Waislamu Mnafeli wapi?

Waislamu Mnafeli wapi?

Hakuna Malaika waasi mkuu futa hiyo dhana katika kichwa fasta

Malaika ni viumbe Safi Sana WA Mwenyezi Mungu na ndio wasaidizi wake,hawezi kuwa na viumbe wa ovyo.

Ingia darasani Kwanza ndo uje na hizo hoja zako

Shukrani
Inategemea unaongea kutoka Kona ipi, sis wakristo tunaamin shetan alikua malaika akaasi yeye pamoja na group la Malaika kadhaa wakalaaniwa wakatupwa kuzimu
 
Waislamu wengi hawaufahamu uislamu wao.

Maimamu wao hawaambii kabisa namna mwislamu mtu na mwislamu Jini wanayoshiri pamoja kwenye dini yao, hadi wamwamini sana muumini huyo ndio wana mwambia hiyo habari

Mi nikiongea nao najua uelewa wao huwa nawaacha tu.

Uko ushirika mkubwa sana kati ya baadhi mashehe na majini maislamu ndio maana unaona kuwa baadhi ya mashehe wanatabiri nyota na kuagua na kuganga wanafanya hivyo kwa kuwezeshawa na majini

Na mwasisi ni Mtume Muhammadi mwenyewe.
Alikuwa anashiri dini pamoja na majini kama alivyoshiriki na waislamu watu.
Mwogope Mungu mkuu

Ila nimeshajibu hoja zako nyingi katika komenti moja

Kuhusu masheikh wapiga ramli wapo na waagua Nyota wapo,lkn Dini hairuhusu hayo mambo.

Kama ambavyo mapadri Kwa mfano wanawalawiti watoto makanisani je ukristo ndo unafundisha hivyo? Jibu hapana ni Tabia ya mtu tu
 
Inategemea unaongea kutoka Kona ipi, sis wakristo tunaamin shetan alikua malaika akaasi yeye pamoja na group la Malaika kadhaa wakalaaniwa wakatupwa kuzimu
Hiyo yenu sio sahihi kabisa,mmepotoshwa na waandishi WA biblia.

Ebu tafakari hivi,Malaika wameumbwa Kwa nuru na majini Kwa Moto,je Malaika anaweza kuwa jini tena?

Au wewe umeumbwa Kwa udongo unaweza kuwa jini?

Think big mkuu
 
Mimi sijaongelea ushirikiano wa Uchawi kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.

Mimi naongelea ushikiano mzuri wa dini kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.

Kama alivyokuwa anafanya Mtume Muhammadi.



Ungenielewa vizuri ungeniuliza maswali ya kueleweka.
Alikuwa anafanyaje mkuu?
 
Rudi kajifunze upya dini..unapo sali baada ya kumaliza unageuka kulia na kushoto kuwasalimu wakina nani kama sio majini.

Uislamu na majini ni samaki na maji.

#MaendeleoHayanaChama
ndivyo walivyokudanganya kanisani kwako si ndio....hakuna kitu kama hicho ndugu yangu...
 
Hayo majini na mashwetwani wanayoyakumbatia na kuyafuga ndio hayo hayo yanayowafanya wauwe na kujilipua..wachukie wasio waaislamu..waandamane kukataa kujengwa kwa makanisa..wachome moto makanisa na matendo mengine ya hovyo ambayo sio mazuri kwa mwanadamu mwenye dini na aliye staarabika.

Hakika hayo mapepo yawatoke mana ndio chanzo cha jihadi na ugaidi.

#MaendeleoHayanaChama
Unaonyesha jinzi ulivyo mpuuzi

Unaleta mambo ambayo hata hayahusiki
 
Hiyo yenu sio sahihi kabisa,mmepotoshwa na waandishi WA biblia.

Ebu tafakari hivi,Malaika wameumbwa Kwa nuru na majini Kwa Moto,je Malaika anaweza kuwa jini tena?

Au wewe umeumbwa Kwa udongo unaweza kuwa jini?

Think big mkuu
Sio sahihi kivip we jamaa unavituko ni sahii 100, sio sahii kwako

Mapokeo yenu ndo sio sahii sisi ni sahii na hakuna uongo na bible imethibitisha hilo
 
Sio sahihi kivip we jamaa unavituko ni sahii 100, sio sahii kwako

Mapokeo yenu ndo sio sahii sisi ni sahii na hakuna uongo na bible imethibitisha hilo
Huo uongo mkuu

Amini usiamini ni juu yako

Karibu sana
 
Waislam wote mnafuga majini.......acheni kujitetea

Ukiona huna jini Basi ujue ww bado upo shallow sana
Nimesoma coment hii nikaipenda na inakujibu
"Wakristo wengi hawana elimu yoyote juu ya uislam kwaiyo, wanategemea propaganda za uongo na bila kujaribu kutafuta ukweli huziamini; Watu watakuja kuhukumiwa kwa kutotafuta ukweli!
 
Nimesoma coment hii nikaipenda na inakujibu
"Wakristo wengi hawana elimu yoyote juu ya uislam kwaiyo, wanategemea propaganda za uongo na bila kujaribu kutafuta ukweli huziamini; Watu watakuja kuhukumiwa kwa kutotafuta ukweli!
Kweli kabisa mkuu

Wakristo wengi ni watu wakulishwa matango Pori Tu.

Na mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe

Wanajua hawa kondoo wakijua ukweli wataingia katika Uislamu

Na ndio maana wanakatazwa kuuliza maswali kwasababu hakuna majibu

Na wale ambao huitafuta kweli yote humjua Mungu wa kweli.

Anyway tubakie kwenye mada Tu tafadhali.
 
Huna kipya, alafu unavyokomalia uthibitishiwe who are you
Wewe jifunze herufi za Kiswahii kwanza, ujue tofauti ya "alafu" na "halafu", kabla ya kujitutumua kujibizana nami.

Halafu elewa ninapohoji uthibitisho si suala langu mimi, ni suala la logical consistency.

Unaelewa logical consistency ni nini?
 
Unajiaibisha. Hiyo bi adjective na neno "Tuvijana" hiyo ni kivumishi au adjective ya kuonesha udogo. Au kudogosha....nlijua tu ni maamuma wewe.
Kwa hio ambato manake ni tuvijana , kivumishi udogo😁 daa kumbe nabishana na tahira
 
Wapo Majini wa Kiislamu wanaokuja kuswali katika misikiti ya Waislamu.

Wengine wanakuja bila kuonekana na ma maamuma. Ila maimamu aliyesomea elimu ya Kijini wanawaona.

Wengine wanakuja kuswali katika umbo la kibinadamu kabisa wake kwa waume na wanaonekana na waumini wote ila wenye elimu ya Kijini tu ndio wanao watambua kuwa sio binadamu wa kawaida bali ni Majini.

Ukitulia na kufuatilia hili kwa mashehe wako watakueleza kwa ufasaha kabisa.
Thibitisha kwamba hao majini wapo kweli na habari za kuwapo kwao si hadithi tu.
 
Sasa kama mnasema Kuna Majin wazuri kuwafuga Kuna shida gani kwenu
 
Thibitisha kwamba hao majini wapo kweli na habari za kuwapo kwao si hadithi tu.
Unapo sema nithibitishe kama hao
majini wapo kweli.
Kweli maana yake ninini ?

Kwakuwa kweli yako wewe huenda isiwe kweli yangu mimi, na tukashindwa kwenda sawa.

Mfano
Kweli ya Waislamu Muhammadi ni Mtume wa Mungu.

Kweli ya Wakristo Muhammadi sio Mtume wa Mungu.

Labda nikuulize kwanza wewe kweli yako ni ipi ?
Ili twende pamoja.
 
Back
Top Bottom