki?
Kama dini haikuwezeshi kuwa mtu bora achana nayo!
 
Hata waislam Wana seminari,unaelewa nini juu ya seminari!?
The English word is taken from Latin: seminarium, translated as 'seed-bed', an image taken from the Council of Trent document Cum adolescentium aetas, 'Since the age of adolescence' which called for the first modern seminaries.[2].
HAKuNA SEMINARY YA KIISLAMU
 
Ukaamua uanzie mbele kwenye maelezo ya google,kule uonako kwakufaa na tafsiri zako,huku mwanzo walikokwambia ni shule ya kidini kuandaa vijana hukutaka
"The Islamic Seminary of America" The Islamic Seminary of America
 
TEC Haina darasa la Saba ina masters na PhD tu Haina darasa la Saba kama bakwata
 
Soma etymology ya seminary.Wp uliwahi kuiona Christian seminary?
Why islamic seminary?
Huku kwenye kilimo tukiatika mbegu kitaluni,hiyo stage tunaita 'seminary',Kama ulivyoweka kwamba limeazimwa kwenye kilatini likimaanisha seed bed,so hizo shule za kuandaa vijana kidini zinaitwa seminary,ziwe za kiislam,kikristo,Buddha, Hindu au yahudi
 
Why Islamic seminary mzee?
Tunashukuru kuwa mmeikopi lakini seminary lina maana kitalu cha divinity na theology.
Hakuna seminari ya kiislamu hii mmeilazimisha
 
Why Islamic seminary mzee?
Tunashukuru kuwa mmeikopi lakini seminary lina maana kitalu cha divinity na theology.
Hakuna seminari ya kiislamu hii mmeilazimisha
Divinity(divine) na theology(theolojia) ni elimu ya Imani/dini,kitalu(seminary) ni pahala ambapo vijana wanaandaliwa ili kuja kutumikia dini,iwe uislam, ukiristo,Buddha, Hindu nk,pale ikulu na ocean road palikua madrasa,vijana wakilala hapohapo,kwa kiingereza/latin ni seminary,zipo seminary zinazoitwa christian seminary,kule itaga waliona warefushe kwa nini,wakaita tu itaga seminary
 
Ukinitajia tajiri muislam mmoja wa nchi hii, aliyesoma mission, siingii tena jf. Au unamaanisha mafanikio yapi! Maana hata wasiosoma wapo wengi waliofanikiwa kuliko waliosoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…