Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mkuu, heshima kwako. Wako mashehe lukuki wenyi ilimu ya juu katika Uislamu ambao waliiona nuru wakaokoka, hawa wamekuwa mashuhuda wazuri sana wa yanayoendelea ndani ya Uislamu. Si vema sana kubeza elimu ya Wakristo kuhusu Uislamu.Shida ipo sehemu moja tu wakristo wengi hawana elimu juu ya uislam kwaiyo wanamezeshana propaganda sana juu ya uislam.
Lakini bado sioni tatizo kuitwa wafuga majini kama ufugi uwezi chukia kitu ukiona unakasilika ujue unayafuga.
By the way, shehe Shariff majini wa Mabibo akisoma hapa atakuelewa? Unasemaje kuhusu shehe yahaya marehemu na huyo mtoto wake aliyerithi majini?