Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?