Waislamu na fikra finyu za kuifanya Tanzania kuwa dola ya Kiislamu

Waislamu na fikra finyu za kuifanya Tanzania kuwa dola ya Kiislamu

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa wakijadili kwa kujigamba kuwa mkakati wao unaelekea kukamilika.

Mkakati wenyewe ni kuhakikisha 51% ya raia wa Tanzania wanakuwa waislamu ili Tanzania itangazwe kuwa dola ya kiislamu.

Nilishangaa sana kuona wanaojiita wasomi, wakijadili jambo la kipumbavu namna hii. Wao wanadai serikali inahofia kuweka kipengele cha dini kwenye sensa kwasababu inawaogopa wao.

Vilaza wengine wakawa wanasema idadi ikishafika 51% ni haki yao kutangaza hivyo hata kwa jihad.

Kwakutumia elimu ya saikolojia nilibaini washiriki wote wa mjadala huo walikuwa ni watu wenye maisha magumu sana, sijui nikwanini wasitumie muda wao vizuri kujikomboa kiuchumi.

Nashauri serikali ya Samia impeleke jani Chande na Abduli kusikiliza madai ya hawa watu na kuleta ripoti kabla hawajaleta ujinga maana najua Rais wetu akikasirika anaua raia wake halafu anaunda tume kumsafisha, sasa tusifikie huko, hawa watu wasikilizwe na kupelekwa mirembe ikibidi.
 
76% hadi 23% itakuwa ngumu sana.
 
Muwakubalie tu.Mnawakosesha misaada ya tende-halua kutoka kwa ndugu zao bila sababu za msingi.
 
Masikini wengi na waliokata tamaa ya maisha ndio wafia dini, wewe si unaona nchi za kiarabu uchumi uko juu na Wananchi wake wengi wanajiweza kiuchumi ,umewashawaona wanapigania dini wale. Tena waliofurahia muislamu mwenzao Iran alivyoburuzwa ni wao. Umasikini ni mbaya sana. Hata wakristo wanaodanganywa na kina Gwajima, Mwamposa n.k. wengi ni masikini, watajiri ni wachache sana wanaoamini huo upuuzi wa watumishi wa Mungu fake.
 
Back
Top Bottom