Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekana
Mungu hakuona aibu kuvizungumzia viumbe vyake viitwavyo majini kwenye Qur'an ati kwa kua havionekani,
Kumbukeni mkatae au mkubali majini yapo na hayajajiumba yenyewe yupo aliyeyafinyanga japo dini yenu inayaogopa pia haiyataji ama inayataja kwa wogawoga
Uislam pekee ndio dini ya haki inayoweza kukuelezea ni nini kinatokea kaboa mtu hajafa, akiwa anakata roho, akizikwa, maisha yake ya kaburini yapoje na siku ya ufufuo ni uislam pekee utayakuta haya dini nyingine zote ama hazijui ama zinaogopa
Sent from my M100 using
JamiiForums mobile app