Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kweli inaweza kuthibitishwa kwa logical consistency, ndiyo maana nikataka uthibitisho.Unapo sema nithibitishe kama hao
majini wapo kweli.
Kweli maana yake ninini ?
Kwakuwa kweli yako wewe huenda isiwe kweli yangu mimi, na tukashindwa kwenda sawa.
Mfano
Kweli ya Waislamu Muhammadi ni Mtume wa Mungu.
Kweli ya Wakristo Muhammadi sio Mtume wa Mungu.
Labda nikuulize kwanza wewe kweli yako ni ipi ?
Ili twende pamoja.
Thibitisha majini wapo kweli, halafu thibitisha pia kwamba huyo Mungu wako yupo kweli.