Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Shobo zao ndo zinawasumbuaIli tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza Maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho lipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na wewe muislamu wa Tanzania wewe ni muisrael?
Halafu jiulizeni dini za Ibrahim zipo nyingi, kwa ni waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao, ulishawahi kuwasikia Wahindi au budha kufanya promo ya dini zao? hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? nyinyi ni Waisrael?
Una anza kujamba, wewe ni Muisrael, soma kumbukumbu ka torati kitabu kizima, wewe mmatumbi kinakuhusu nini?Misguided youth in pursuit Vanity
Dubai ni nini?Una anza kujamba, wewe ni Muisrael, soma kumbukumbu ka torati kitabu kizima, wewe mmatumbi kinakuhusu nini?
Waisrael wameruhusiwa kunywa Dubai na pombe kwenye torati, waislamu wanakatazwa kunywa pombe, halafu Quran inakikubali kitabu cha torati, huu ni uchizi insanity.
Mpwa naomba uache kwanza tumalizane na CAG nakuomba sanaIli tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza Maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho lipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na wewe muislamu wa Tanzania wewe ni muisrael?
Halafu jiulizeni dini za Ibrahim zipo nyingi, kwa ni waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao, ulishawahi kuwasikia Wahindi au budha kufanya promo ya dini zao? hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? nyinyi ni Waisrael?
Hapa tunaongerea Torati kwa sababu inakubalika na waislamu na Wakristo, tukishelewana hapa ni rahisi wewe kutoka kwenye gereza la imani na kutambuwa kumbe ulikuwa na dini yako, siyo hizi zilizoletwa miaka 2000 iliyopita wakati dunia INA miaka zaidi ya billion 4.Kwani hii Quran na hii Biblia zinatumia kitabu cha Torati pekee katika mafundisho yao?
Typo error ni Divai. hizi keyboard prediction ni changamoto.Dubai ni nini?
Hauoni kufanya hukumu ya jumla kwa kutumia kitabu kimoja tu siyo sahihi?Hapa tunaongerea Torati kwa sababu inakubalika na waislamu na Wakristo, tukishelewana hapa ni rahisi wewe kutoka kwenye gereza la imani na kutambuwa kumbe ulikuwa na dini yako, siyo hizi zilizoletwa miaka 2000 iliyopita wakati dunia INA miaka zaidi ya billion 4.
Tuna anza na kimoja kwanza ili kupata mwanga.Hauoni kufanya hukumu ya jumla kwa kutumia kitabu kimoja tu siyo sahihi?
Umesema torati wameandikiwa waisrael si waislamu wala wakristo. Vitabu vingine katika Quran au Biblia hawajaandikiwa wahusika?
Naabudu Mungu.We unaabudu wapi ili tuanze kukujibu hoja yako ?
Mfano wakakubali kukiondoa kitabu cha Torati kwakua hakiwahusu vyote vilivyobaki vinawahusu?Tuna anza na kimoja kwanza ili kupata mwanga.
Swali ni kwa nini dini zingine hazifanyi promotion isipokuwa hizi dini mbili tu uislamu na Ukristo?
Umeshawahi kuona Wahindi wanataka waswahili muingie kwenye temple zao? au mnadhani zile siyo dini? tena wale dini yao ni ya zamani kuliko hizi dini zenu za Ukristo na uislamu.
Wewe ni Mkorinto? Mgalatia, muefeso, mlawi au muebrania? Mbona vitu viko wazi sana tunajitowa akili tu?Mfano wakakubali kukiondoa kitabu cha Torati kwakua hakiwahusu vyote vilivyobaki vinawahusu?
Vijana waliopotoka katika kutafuta UbatiliMisguided youth in pursuit Vanity
Yaani unakuta mswahili anajifanya muisrael na mwarabu wa Yemen.Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza Maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na wewe muislamu wa Tanzania wewe ni muisrael?
Halafu jiulizeni dini za Ibrahim zipo nyingi, kwa ni waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao, ulishawahi kuwasikia Wahindi au budha kufanya promo ya dini zao? hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? nyinyi ni Waisrael?
Kwanza Mungu wala haitaji pesa, pesa ni Man made, atakuwa Mungu wa ajabu amuumbe binadamu halafu aombe pesa kwa binadamu, wakati Mungu ana uwezo wa kusema tu na iwe na inakuwa kweli, halafu atuombe ten percent sisi? huu ni Utapeli pasee.Yaani unakuta mswahili anajifanya muisrael na mwarabu wa Yemen.
Huu utumwa wa fikra tunaouita dini ndiyo unatuletea ufukara. Haiwezekani mshahara wako unaumega asilimia 10 eti unampa Mungu.
Hizi dini ni utapeli uliyojipanga. Waarabu wanauza makanzu, kofia, tende e.t.c
Hawa matapeli wengine wanauza rosari, misalaba, hostia, divai, sanamu na sadaka wanakula e.t.c
Wanajenga mashule ila bila muumini kulipa hakuna mtoto atakaye soma. Yanajenga mahospitali ila muumini anakufa kwa kukosa hela ya matibabu.
Kwanini tusifuate dini zetu za kale na tuzipe dhamani kwani sadaka zitachangwa zitabaki hapa hapa na wala hazitaenda vatican.