Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Stuxnet

Kumbe Mzee wako Mohamed Said kipaji cheke cha uandishi kimegunduliwa na Padre asee!!

Sasa wakristo walimfanyia nini huyu Mzee hadi kuwanganyapaa kiasi hiki kwenye articles na mijadala yake?

Au ndiyo kukosa shukran kwa baadhi ya waislamu anakosema mkuu Mayalla?
 
Satoh...
Wakati mwingine huwa nafurahi sana kwa hizi sifa ninaposoma watu wakisema kuwa nina kipaji cha uandishi.

Alhamdulilah.
Nashukuru.

Leo nimefurahi zaidi kwa kuambiwa kuwa ati kipaji changu hicho kinachosifiwa kimeibuliwa na padri.

Lakini nimesikitika kusoma ati nimekosa shukurani kwa Ukristo ulionielimisha.

Hayo yote hapo juu yameegemezwa kwa Padri ndiye aliyeibua kipaji changu.

Ikiwa ni kweli Padri ndiyo "aliyenivumbua," hayo yatasimama vyema.

Lakini ikiwa hichi kinachosemwa kuwa nimeibuliwa na Padri ni uongo...

Itakuwa utani mbaya.
A bad joke!

Utani usiopendeza.
 
Che...
Wewe una ulimi wa kuwasimanga Waislam leo?

Unaijua historia ya uhuru wa Tanganyika?
 
Paskali imepita kwenye mshono.
Waislamu katu hawakubali kukosolewa.

Hivi Mwarabu alijenga shule gani zaidi ya misikiti?

Wazee wote wenye vyeo na dhamana ya nchi wamesomeshwa na Wakristo na zawadi yake ni kuitwa Makafiri.
Hadi Mzee saidi Muhamedi, kasoma shule za Wakatoriki.
 
Paskali ungeongea haya maneno kwenye utawala wa Sharia, hukumu yako ni kifo tu.
Uislamu na Qurani na Muhammadi hawana Neno msamaha.
Shoga ni lazima achinjwe?

Ni kwamba wanajiona kama ni Malaika. wa Nuru.
 
Waambie wawashukuru wachaga maana ndio wajinga wa kwanza kuupokea ukristo
 
Sukuma gang huna jipya

Kabla hujachambua waislam ungechambua kabila lako la wasukuma kuwa mna lipi la maana?maana mnachojua ni kuzaana kama ngedere tu

Udini unakusumbua

Ukanda/uchato unakusumbua

Ukabila unakusumbua,nakumbuka siku umekuja na uzi wa kuwakashifu wachaga

By the way unakufa kwa kihoro tu mfia mwendazake wewe!! No teuzi no uteule[emoji23][emoji23]

Ningekuona una akili kama ungezikwa na lile jitu lililofyekwa tarehe 17 march shubamiit
 
Hizo shule hakuna ziliemsaidia, iwe Muislam au asiye Muislam.

Zimejaza watu ujinga tu. Laiti zingesaidia, Tanzania leo ingekuwa pepo.

Tena AlhamduliLlah Waislam wale waliokuwa na mafundisho ya Qur'an hazijawajaza sana ujinga kuliko ambao hawana mafunzo ya Qur'an.

Hizo shule zimelenga kuzalisha watumwa.
 
Kila kukicha ni waislam, waislam, waislam, hivi wamewakosea nini nyie wagalatia msio na akili? Nyie wagalatia wasomi mmelisaidia nini taifa? Mbona kila kukicha ni kelele kutoka kila upande kuwa maisha ni magumu ikiwa nchi ina rasilimali kibao?
Acha upumbavu wewe mtu mzima, uzee unakujia vibaya baada ya kusaka teuzi bila mafanikio.
 
Brother mayala kwani waislamu wamekufanya nini mwezi huu wa sita.? Mada zako kama siku elewi elewi.
Huyo kenge paskali kasaka teuzi bila mafanikio na umri umemtupa mkono ndio kaamua kuwakashifu waislam wana IQ ndogo lengo ni kumsema rais wa nchi tu, ukiona jitu linazaa wakati wanae nao wanazaa jua kuna tatizo sehemu, Paskali ni mpuuzi tu, anasahau waislam walefelishwa baraza likasingizia kompyuta wakati ulikuwa ni mpango maalum
 
Hapo usitegemee majibu ya maana sana sana kejeli, hawatoweza kukujibu, hiyo dini imeleta balaa sehemu nyingi sana hapa duniani
Majibu ya maana kwani mtoa mada kauliza swali? Yeye anataka shukrani tu, kwani nyie makafiri hii lugha ya kiswahili mumeitoa wapi? Mbona hamuwashukuru waliowaletea hii lugha?
 
Kikwete hajawah kubadili jina ww mshamba
MBNA nayo mwarabu yenu hayakuwajengea shule ? Yalikalia kubaka wanawake tu
Shukuruni kwa LUGHA hii ya KISWAHILI, Unadhani kiswahili kilikuwepo huko kijijini kwenu nyanzobe? Unajua aliyeileta hii LUGHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…