mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Kala kona🤣🤣🤣🤣Who decided on the climate?
Na nyie bila waarabu msingejua kuvaa msuliBila wazungu nyie msingejitambua
Sisi mpaka leo tuna mila zetu nyie mila zenu ndio ulevi na wiziNa nyie bila waarabu msingejua kuvaa msuli
Afadhali mzungu alituletea elimu,mwarabu yéyé alikalia kujenga madrasa na kuchukua watumwa
Luambo...Na nyie bila waarabu msingejua kuvaa msuli
Afadhali mzungu alituletea elimu,mwarabu yéyé alikalia kujenga madrasa na kuchukua watumwa
Nyie Mila zenu ni ujinga,kucheza judo na kareti misikitini ndio Mila nzuri?Sisi mpaka leo tuna mila zetu nyie mila zenu ndio ulevi na wizi
Sasa MBNA nature ya ma shule wakristo ndio walijenga na hâta waislamu kusoma humo? Sasa aliyetangulia kujua kusoma Kwann hakujenga mashule?Luambo...
Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na hesabu.
Hizi wataalamu wa elimu wanaita 3Rs yaani Reading, Writing and Arithmetic.
Haya yalikuwa Pwani ya Afrika ya Mashariki kabla Wazungu hawajafika.
Na elimu hii ilisomeshwa katika madrasa.
Waalimu wa kwanza kusomesha shule za Wamishionari walikuwa Waislam kwani wao tayari walikuwa wameshaelimika.
Haya yameandikwa na Isabel Ishumi na paper yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
Nyie bila ya wzungu mngekuwa hata kuvaa nguo msingejua kuvaa mpaka leo , endeleeni kuvaa mitumba kama watumwaNyie Mila zenu ni ujinga,kucheza judo na kareti misikitini ndio Mila nzuri?
Luambo,Sasa MBNA nature ya ma shule wakristo ndio walijenga na hâta waislamu kusoma humo? Sasa aliyetangulia kujua kusoma Kwann hakujenga mashule?
Unaweza ukatusaidia hizo shule zilizokuwa zinaitwa muslim schools ziko wapi na zilikuwa zinawaandaa wanafunzi kuwa kitu gani?Luambo,
Waislam walijenga shule zikiitwa Muslim School.
Nan...Unaweza ukatusaidia hizo shule zilizokuwa zinaitwa muslim schools ziko wapi na zilikuwa zinawaandaa wanafunzi kuwa kitu gani?
Muslim school au madrasa?Mbona hii kitu ni ngeni kwangu?Nan...
Kila walipokuwa Waislam palikuwa na Muslim School.
Shule hizi zilikuwa zinaishia darasa la nne kisha mwanafunzi anajiunga na shule ya serikali darasa la tano na kuendelea.
Nan...Muslim school au madrasa?Mbona hii kitu ni ngeni kwangu?
Bro huu uwongo hata mtoto wa kindergarten atakushangaa. Anyway udini ni sawa na bangi, bangi yako inakupeleka kubaya.Luambo...
Waislam ndiyo watu wa kwanza kujua kusoma, kuandika na hesabu.
Hizi wataalamu wa elimu wanaita 3Rs yaani Reading, Writing and Arithmetic.
Haya yalikuwa Pwani ya Afrika ya Mashariki kabla Wazungu hawajafika.
Na elimu hii ilisomeshwa katika madrasa.
Waalimu wa kwanza kusomesha shule za Wamishionari walikuwa Waislam kwani wao tayari walikuwa wameshaelimika.
Haya yameandikwa na Abel Ishumi na paper yake ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.
Sheikh mfano Mojawapo ya hizo shule ni ipi?Nan...
Inahitaji kusoma ndiyo utaweza kufahamu.
Ikiwa uko Dar-es-Salaam nenda Maktaba ya Chuo Kikuu bahati mbaya jina la paper ya Abel Ishumi kuhusu elimu jina nimesahau lakini mkutubi atakusaidia.
Soma hiyo paper utaongeza maarifa yako.
Huwa kama hapa kitaa kuna misikiti mitatu imeambatana badala yake ungekuwepo na eneo hilo lingine wajenge shule.Wamekazana kujenga misikiti tuu kila kona badala kujenga taasisi za elimu. Badae wanasema wapo wanatengwa kielimu.