Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Makamba family na wengine wachache wana shukran!
 
Makamba family na wengine wachache wana shukran!
Sina kumbukumbu za Makambas kusoma shule za mission, ni Yusufu ameoa mwanamke Mkatoliki, hajawahi badili dini!, jina la January ni la KiKristo, na kwa sisi Wakatoliki, Muislamu ukioa mwanamke Mkristo Mkatoliki, watoto ni wa Katoliki!.
P
 
Kuna vumbi litatimka mda si mrefu hapa ila nadhani watu kama Jakaya walijua sana kuheshimu ukiristo kama ilivyo kwa usilamu
Nje ya mada Paskal natamani kuona Majaliwa anakuwa Rais wa nchi siku Moja ukinipinga nabadili mawazo🙌

Yule wmbae kimsingi alitakiwa kujiuzuru baada ya kuonekana kuongepea Taifa kuwa JPM alikuwa mzima akichapa kazi kumbe hi mahututi sana ??
Au sio huyo ?
 
Paskali ungeongea haya maneno kwenye utawala wa Sharia, hukumu yako ni kifo tu.
Uislamu na Qurani na Muhammadi hawana Neno msamaha.
Shoga ni lazima achinjwe?

Ni kwamba wanajiona kama ni Malaika. wa Nuru.


Wakati wanakubaliana na kuabudu Majini.?!
 


Kwa huko kukubaliana na kuabudu Majini ?

Majini ni mashetani.
 
Sisi mpaka leo tuna mila zetu nyie mila zenu ndio ulevi na wizi


Sitetei dhambi .
Lakini na nyie dhambi iwazongayo upesi na kuwatawala ni uchawi na ushirikina na ibada za majini.
Sasa afadhali ya mlevi analewa kujifurahisha nafsi yake bila kumdhuru mtu mwingine ,
Je Mchawi na mshirikina ambae kazi yake ni kuharibu maisha ya watu , kuua, kutia WAT-u magonjwa, kufarakanisha watu, kuharibu ndoa, kufunga Watu uzazi n.k yupi ni afadhali. ??
Kato ya mlevi na Mchawi ??
 
Hadi miaka ya mwanzoni mwa Uhuru wa Tanganyika Waislam wasomi walikuwa wanahesabika.
Sababu wengi walichelewa kufanya maamuzi ya kwenda Shule maana walikuwa wanaogopa kwenda kubatizwa na kulishwa nyama ya nguruwe.
Sababu hizo na nyinginezo zikapelelea kuwa na pengo kubwa sana katika idadi ya wasomi wakristo na wasomi waislam.
Ni sababu ya kihistoria.
Na wakristo wa kitanzania sio walosababisha wao wako innocent.
Hiyo ilitokana na mfumo wa kikoloni.
Sababu hata wakristo watanzania nao wakifanya kuamua kuipokea hiyo dini kabla ya hapo waliamini katika dini za kienyeji za mababu.
Sasa chakushangaza ile ule uzushi wa kusema kuna mfumo Kristo unaopendelea Wakristo , sio kweli na muogopeni Mungu wenu.
Semeni iliyo haki.
Mwenye nacho huongozewa na asomacho kupinguziwa.
Sababu wakristo wameendelea kuongezeka kusoma pengo nalo linaongezeka.
Hata zikotangazwa nafasi za kazi wasomi wakristo watajitokeza wengi kuomba na kushindana na sio upendeleo.
 
Sababu nyingine ni kama hizo za kuoa na kuolewa mapema , dini yenu ina support hayo badała ya ku-focus kwenye kuendelea na masomo ya elimu za juu Halafu mje kusema kuna upendeleo ?’
Hebu Muogopeni Mungu wenu.
Semeni iliyo kweli na haki.
 
Hii thread ina bunch of logical fallacies na kutumia made up stereotypes kama basis of facts. While simultaneously ignoring the fundamental qualities zilizoshared za binadamu wote. Nikipata muda nitai-dissect with prestine logical accuracy.

But in all of honesty, hakuna mtu mwenye dini mwenye uwezo kuliko mwingine, that fact alone cancels itself.
 
Sina kumbukumbu za Makambas kusoma shule za mission, ni Yusufu ameoa mwanamke Mkatoliki, hajawahi badili dini!, jina la January ni la KiKristo, na kwa sisi Wakatoliki, Muislamu ukioa mwanamke Mkristo Mkatoliki, watoto ni wa Katoliki!.
P
Hapo kwa muislam akioa mkatolik watoto ni wakatolik umetudanganya. Nimeshudia wakatoliki wanawake/wanaume wanapokufa wanatengwa na kanisa, na hawapewi huduma ya kanisa kisa kuishi na muislam au mchumba sugu
 
Hapo kwa muislam akioa mkatolik watoto ni wakatolik umetudanganya. Nimeshudia wakatoliki wanawake/wanaume wanapokufa wanatengwa na kanisa, na hawapewi huduma ya kanisa kisa kuishi na muislam au mchumba sugu
Kutengwa ni dini zote zinatenga unapokwenda kinyume, hivyo hao wanaotengwa wanapokufa, hawategwi kwasababu wameolewa na Waislamu, Wakatoliki wanatengwa kwa kutoshiriki sala za Jumuiya Ndogo, Wakutheri na Waanglicana kuna kosa unakuwa umelitenda ukaondolewa kundini, ukifa bila kurudishwa kundini, ndipo unatengwa.

Sisi Wakatoliki tuna mpaka mafuta ya utakaso, yanaitwa krasma, ukipakwa kabla hujafa, dhambi zako zote zinafutika unakwenda straight mbinguni, peponi hata JPM ndio yuko huko Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
 
Nina ushahidi na ninachokisema ukiishi uchumba sugu/ au muislam upewi huduma za kanisa labda kanisa likufumbie macho. Na hapa tuwashukuru wachungaji wa makanisa ya kilokole ndio wanaokuja kutoa huduma
 
Ni kwann mnaongea bila utafiti ? Ulifika pale ukachunguza na kugundua hili? Kwa taarifa yako kuna mpaka jumuiya za wanafunzi wakristo na wanaishi comfortably sio hilo tu kuna mpaka wafanyakazi wasio waislam , tafuten taarifa kabla ya kukurupuka kuleta hoja humu
 
Nina ushahidi na ninachokisema ukiishi uchumba sugu/ au muislam upewi huduma za kanisa labda kanisa likufumbie macho. Na hapa tuwashukuru wachungaji wa makanisa ya kilokole ndio wanaokuja kutoa huduma
Lile tendo ni ibada, kulitenda bila kibali ni kuvunja amri ya 6!, kwa nini uishi na mtu bila ndoa?!, Kuishi na mtu bila ndoa ni dhambi ya uzinifu, walitakiwa kwenda kanisani kubariki ndoa ili kufanya tendo kihalali, kanisa linaruhusu Mkristo Mkatoliki kuoa au kuolewa na mtu wa dini yoyote Ali mradi watoto ni lazima wawe Wakatoliki, kinyume cha hapo ni kwenda kinyume!, na hao wachungaji wa vikanisa vya mchoro mchoro vya kupigia bingo, wanapojifanya kuokoa jahazi, ni kujifurahisha kwa nafsi zenu tuu nyinyi mliopo lakini kule mbinguni, moto uko pale pale!, ila kwa bahati nzuri tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo.
P
 
Huu ni ulevi na kibri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…