Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
- Thread starter
- #21
Wewe mshirikina huna uwezo wa kuyajuwa haya.Vijana waliopotoka katika kutafuta Ubatili
Ulikuwa unatambia uchawi hapa kwani ulifundishwa na hao Waisrael?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mshirikina huna uwezo wa kuyajuwa haya.Vijana waliopotoka katika kutafuta Ubatili
Nimeona avatar yako, nikaona kuwa wewe ndio hujitambui😆Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Ukishasikia kauli 'IMEANDIKWA.........' Basi tambua Unaanza kurogwa ili Utapeliwe sio wewe tu, bali na kizazi chako chote.Upotoshaji ulianzia kwenye phrase "tafsiri ya huu mstari....". Ukiskia hivyo tu ni mauongo yanapangana hapo mbele!
ukijibu hivi itabidi ujibiwe majibu ya hovyo kama we unavyojibuNaabudu Mungu.
Kwa Wakristo!; Torati ni Kumbukumbu ya Historia ya Wokovu Wetu tu!Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Anamajibu mepesi mepesi,kashindwa taja Mungu yupi.[emoji13]ukijibu hivi itabidi ujibiwe majibu ya hovyo kama we unavyojibu
Kivipi?Kwa Wakristo!; Torati ni Kumbukumbu ya Historia ya Wokovu Wetu tu!
Scripture zote zinakubaliana katika hilo.Wewe unajuaje kama sisi si wana wa Abraham?
Yaani unakuta mswahili anajifanya muisrael na mwarabu wa Yemen.
Huu utumwa wa fikra tunaouita dini ndiyo unatuletea ufukara. Haiwezekani mshahara wako unaumega asilimia 10 eti unampa Mungu.
Hizi dini ni utapeli uliyojipanga. Waarabu wanauza makanzu, kofia, tende e.t.c
Hawa matapeli wengine wanauza rosari, misalaba, hostia, divai, sanamu na sadaka wanakula e.t.c
Wanajenga mashule ila bila muumini kulipa hakuna mtoto atakaye soma. Yanajenga mahospitali ila muumini anakufa kwa kukosa hela ya matibabu.
Kwanini tusifuate dini zetu za kale na tuzipe dhamani kwani sadaka zitachangwa zitabaki hapa hapa na wala hazitaenda vatican.
Haujajibu swaliScripture zote zinakubaliana katika hilo.
Hili jipya kwangu, kumbe Mungu huyu huyu ameandika kitabu? kipi hicho?Hakuna kitabu kilichoandikwa na binadamu yeyote.. hata wa israili... kama ni mfatiliaji wa masuala ya dini na kuamini imani husika... kila kitabu kimetoka kwa Mungu huyo huyo mmoja na ujumbe wao hua unafanana... ila kutokana na kupishana kwa muda mrefu na kutokuwepo njia za kuyahifadhi maandiko hayo... basi wanaadamu wanayabadilisha kuendana na matakwa yao... ndio maana huo kuwa na mijadala mingi ya kuangalia ukweli wa vitabu vilivyopo vya sasa
Tume andiko linalosema kuwa taurati inawahusu wasilaeli tuIli tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Ila wengine wakiabudu ushoga ndio inakuwa dhambi?Uhuru wa kuabudu uheshimiwe.
Lete andiko kutoka kwenye qur,aan linalo kubali kuwa pombeUna anza kujamba, wewe ni Muisrael, soma kumbukumbu ka torati kitabu kizima, wewe mmatumbi kinakuhusu nini?
Waisrael wameruhusiwa kunywa Divai na pombe kwenye torati, waislamu wanakatazwa kunywa pombe, halafu Quran inakikubali kitabu cha torati, huu ni uchizi insanity.
Tuambie kina nani wanaabudu Ushoga?...Ila wengine wakiabudu ushoga ndio inakuwa dhambi?
Mwanamke kujiita mfalme Zumaridi ni sawa tu? huu ndio Uhuru wa kuabudu?
Wewe ni mkiristo unae jifichaMungu yupo ila Madhehebu haipingiki ni biashara za watu, Mungu angekuwa na dini ya kweli na dhehebu la kweli wengine asingetusaidia angewasaidia hao hao wenye dhehebu na dini ya kweli..... Dini na madhehebu watu wejiwekea wapige pesa