Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Mzee tulikuwa tunakuheshimu sana kumbe zero brain kiasi hiki duuh, kumbe ndo maana hata Magu alikuita njaa aliona mbali sana
 
Hakuna christian seminary,Itaga inaitwa Itaga seminary,kuna Maua seminary,nyegezi seminary,
Namupa seminary,John Bosco seminary, hakuna kitu kama Makoko "Christian"seminary wala Visiga "Christian" seminary.Etimolojia ya seminary is merely kwa Christian/Catholic institutions na si vinginevyo.
Hidaya Islamic seminary ni forgery.Kama inajitosheleza iitwe Hidaya seminary
 
QUR'AN hupenda kutumia kauli 'wanajitia upofu na mwenyezi Mungu anawazidishia upofu'..yaani mtu moyoni unaelewa kabisa Ila unaamua kuendelea kupinga,kila la heri
 
Kila siku huwa tunawaeleza uislamu upo sababu ya ukristo kila unachokifanya mnakilazikisha mkifananishe na ukristo .. kwani hamuwezi kujielezea kinamna yenu kilianza kuchukua maandiko katika biblia na kuyafanya waonekane ni Yenu katika Quran . Ilihali maandiko katika biblia yalikuwepo miaka mingi zaidi ya quran yenu leo tena mnakuja na issue ya seminari mnataka kusema na waislamu mnayo .. kitu pekee mlichonacho ni madrasa
Ukaamua uanzie mbele kwenye maelezo ya google,kule uonako kwakufaa na tafsiri zako,huku mwanzo walikokwambia ni shule ya kidini kuandaa vijana hukutaka
"The Islamic Seminary of America" The Islamic Seminary of America
 
"About - Centennial Christian Seminary" About - Centennial Christian Seminary

Biblia ilikuwepo kabla ya yesu na paulo kuzaliwa,agano la kale ni vitabu vya kiyahudi(siyo kiisrael)vilivyotiwa mikono(kubadilishwa,kuzushwa),agano jipya na Mungu asiyeeleweka halina mchango wowote kwenye QUR'AN,narudi kukuelekeza maana ya seminary,ni kitalu kwa ajili ya mbegu,kwa shule inakua pahala ambapo vijana huandaliwa kutumikia itikadi husika,iwe ujamaa, ukiristo,ubudha,uhindu, uislam,so madrasa ambayo inalaza wanafunzi Kama ilivyokua ikulu na ocean road ni seminary
 
"Seminary - Definition, Meaning & Synonyms | Vocabulary.com" Seminary - Definition, Meaning & Synonyms
Nakuongezea,Ila najua bado utabisha,maana mkisha kariri huwa mna tabu sana
 
Endelea kujianika ujinga wako.
 
Magobe,
YurBila kujali kwamba nakubaliana na hoja zako au sikibaliani nazo

Magobe,
Yuri Gagarin.
Bila kujali kama nakubaliana au sikubaliani na hoja zako nyingi humu JF lazima nikiri wazi kuwa una kitu cha tofauti sana na watanzania wengi.

Namna yako ya utulivu ya kuwasilisha hoja, jinsi unavojibu posts za kebehi,dharau na hata matusi ni namna ya pekee sana.Hiki ni kitu adimu kwa watu wengi sana hasa watanzania.Wengi wetu hatuna ustaarabu wa majadiliano,wewe huwa unaita mnakasha.

Wewe ni funzo kubwa sana kwa watu wote wanaotaka kuwa bora kwenye kujenga hoja,wanaotaka kuwa wakomavu kwenye hoja za matusi na lugha zisizofaa na kutopindishwa kirahisi ili watoke kwenye hoja zao kutokana na mihemko ya unaojadiliana nao.

Asante kwa hili somo zuri mzee wangu ma Mungu akutunze watu wengi wapate kujifunza kupitia wewe hili somo muhimu hasa kwa kizazi hiki cha vijana wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…