Yaani unakuta mswahili anajifanya muisrael na mwarabu wa Yemen.
Huu utumwa wa fikra tunaouita dini ndiyo unatuletea ufukara. Haiwezekani mshahara wako unaumega asilimia 10 eti unampa Mungu.
Hizi dini ni utapeli uliyojipanga. Waarabu wanauza makanzu, kofia, tende e.t.c
Hawa matapeli wengine wanauza rosari, misalaba, hostia, divai, sanamu na sadaka wanakula e.t.c
Wanajenga mashule ila bila muumini kulipa hakuna mtoto atakaye soma. Yanajenga mahospitali ila muumini anakufa kwa kukosa hela ya matibabu.
Kwanini tusifuate dini zetu za kale na tuzipe dhamani kwani sadaka zitachangwa zitabaki hapa hapa na wala hazitaenda vatican.