Waislamu Mnafeli wapi?

Waislamu Mnafeli wapi?

Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.

Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
Naam, Majini hawatakiwi kukaa katika miili ya WanaAdamu. Nawanasihi wenye Majini kwenda kufanyiwa Ruqya ya Kishari'ah na tiba zinazokubalika Kishari'ah ili kuwaondoa Majini. Na wala sio kukaa nao. Msidanganyike na sijui Maruhani sijui Majini Sharifu, ni wahuni hao. Hao ni mashaitwani.

Na kama ni Majini Waislam basi watakuwa Majini wabaya wenye kufanya maasi na mambo ya uzushi kama walivyo baadhi ya Waislam katika WanaAdamu. Hivyo hakuna Majini wazuri wanaokalia watu mwilini. Kama ni Waislam kweli waende huko wakamuabudu Allah katika makazi yao.
 
😁😁😁 mbona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe mkuu

Are u okay?
Ulivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)
 
Sio dhana ya kufuga Majini.
Bali ni kwamba Majini ni washirika wenzenu kwenye Dini ya Kiislamu.

Mfano wewe ni imamu
Unaposwalisha Majini maislamu nayo yanakuja kuhudhuria swalisha yako.

Je unayawekea vipi mazingira yao mazuri.
Unayakaribishaje
Unayaagaje baada ya swala.

Ndio maana nakuambia mwislamu bila kujua ulimwengu wa Kijini bado hujakuwa mwislamu.

Wale masharifu watoto ni kwamba wanapagawa na Majini maislamu wakiwa bado wachanga, ambayo Majini yanawapa uwezo wa kuikariri qurani yote pamoja na hadithi zake na kujua maana yake.
Bila kusoma chuo chochote.

Yuko Sharifu mmoja anajiita kabisa jina lake Shehe Sharifu Majini.
Unaweza kumwona akakupa ufafanuzi zaidi

Kwa taarifa yako kila mnapo swali na majini waislamu wanakuwepo.

Ndio maana unasikia Waislamu wanafuga Majini.
Ni kwamba ili uujue uislamu basi ni lazima uwajue Majini.
Na uwaelewe namna ya kuhusiana nao.
 
Ulivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa

Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani

Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor

Karibu sana
 
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa

Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani

Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor

Karibu sana
Tulia soma vizuri nivyoandika hapo juu.
 
Ulivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa

Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani

Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor

Ka
Naam, Majini hawatakiwi kukaa katika miili ya WanaAdamu. Nawanasihi wenye Majini kwenda kufanyiwa Ruqya ya Kishari'ah na tiba zinazokubalika Kishari'ah ili kuwaondoa Majini. Na wala sio kukaa nao. Msidanganyike na sijui Maruhani sijui Majini Sharifu, ni wahuni hao. Hao ni mashaitwani. Na kama ni Majini Waislam basi watakuwa Majini wabaya wenye kufanya maasi na mambo ya uzushi kama walivyo baadhi ya Waislam katika WanaAdamu. Hivyo hakuna Majini wazuri wanaokalia watu mwilini. Kama ni Waislam kweli waende huko wakamuabudu Allah katika makazi yao.
Swadakta Al akhy

Shukrani Kwa mchango maridhawa
 
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa

Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani

Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor

Karibu sana
Sawa msalimie bwana ako wa kislam
 
Maimuna ni muislam sijawahi msikia huyo jini kwa wakristo

Ndugu zetu wangekuwa wanafuga nyuki hii nchi ingekuwa ya asali tupu, kila mtu Ana jini lake
Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekana

Mungu hakuona aibu kuvizungumzia viumbe vyake viitwavyo majini kwenye Qur'an ati kwa kua havionekani,

Kumbukeni mkatae au mkubali majini yapo na hayajajiumba yenyewe yupo aliyeyafinyanga japo dini yenu inayaogopa pia haiyataji ama inayataja kwa wogawoga

Uislam pekee ndio dini ya haki inayoweza kukuelezea ni nini kinatokea kaboa mtu hajafa, akiwa anakata roho, akizikwa, maisha yake ya kaburini yapoje na siku ya ufufuo ni uislam pekee utayakuta haya dini nyingine zote ama hazijui ama zinaogopa

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Sio dhana ya kufuga Majini.
Bali ni kwamba Majini ni washirika wenzenu kwenye Dini ya Kiislamu.

Mfano wewe ni imamu
Unaposwalisha Majini maislamu nayo yanakuja kuhudhuria swalisha yako.

Je unayawekea vipi mazingira yao mazuri.
Unayakaribishaje
Unayaagaje baada ya swala.

Ndio maana nakuambia mwislamu bila kujua ulimwengu wa Kijini bado hujakuwa mwislamu.

Wale masharifu watoto ni kwamba wanapagawa na Majini maislamu wakiwa bado wachanga, ambayo Majini yanawapa uwezo wa kuikariri qurani yote pamoja na hadithi zake na kujua maana yake.
Bila kusoma chuo chochote.

Yuko Sharifu mmoja anajiita kabisa jina lake Shehe Sharifu Majini.
Unaweza kumwona akakupa ufafanuzi zaidi

Kwa taarifa yako kila mnapo swali na majini waislamu wanakuwepo.

Ndio maana unasikia Waislamu wanafuga Majini.
Ni kwamba ili uujue uislamu basi ni lazima uwajue Majini.
Na uwaelewe namna ya kuhusiana nao.
Nitarudi mkuu ktk kujibu hadith yako maana inaonyesha ni kiasi gani umemezeshwa upuuzi

Nitarudi mkuu!
 
Hii dunia imejaa udanganyifu mwingi sana.
Kiukweli kabisa hakuna kiumbe kinachoitwa "jini". Shetani na Jini hawana tofauti yoyote ile. Ni majina tu tofauti lakini kiumbe ni yule yule.

Kuna Malaika watiifu kwa MUNGU na pia kuna Malaika waasi. Hao malaika waasi ndio wakapewa jina na kuitwa "Mashetani" yaani maana yake "Maadui".

Sass hao malaika waasi kwa sababu wao ni "wadanganyifu" wamekuwa wakiwatokea Wadamu katika maumbo na sura tofauti tofauti na kujifanya kuwasaidia Wanadamu.

Dhana ya kusema eti kuna Majini mazuri, majini mabaya, na Mashetani ni mbinu ya Malaika waovu (Shetani) kuwapotosha wanadamu. Hizo ni roho zidanganyazo tena zina uwezo wa kujibadilisha na kufanana kabisa na Malaika watiifu.

Ndiyo maana mnaambiwa; "itafuteni KWELI na hiyo KWELI itawaweka huru.
 
Nitarudi mkuu ktk kujibu hadith yako maana inaonyesha ni kiasi gani umemezeshwa upuuzi

Nitarudi mkuu!
Ukifika maeneo yaliyo na waislamu wengi kama Kigoma, Pemba, mombasa.
Swala majini utaweza kuliewa kwa mapana zaidi maaana yanakuwepo sana sehemu yenye waislamu watu.

Halafu hapa mi nimeongelea Majini Waislamu ambayo maandiko yenu yanawakubali kama ni viumbe vizuri tu

Hapa siongelei Majini waovu kama mnavyosema. Nayazungumzia yale ambayo mnasema yamesilimu na yanafuata nguzo zote za Uislamu.

Ningekuwa na maongezi na wewe binafsi ningekuambia namna ya kumtambua Jini mwislamu wakati na baada ya Swala.

Ukimwambia kwa utaratibu shehe wako anaweza kukugusia hili swala.
 
Sio dhana ya kufuga Majini.
Bali ni kwamba Majini ni washirika wenzenu kwenye Dini ya Kiislamu.

Mfano wewe ni imamu
Unaposwalisha Majini maislamu nayo yanakuja kuhudhuria swalisha yako.

Je unayawekea vipi mazingira yao mazuri.
Unayakaribishaje
Unayaagaje baada ya swala.

Ndio maana nakuambia mwislamu bila kujua ulimwengu wa Kijini bado hujakuwa mwislamu.

Wale masharifu watoto ni kwamba wanapagawa na Majini maislamu wakiwa bado wachanga, ambayo Majini yanawapa uwezo wa kuikariri qurani yote pamoja na hadithi zake na kujua maana yake.
Bila kusoma chuo chochote.

Yuko Sharifu mmoja anajiita kabisa jina lake Shehe Sharifu Majini.
Unaweza kumwona akakupa ufafanuzi zaidi

Kwa taarifa yako kila mnapo swali na majini waislamu wanakuwepo.

Ndio maana unasikia Waislamu wanafuga Majini.
Ni kwamba ili uujue uislamu basi ni lazima uwajue Majini.
Na uwaelewe namna ya kuhusiana nao.

kuna mambo unashindwa kuelewa mkuu, Majini ni viumbe kama binaadamu, wapo wa aina tafauti, wapo waislamu na wasio waislamu, wapo Waumini nawasio waumini.

Jini yoyote ambaye ana mashirikiano na binaadamu kwenye mambo ya uchawi huyo ni shetani mkuu.

Amelaanika kabisa. hao masharifu unaowazungumza wote ni washirikina na wachawi, Uislamu hauwatambui kabisa.
 
Shida ipo sehemu moja tu wakristo wengi hawana elimu juu ya uislam kwaiyo wanamezeshana propaganda sana juu ya uislam.

Lakini bado sioni tatizo kuitwa wafuga majini kama ufugi uwezi chukia kitu ukiona unakasilika ujue unayafuga.
Kuna muislamu hana majini?
 
kuna mambo unashindwa kuelewa mkuu, Majini ni viumbe kama binaadamu, wapo wa aina tafauti, wapo waislamu na wasio waislamu, wapo Waumini nawasio waumini. Jini yoyote ambaye ana mashirikiano na binaadamu kwenye mambo ya uchawi huyo ni shetani mkuu. Amelaanika kabisa. hao masharifu unaowazungumza wote ni washirikina na wachawi, Uislamu hauwatambui kabisa.
Mimi sijaongelea ushirikiano wa Uchawi kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.

Mimi naongelea ushikiano mzuri wa dini kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.

Kama alivyokuwa anafanya Mtume Muhammadi.

Ungenielewa vizuri ungeniuliza maswali ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom