Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Mohamed Said
 
Siku zote nilikuwa namuona Paskal Mayala mtu mwenye upeo mkubwa, Leo nimeona ni mtu mmpumbavu kabisa.

Unakuja na mada ya kuwagawa watanzania badala ya kuwajenga, hivi kuna tofauti gani kati ya hao wanao lalamika na wewe sasa?.

Jee na wewe unahisi unatakiwa kuwashukuru Wazaramu kwa kukuachia kuishi Dar?. Kama wakristo wasomi kweli kwanini miji ilio endelea ni yenye jamii ya waislamu wengi tu?.
 
Hivi kwanini huwa hampendi ukweli na mnapenda kulialia sana? Sasa hapa unapinga nini?

Unaweza kuweka ushahidi wa School Fee waliochajiwa hao waislam unaosema walilipia? Ni kiasi gani walicholipa?
 
Kinacho ni shangaza ni kwamba mleta mada ni msomi mwana hustoria ila ameshindwa kujua kwamba "mission school and colonial schools are two sides of the same coine" ukueleza source of income of the colonial government, waislamu hawakua sehemu ya colonial economy watatoa je shukurani wakati pesa ilio tumika ilitokana na labourforce ya colonial economy.

Acha kupotosha mr P the colonial government alikua na kusudio la kubagua waislamu kwa kuwanyima elimu dunia na government posts kwa kutumia colonial bureacracy.

1. Waislamu walisaidia sanaa hi nchi kufika hapa tulipo hususani kupata uhuru kwasbb wa kuristo wengi walikua part and parcel of colonial state. (Collaborators) ni juhudi za waislamu tuliweza kuunda vuguvugu za kuomba uhuru.

2. Waislamu wanapaswa kupewa fidia na state appology kwa kunyanyaswa na kuporwa mali zao kubaguliwa na wa colony pamoja callaborators wao.kuna siku tutapata Raisi wa kufidia waislamu mali zao walizo poteza kwa ajiri ya nchi hi.

3. Waislamu ndo wamekaribisha na kukarimu wa kuristu kufika hapo walipo, Nyerere hakua na ndugu dar es salaam au jamaa waislamu walimuamini wakamfundisha ustaarabu wa kukaa mjini wakamlipa mshahara kwa pesa zao lakini badaye aliwageuka wa fuata wa kuristo wenzake.

4. Nyie wa kuristo mfikie mahara mpende waislamu na muwepe vote of appreciation kwa sacriface ya nchi hi, muache kushupaza shingo kwasbb ya elimu mlizo pata sasa, waislamu wasingejiyolea mgefia huko mikoani kwenu.
 
Naunga mkono hoja .
 


Mohamed Said akiona hii moto utawaka 🔥 🤣🤣🤣
 
Sometimes nafikiriaga sana watu weusi sijuwi tunakuwaga na matatizo gani.
Unasema shule za mission zilichukuwa wanafunzi wote bila kujali dini na saivi unaweka uzi Waislam waliobahatika kupata hizo elimu wawashukuru kwa kiwafikisha walipo, Kama hatuzingatii kigezo cha dini kwanini waislam peke yao ndo unataka wafeel kama wako na deni na sio wakristo pia. Elimu walipewa watoto wote (Wakristo na waislam) kwanin hilo kundi lingine ndo liwe la kukumbushwa kuwa lina deni na sio hao wengine!!?
Sometimes ukiangalia tu mtu mada anazoweka na maongezi yake ni rahisi kujuwa uwezo wake wa kufikiria pia ulivyokuwa.
Hii nchi sio ya waislamu wala wakristo, Hii nchi ni ya watanzania, tukianza kujiona leo tofauti kwasababu ya dini tutakuja kuijiona tofauti kwasababu ya kabila, kisha tutafata rangi, wasomi na wasiosoma na kila aina ya ubaguzi utafuata. Vijana kama nyinyi wenye mawazo ya kishamba ni hatari sana kwa taifa changa kama Tanzania.
Niishie hapa, ila nachukizwa sana na watu wa aina kama yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…