Waislamu na Wakristo wote hawajitambui, naongea na nyinyi leo

Nimeona avatar yako, nikaona kuwa wewe ndio hujitambui😆
 
Upotoshaji ulianzia kwenye phrase "tafsiri ya huu mstari....". Ukiskia hivyo tu ni mauongo yanapangana hapo mbele!
Ukishasikia kauli 'IMEANDIKWA.........' Basi tambua Unaanza kurogwa ili Utapeliwe sio wewe tu, bali na kizazi chako chote.
 
Kwa Wakristo!; Torati ni Kumbukumbu ya Historia ya Wokovu Wetu tu!
 

Duuuh kwel umesema ukwel
Mashule yao karo juu
Hospital zao matibabu bei juu na ata waumini wao hawatibiwi kwa garama nafuu wakat sadaka zao ndo zimejenga
Na kuna waumini kibao wanakufa kwa kukosa matibabu wakat wana mahospitar kibao
 
Hakuna kitabu kilichoandikwa na binadamu yeyote.. hata wa israili... kama ni mfatiliaji wa masuala ya dini na kuamini imani husika... kila kitabu kimetoka kwa Mungu huyo huyo mmoja na ujumbe wao hua unafanana... ila kutokana na kupishana kwa muda mrefu na kutokuwepo njia za kuyahifadhi maandiko hayo... basi wanaadamu wanayabadilisha kuendana na matakwa yao... ndio maana huo kuwa na mijadala mingi ya kuangalia ukweli wa vitabu vilivyopo vya sasa
 
Hili jipya kwangu, kumbe Mungu huyu huyu ameandika kitabu? kipi hicho?
 
Biblia imeandikwa na watu wa Israel zaidi ya asilimia 50% wameandikiwa wa Israel. Huku ikisema Israel ni taifa teule mataifa mengine hawafai.
Na hata wakizaana nao ( hao mataifa) Mungu alikuwa anawapa adhabu mbali mbali.
Agano jipya ni kuhusu maisha na matendo ya Yesu na vitu walivyofanya wanafunzi na wafuasi wake baada ya kufa kwake ( humu ndio mataifa mengine wameanza kupata nafasi).

Yesu alikuwa muisrael lakini namba ya wayahudi ambao ni wakristo haifiki hata asilimia tano
Harakati nyingi za Kueneza neno zilifanyika middle east lakini, middle east wakristo ni wachache sana. Ndani ya karne moja namba ya Wakristo imepanda kwa ajabu sub saharan Africa.
Naongea hivi nikiwa kama mkristo( wa kuzaliwa not by choice) nnayeuelewa ukristo.
Ila mpangilio wa Ukristo hauniingi akilini Binafsi.
 
Tume andiko linalosema kuwa taurati inawahusu wasilaeli tu
 
Lete andiko kutoka kwenye qur,aan linalo kubali kuwa pombe
 
Ila wengine wakiabudu ushoga ndio inakuwa dhambi?

Mwanamke kujiita mfalme Zumaridi ni sawa tu? huu ndio Uhuru wa kuabudu?
Tuambie kina nani wanaabudu Ushoga?...

Huyo anayejiita Zumaridi amekuharibia nini wewe kwa kujiita hivyo ?
 
Mungu yupo ila Madhehebu haipingiki ni biashara za watu, Mungu angekuwa na dini ya kweli na dhehebu la kweli wengine asingetusaidia angewasaidia hao hao wenye dhehebu na dini ya kweli..... Dini na madhehebu watu wejiwekea wapige pesa
Wewe ni mkiristo unae jificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…