Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

sote tumshukuru mzungu kwa kutuletea elimu. wakristo walishtuka mapema wakajua dili wakatambaa na beat..wakati huo wasilamu walikua doro wamelala kuja kushtuka la haula!

all in all tupendane tuishi kwa mapenzi. tushirikiane kwa yale tunayoweza kushirikiana. na tuheshimiane kwa yale tusiyoweza kushirikiana mfano ibada
 
Sisi wakristo tuliofundishwa na walimu wa kiislam tufanye nini.Acha Udini bro hawakusoma bure
 
Na nyie bila waarabu msingejua kuvaa msuli
Afadhali mzungu alituletea elimu,mwarabu yéyé alikalia kujenga madrasa na kuchukua watumwa
Luambo...
Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na hesabu.

Hizi wataalamu wa elimu wanaita 3Rs yaani Reading, Writing and Arithmetic.

Haya yalikuwa Pwani ya Afrika ya Mashariki kabla Wazungu hawajafika.

Na elimu hii ilisomeshwa katika madrasa.

Waalimu wa kwanza kusomesha shule za Wamishionari walikuwa Waislam kwani wao tayari walikuwa wameshaelimika.

Haya yameandikwa na Abel Ishumi na paper yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
 
Haya yameandikwa na Isabel Ishumi na paper yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
Sasa MBNA nature ya ma shule wakristo ndio walijenga na hâta waislamu kusoma humo? Sasa aliyetangulia kujua kusoma Kwann hakujenga mashule?
 
Unaweza ukatusaidia hizo shule zilizokuwa zinaitwa muslim schools ziko wapi na zilikuwa zinawaandaa wanafunzi kuwa kitu gani?
Nan...
Kila walipokuwa Waislam palikuwa na Muslim School.

Shule hizi zilikuwa zinaishia darasa la nne kisha mwanafunzi anajiunga na shule ya serikali darasa la tano na kuendelea.
 
Muslim school au madrasa?Mbona hii kitu ni ngeni kwangu?
 
Inahitaji kusoma ndiyo utaweza kufahamu.

Ikiwa uko Dar-es-Salaam nenda Maktaba ya Chuo Kikuu bahati mbaya jina la paper ya Abel Ishumi kuhusu elimu jina nimesahau lakini mkutubi atakusaidia.

Soma hiyo paper utaongeza maarifa yako.
 
Luambo...
Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na hesabu.

Hizi wataalamu wa elimu wanaita 3Rs yaani Reading, Writing and Arithmetic.

Haya yalikuwa Pwani ya Afrika ya Mashariki kabla Wazungu hawajafika.

Na elimu hii ilisomeshwa katika madrasa.

Waalimu wa kwanza kusomesha shule za Wamishionari walikuwa Waislam kwani wao tayari walikuwa wameshaelimika.

Haya yameandikwa na Abel Ishumi na paper yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
Bro huu uwongo hata mtoto wa kindergarten atakushangaa. Anyway udini ni sawa na bangi, bangi yako inakupeleka kubaya.
 
Nan...
Inahitaji kusoma ndiyo utaweza kufahamu.

Ikiwa uko Dar-es-Salaam nenda Maktaba ya Chuo Kikuu bahati mbaya jina la paper ya Abel Ishumi kuhusu elimu jina nimesahau lakini mkutubi atakusaidia.

Soma hiyo paper utaongeza maarifa yako.
Sheikh mfano Mojawapo ya hizo shule ni ipi?
 
Wamekazana kujenga misikiti tuu kila kona badala kujenga taasisi za elimu. Badae wanasema wapo wanatengwa kielimu.
Huwa kama hapa kitaa kuna misikiti mitatu imeambatana badala yake ungekuwepo na eneo hilo lingine wajenge shule.
 
Back
Top Bottom