Waislamu Mnafeli wapi?

Waislamu Mnafeli wapi?

kuna mambo unashindwa kuelewa mkuu, Majini ni viumbe kama binaadamu, wapo wa aina tafauti, wapo waislamu na wasio waislamu, wapo Waumini nawasio waumini. Jini yoyote ambaye ana mashirikiano na binaadamu kwenye mambo ya uchawi huyo ni shetani mkuu. Amelaanika kabisa. hao masharifu unaowazungumza wote ni washirikina na wachawi, Uislamu hauwatambui kabisa.
Hao Masharifu mala kadhaa tunaona ndio waalimu wazuri wa dini.

Akizaliwa mtoto Sharifu anatembezwa sehemu mbali mbali kutoa mihadhara ya dini na kuombea waislamu wenye madhaifu mbali mbali.

Wewe bado hujaufamu Uislamu kwa usahihi.
 
Hao Masharifu mala kadhaa tunaona ndio waalimu wazuri wa dini.

Akizaliwa mtoto Sharifu anatembezwa sehemu mbali mbali kutoa mihadhara ya dini na kuombea waislamu wenye madhaifu mbali mbali.

Wewe bado hujaufamu Uislamu kwa usahihi.
Na zawadi kibao wanampa
 
Na zawadi kibao wanampa
Waislamu wengi hawaufahamu uislamu wao.

Maimamu wao hawaambii kabisa namna mwislamu mtu na mwislamu Jini wanayoshiri pamoja kwenye dini yao, hadi wamwamini sana muumini huyo ndio wana mwambia hiyo habari

Mi nikiongea nao najua uelewa wao huwa nawaacha tu.

Uko ushirika mkubwa sana kati ya baadhi mashehe na majini maislamu ndio maana unaona kuwa baadhi ya mashehe wanatabiri nyota na kuagua na kuganga wanafanya hivyo kwa kuwezeshawa na majini

Na mwasisi ni Mtume Muhammadi mwenyewe.
Alikuwa anashiri dini pamoja na majini kama alivyoshiriki na waislamu watu.
 
Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekana

Mungu hakuona aibu kuvizungumzia viumbe vyake viitwavyo majini kwenye Qur'an ati kwa kua havionekani,

Kumbukeni mkatae au mkubali majini yapo na hayajajiumba yenyewe yupo aliyeyafinyanga japo dini yenu inayaogopa pia haiyataji ama inayataja kwa wogawoga

Uislam pekee ndio dini ya haki inayoweza kukuelezea ni nini kinatokea kaboa mtu hajafa, akiwa anakata roho, akizikwa, maisha yake ya kaburini yapoje na siku ya ufufuo ni uislam pekee utayakuta haya dini nyingine zote ama hazijui ama zinaogopa

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Maimuna wenzio watakuja ku like
 
Back
Top Bottom