Kweli inaweza kuthibitishwa kwa logical consistency, ndiyo maana nikataka uthibitisho.Unapo sema nithibitishe kama hao
majini wapo kweli.
Kweli maana yake ninini ?
Kwakuwa kweli yako wewe huenda isiwe kweli yangu mimi, na tukashindwa kwenda sawa.
Mfano
Kweli ya Waislamu Muhammadi ni Mtume wa Mungu.
Kweli ya Wakristo Muhammadi sio Mtume wa Mungu.
Labda nikuulize kwanza wewe kweli yako ni ipi ?
Ili twende pamoja.
You are very hopeless. And it makes me sad you are counted to be one of the living things in Tz. 😂Kwa hio ambato manake ni tuvijana , kivumishi udogo😁 daa kumbe nabishana na tahira
kufanya udangulo mbinguni ni jambo dogo? Note ukiona ww ni muislamu huwezi ita jini hata moja we kutoka ukoo wa maimuna we uko shalow sana.Mkuu usikurupuke Kaka,bakia kwenye hoja Tu, hayo mambo ni madogo Sana ujue
ivi huoni tu huu ni upuuzi,lucifer ahangaiki na waislam maana wote wakeMnyaazi Mungu. Huelewi matamshi yetu. Hata Shetani anatamkwa Shetwain. Hujui wewe....
Piganeni.Hata Mimi mtu akichapia namuona ndo katoka bush anaanza tumia simu bado mshamba
What is ambato
Hiyo logical consistency ninini? Maana hapa tunaongea kiswahili na nina uhakika hakuna hayo maneno katika lugha ya kiswahili.Kweli inaweza kuthibitishwa kwa logical consistency, ndiyo maana nikataka uthibitisho.
Thibitisha majini wapo kweli, halafu thibitisha pia kwamba huyo Mungu wako yupo kweli.
Uhakika ni nini?Hiyo logical consistency ninini ?
Maana hapa tunaongea kiswahili na nina uhakika hakuna hayo maneno katika lugha ya kiswahili.
Au nikuulize tutumie lugha gani katika hoja zetu ?
Kwako muulizaji
"Logical consistency" siyo naneno ya lugha ya Kiswahili.Uhakika ni nini?
Umepata wapi na vipi uhakika kwamba hakuna hayo maneno katika Kiswahili?
Acha kuongea kitu ambacho hukijuiWaislam wote mnafuga majini.......acheni kujitetea
Ukiona huna jini Basi ujue ww bado upo shallow sana
Kwamba umeshindwa andika kiswahili, unadhani ukiandika kingereza ndo nitakuona una akili? Wewe ni zero mamalia kichwa imejaa makamasiYou are very hopeless. And it makes me sad you are counted to be one of the living things in Tz. 😂
"Logical consistency" siyo naneno ya lugha ya Kiswahili.
Labda lugha ya Kiyunani.
Usijali kesho nitayatafuta
Uhakika ni nini?"Logical consistency" siyo naneno ya lugha ya Kiswahili.
Labda lugha ya Kiyunani.
Usijali kesho nitayatafuta nijue ni ya lugha gani.
Na jamaa anaweza kusema kuwa amemtaja Bakhesa kama tajiri sio tajiri aliyetajirika kea makini.Angalia hiyo sentensi yake, yawezavunjwa vunjwaWewe pia thibitisha huko motoni kupo kweli.
Uhakika ni matokeo ya uhakiki,Uhakika ni nini?
Umepata wapi na vipi uhakika kwamba hakuna hayo maneno katika Kiswahili?
Ukiwa huna la kusema bora unyamazeUnaogopa nn sheikh??? Unaficha nn sheikh,?
Nioneshe hao waloelimika hapa?Kwani wewe unaogopa nini?
Kwani ni mara ya Kwanza Uislamu kutukanwa mkuu
Hapa tuna elimishana ili huu ujinga WA kuamini kila wanachoambiwa kuhusu Uislamu kuwa sio sahihi.
Sijatukana mtu yoyote hapa wala sijatukana Dini ya mtu
Relax mkuu
Nakupa hii, Ukiona sehemu watu wanaficha ficha jambo ujue kuna walakiniUkiwa huna la kusema bora unyamaze
Akitukanwa mzazi wako utapigana au ww ukitukanwa yawezekana ukaua kabisaaIla wavaa kobazi akili zenu, Sasa uislamu ukitukanwa ww unaumia nn?
Sisi hatuelimishani mitandaoni sisi tunaenda kukaa chini kusomeshwa hatufichi kitu sisiNakupa hii.......Ukiona sehemu watu wanaficha ficha jambo ujue kuna walakini