Waislamu Mnafeli wapi?

Wapo wengi sana. Ukiona mtu anafanya ushirikina ndiyo majini hao.
Haujawahi kusikia padri anawaambia waumini lete nywele au udongo wa nyumbani kwako?
Mkuu hao wa hivyo Ni wachungaji na manabii na mitume feki
 
Mkuu hao wa hivyo Ni wachungaji na manabii na mitume feki
Kuna wanao jiita Mapadre na Wachungaji na Waaskofu nk. ni wachawi kabisa na wanaroga.
Nia yao ni kupata pesa tu na cheo.

Wakati wa kugombea vyeo kwenye baadhi ya makanisa au kutaka waumini wengi wanaenda kuroga kwa waganga wa kienyeji ili watimize haja zao.
Wengine ndio hao wabakaji.

Uzuri Ukristo upo bayana kabisa fanya hivi fanya vile.

Ambao wanafanya kinyume inaonekana dhahiri kuwa sio wakristo hata kama wanajiita hivyo.
Na Yesu amewaita kabisa ni Magugu waliochanganyika na Mazao safi.

Tofauti na dini nyingine ambayo mafundisho yake tu yanaenda kinyume na mafundisho ya manabii wa kwenye Biblia.
Halafu wanajinasibu kuwa Muanzilishi wa dini ni yule yule wa kwenye Biblia.

Katika Biblia kila nabii anayekuja baadae anatolewa unabii na yaani anatabiriwa na anachokuja kusema ambacho ni kipya kabisa.

Nabii ambaye hajasemwa katika Biblia kuwa atakuja huyo hachangamani na manabii waliopita hata kama huyo nabii analazimisha kuhusiana nao.
 
Kuna sehem niliwahi kuishi eti usipokuwa na majini unaonekana wa ajabu kweli. Unaweza hata kukosa demu kisa unajulikana hauna jini hata moja😀😀
 
Mimi nimekutana na Mpemba aliyenieleza kwamba majini kwao ni kitu cha kawaida. Na kama Pemba asilimia 99.9 ni Waislamu; hapo unasemaje, hakuna uhusiano? Asilimia 99 ya Wappemba wanafanya biashara kwa kutumia majini. Kama unabisha uliza au chunguza.
 
Unaweza kuthibitisha huyo mwenyezi Mungu yupo kweli? Au tunapigishana stories tu?
 
Mimi nimekutana na Mpemba aliyenieleza kwamba majini kwao ni kitu cha kawaida. Na kama Pemba asilimia 99.9 ni Waislamu; hapo unasemaje, hakuna uhusiano? Asilimia 99 ya Wappemba wanafanya biashara kwa kutumia majini. Kama unabisha uliza au chunguza.

Mkuu biashara zina Siri nyingi Sana

Na wafanyabiashara wengi ushirikina ndio kwao,kwahiyo hao ni wafanyabiashara huenda shirki ni sehemu ya Maisha Yao,kwahiyo sishangai kama wanafanya hivyo.

Ila kwakuwa wao ni waislamu basi usihukumu Kwa Dini Yao,wahukumu wao na matendo Yao

Kama Uislamu umesema waislamu waishi na majini naomba ulete andiko hapa,kama huna zitakuwa ni porojo tupu

Huwa sipendi porojo
 
Pamoja na mambo mengine wewe nakukubali sana.
Ila hujui tu asili ya Uislamu.

Uislamu ulikuwa ni dini ya wapagani toka zamani wakimwabudu Allah na watoto wake watatu, Uzza Lutta na Manata.
Na kulisijudia jiwe jeusi la Maka na kutufu uchi.
Nyie leo mnatufu na kitambaa cheupe cha sanda ya kuzikia marehemu. Yaani wafu.
Bila chupi au nguo za ndani, waulize mashehe wako ni kwa nini mtufu na Sanda za kuzikia wafu ?

Ila kwakuwa Waarabu walikuwa hawaivi na Waisraeli walipenda kuwa na Nabii wao.

Waislamu wengi wanajua dini ya Uislamu inamwabudu Mungu halisi.

Kwakuwa hawana jinsi.
Ila nakuambia ndugu yangu.

Ninaye kupenda sana.
Mwenye Busara nyingi sana.
Mpole, mstaarabu sana.

Hata Binti yangu nakupa asilimia 100,
Dini ya Kiislamu ni dini Ya Ibirisi Rusifa.

Ndio maana inapinga kila neno la kwenye Biblia.

Qurani inasema ina wakubali manabii wote. Hili ni sawa.

Hao ni Manabii, lakini mbona haikubali mafundisho yao ?

Yesu au Issa aliagiza sisi wote tubatizwe.

Mbona Muhammadi hataki Ubatizo ?

Sasa unawatambuaje hao Manabii bila kukubali mafundisho yao ?

Leo ilibidi wote tubatizwe ndo tuangalie Muhammadi kaongeza kipi.

Wayahudi walimpima Muhammadi wakamwona ni Nabii feki.

La sivyo wange muunganisha kwenye Biblia.

Leo Biblia ilitakiwa iwe na vitabu vya dini kama.
1. Torati
2. Zaburi
3. Injiri
4. Furkani yaani Qurani.

Ukimfuatilia Muhammadi kafanya maovu sana akiwa Mtume.

Na ilibidi Muhammadi awe bora kumzidi Yesu.

Hivi jiulize ni nani alimtokea Muhammadi pale Pangoni ?

Mbona hakujitambulisha kama Malaika wa Mungu kama wanavyo fanya ?

Kwanini aliyemtokea ampige na kumkabe hadi augue homa.

Na yeye Muhammadi alisema nahisi nilitokewa na Shetani.

Waraga Bin Naufal ndio anakuja kumwambia huyo hakuwa Shetani bali Malaika Jibril.

Kwanini huyo Jibril hakumwambia Muhamadi kuwa mimi ni Jibrili?

Halafu kufumba kufungua macho Majini yanasema Sisi ni Waislamu.

Hivi huhoji hapo ?

Rushidie anakuja kusema Aya za Qurani ni za Shetani. Mnaishia kukifungia kitabu chake na kumhukumu Kumchinja.

Hivi wewe kweli huoni shaka hapo ?

Kila chema cha Mungu kipo wazi.

Freemasons wanaficha mambo yao.

Satanic Church wanaficha mambo yao.

Waislamu wanaficha mambo yao.

Hivi wewe huoni hapo kuna tatizo kweli ?

Hebu waulize mashehe wako usinishambulie mimi.

Anakuja Muhammadi kusema Yesu hakusulubiwa wala kuteswa.

Anasema hivyo miaka mia saba imepita.

Ukienda Israeli kuna Ushahidi wote wa matukio ya Yesu.

Leo Muhammadi anataka tuwakane Wayahudi tumwamini yeye ambaye hakuwahi kumwona Yesu na ni Mwarabu.

Bora Yesu angekataliwa na Wayahudi wenzake.

Anakuja kukataliwa na Mwarabu wa Maka.

Dah
Nimechoka.

Muhammadi ni Mpinga Kristo namba Moja.
 
Mimi nimezaliwa na kukulia kwenye dhehebu la Katoriki.
Niliwahoji mambo ya kumwabudu Bikira Maria na Sanamu zake hadi wakanifukuza kwenye Ukatoriki.

Siuhoji Uislamu tu.
Kwakuwa najitambua na ni mdadisi huwa na chukiwa na wote wasio penda kuhojiwa.

Siwezi kutumbukizwa tu kwenye dini na wazazi. Lazima nii hoji nione umuhimu wake kwangu

Dini isiyo kubali kuhojiwa sio Dini ya Mungu.
Mungu anasema.

Isaya 1:18 Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Mungu halisi anakubali kuhojiwa na kusemezana naye.

Nadhani umenipata.
 
Kiranga Mimi nasema yupo

Sasa wewe ndo unatakiwa uniambie hayupo Kwa udhibitisho

Twende kazi mkuu,,nipo hapa nasubir!
Kusema yupo hata kama hayupo unaweza kusema yupo.

Ndiyo maana nikataka uthibitisho.

Na, mwenye burden of proof ni yule anayesema kitu kipo. Anayehoji anatakiwa kuuliza uthibitisho tu, hana burden of proof.

You have the burden of proof.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Hakuna Majini mema hata siku moja.
Kama unampata mganga wa kienyeji mwulize.

Majini ni Malaika wa Shetani.
Ndio maana Majini hayana msaada kwa binadamu zaidi ya kumwua, kumwongopea na kumwibia tu.

Mimi nilienda kuomba pesa za Majini wakati fulani, nilifulia.

Nikaambiwa ili nizipate hizo pesa lazi ma, niue kafara ndugu zangu wa karibu na wakanitajia.

Ni Baba au Mama mzazi.
Au kaka na dada zangu au mke wangu.

Nikauliza basi nataka pesa za Majini Wema Waislamu nikafukuzwa na Mganga wa Kienyeji.

Sasa kama wewe ni Mwislamu safi, Nenda kwa Sharifu Majini.

Mwambie nataka msaada kwa Majini wema waislamu.

Utakachoambiwa njoo uniambie.
 
Hee! Kwa hiyo majini humuambudu Mola? Kiaje mku? Hebu fafanua tafadhali.
 
Rudi kajifunze upya dini..unapo sali baada ya kumaliza unageuka kulia na kushoto kuwasalimu wakina nani kama sio majini.

Uislamu na majini ni samaki na maji.

#MaendeleoHayanaChama
Aisee hii mm pia nime isikia kua wanaacha nafasi yakuswali nao pamoja,tena wanaongea wao wenyewe, sasa km Mungu alisha ya laani iweje mswali pamoja, nanikwann ktk kitabu chao kue na aya za kudhuru kwaku watumia hao, nakingine woote majina ni wakina Ally, sijui Jini maimuna sijaskia wakuitwa Jonh na maeneo yenye wakazi ya wengi wavaa makubazi ushungi kunakua na uswahili mwingi na ushirikiana, na maendeleo ni kwa wachache labda uwe gwiji, km Bagamoyo, Kilwa, Ujiji, Tanga mjini, Lindi, Tabora haswa mjini yaani kuna maeneo ukipita full kusikia harufu ya Viazi wenyewe wanakwambia hayo maeneo ndio yapo sana haswa ktk miti mikubwa
 
Hee! Kwa hiyo majini humuambudu Mola? Kiaje mku? Hebu fafanua tafadhali.

Nikuulize Kwanza kitu kimoja

Je unajua kwamba Nabii Daud alikuwa akiomba dua,ndege na milima ilikuwa inaitikia pamoja nae?
 
Unaweza kuwa sahihi na kinyume chake vile vile.

Nikuulize wewe ukijitazama unadhani umeumbwa na Nani?

Kama sio Mungu basi burden of proof itakuwa kwako unifahamishe ilikuwaje kuwaje mpaka akapatikana Kiranga
 
Unaweza kuwa sahihi na kinyume chake vile vile.

Nikuulize wewe ukijitazama unadhani umeumbwa na Nani?

Kama sio Mungu basi burden of proof itakuwa kwako unifahamishe ilikuwaje kuwaje mpaka akapatikana Kiranga
Kwa nini swali liwe "umeumbwa na nani?"

Huoni kwamba hata swali lako limelenga kwenye jibu unalolitaka?

Umekuta jani la muembe mlangoni mwako, unauliza "Mmasai gani kaweka hili jani la muembe hapa mlangoni mwangu?".

Unajuaje aliyeweka hilo jani ni Mmasai?

Kwa nini swali lako liulize Mmasai?

Kwa nini swali lako lilenge kwenye "nani?"
 
Nikuulize Kwanza kitu kimoja

Je unajua kwamba Nabii Daud alikuwa akiomba dua,ndege na milima ilikuwa inaitikia pamoja nae?
Unaweza kuthibitisha haya yalitokea kweli na si stories za watu tu?
 
Kulikuwa na ubishi mtaani kukawa na pande mbili moja ikisema majambazi,wachawi,wezi...huwa wanamuomba mungu na kupewa na upande wa pili ukisema mharifu au mtenda dhambi huwezi kupewa/ruhusiwa na mungu kwa uhalifu wake.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…