Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
- Thread starter
-
- #41
Wewe akili yako haiko sawa, soma torati majibu yako hapo humo, una smartphone Ina kila kitu, download Biblia soma.Tume andiko linalosema kuwa taurati inawahusu wasilaeli tu
point of correction: Abrahamic religions ziko tatu tu-Judaism, Christianity and IslamIli tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Kwahiyo shoga wewe anakuharibia nini?Tuambie kina nani wanaabudu Ushoga?...
Huyo anayejiita Zumaridi amekuharibia nini wewe kwa kujiita hivyo ?
Uwezi fahamu dini bila kusoma vitabu husika pia upate walimu wabobezi sio kanjanja kama weweHapa tunaongerea Torati kwa sababu inakubalika na waislamu na Wakristo, tukishelewana hapa ni rahisi wewe kutoka kwenye gereza la imani na kutambuwa kumbe ulikuwa na dini yako, siyo hizi zilizoletwa miaka 2000 iliyopita wakati dunia INA miaka zaidi ya billion 4.
Kwahiyo shoga wewe anakuharibia nini?
Kwa modern day world Wakorinto wako located wapi? Je waefeso? Wagalatia? Walawi au waebraniaWewe ni Mkorinto? Mgalatia, muefeso, mlawi au muebrania? Mbona vitu viko wazi sana tunajitowa akili tu?
Huyu ajui lolote anajinyea tu utachsmbua dini bila kusomeshwa vitabu husikaHauoni kufanya hukumu ya jumla kwa kutumia kitabu kimoja tu siyo sahihi?
Umesema torati wameandikiwa waisrael si waislamu wala wakristo. Vitabu vingine katika Quran au Biblia hawajaandikiwa wahusika?
point of correction: Abrahamic religions ziko tatu tu-Judaism, Christianity and Islam
hizo nyingi zako umeingiza hadi ubudha na uhindu ni wazi umedandia mambo usiyoyajua
Hili ndio lilikuwa lengo kuu huko kwingine alikuwa anazunguka tuMbona unachanganya mambo ?....mada yako uliyoanzisha inahusu Ushoga au au vitabu vya dini ?
Simamia mada moja basi tukuelewe.
Masuala ya dini yanahitaji akili ya ziada maana tumezaliwa tumekuta hizi dini ila imani inabaki pale pale, amini unachokiamini kama kinakusaidia ila usiondoe uhai wa mtu kisa mali. Husichopenda kutendewa nawe usimtendee mtu . Dini ya kweli ni kufuata njia ilinyooka.Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Kwani si hata Hitler alitaka kuitawala dunia?Kwa modern day world Wakorinto wako located wapi? Je waefeso? Wagalatia? Walawi au waebrania
Wajua wakristo wameambiwa wakasambaze injili ulimwengu wote?
the point is not hinduism and budhism. And when you go deep into thos bahai, Yezid, Druze and Samaritan you see similarities with New Age teaching NOT TorahWhen people refer to the Abrahamic religions they are usually thinking of Judaism, Christianity and Islam. There are, in fact, more Abrahamic religions, such as the Baha'i Faith, Yezidi, Druze, Samaritan and Rastafari.
Kwahiyo unakubali Abraham religion siyo tatu peke yake?the point not hinduism and budhism
Umehamisha magoli hapo mkuuKwani si hata Hitler alitaka kuitawala dunia?
Tuanze na dini ya isilamu ilianza mwaka gani na ninani muanzilishi wake na alianzisha kwa faida gani jibu litoke kwenye qur,aanTuna anza na kimoja kwanza ili kupata mwanga.
Swali ni kwa nini dini zingine hazifanyi promotion isipokuwa hizi dini mbili tu uislamu na Ukristo?
Umeshawahi kuona Wahindi wanataka waswahili muingie kwenye temple zao? au mnadhani zile siyo dini? tena wale dini yao ni ya zamani kuliko hizi dini zenu za Ukristo na uislamu.
Kwani kuisambaza injili duniani kote si ndio kutawala dunia?Umehamisha magoli hapo mkuu
Hiyo ni dini ya juzi tu karne ya saba, na founder wake ni Muhammad ambaye alikuwa ni mfanyabiashara.Tuanze na dini ya isilamu ilianza mwaka gani na ninani muanzilishi wake na alianzisha kwa faida gani jibu litoke kwenye qur,aan
Wewe usie toa asilimia kumi inamiliki nini katika mali?Yaani unakuta mswahili anajifanya muisrael na mwarabu wa Yemen.
Huu utumwa wa fikra tunaouita dini ndiyo unatuletea ufukara. Haiwezekani mshahara wako unaumega asilimia 10 eti unampa Mungu.
Hizi dini ni utapeli uliyojipanga. Waarabu wanauza makanzu, kofia, tende e.t.c
Hawa matapeli wengine wanauza rosari, misalaba, hostia, divai, sanamu na sadaka wanakula e.t.c
Wanajenga mashule ila bila muumini kulipa hakuna mtoto atakaye soma. Yanajenga mahospitali ila muumini anakufa kwa kukosa hela ya matibabu.
Kwanini tusifuate dini zetu za kale na tuzipe dhamani kwani sadaka zitachangwa zitabaki hapa hapa na wala hazitaenda vatican.
Kwanza unapo sema neno mungu linapatikana kwenye vitabu via dini unazozipingaKwanza Mungu wala haitaji pesa, pesa ni Man made, atakuwa Mungu wa ajabu amuumbe binadamu halafu aombe pesa kwa binadamu, wakati Mungu ana uwezo wa kusema tu na iwe na inakuwa kweli, halafu atuombe ten percent sisi? huu ni Utapeli pasee.