No......ni tatu tu. hizo zingine ulizoingiza (bahai, Yezid, Druze and Samaritan) ni New Age. Inawezekana hujui new age movement ndiyo sababu unadhani ni Abrahamic.Kwahiyo unakubali Abraham religion siyo tatu peke yake?
Mungu hamilikiwi na dini, dunia INA miaka zaidi ya Billion 4, hizo dini za miaka 2000 ndio zimjurishe binadamu uwepo wa Mungu?Kwanza unapo sema neno mungu linapatikana kwenye vitabu via dini unazozipinga
Wewe ni Mkorinto? Mgalatia, muefeso, mlawi au muebrania? Mbona vitu viko wazi sana tunajitowa akili tu?
Mungu hamilikiwi na dini, dunia INA miaka zaidi ya Billion 4, hizo dini za miaka 2000 ndio zimjurishe binadamu uwepo wa Mungu?
Hujui lolote.
Una anza kujamba, wewe ni Muisrael, soma kumbukumbu ka torati kitabu kizima, wewe mmatumbi kinakuhusu nini?
Waisrael wameruhusiwa kunywa Divai na pombe kwenye torati, waislamu wanakatazwa kunywa pombe, halafu Quran inakikubali kitabu cha torati, huu ni uchizi insanity.
Duh so unatak kusema hizo pesa anapewa mungu? Are you serious [emoji3]Kwanza Mungu wala haitaji pesa, pesa ni Man made, atakuwa Mungu wa ajabu amuumbe binadamu halafu aombe pesa kwa binadamu, wakati Mungu ana uwezo wa kusema tu na iwe na inakuwa kweli, halafu atuombe ten percent sisi? huu ni Utapeli pasee.
Unaweza kuleta ushahid wa ulichoandika?Hiyo ni dini ya juzi tu karne ya saba, na founder wake ni Muhammad ambaye alikuwa ni mfanyabiashara.
Islamic state na uislamu ni mambo mawili tofautiKwani kuisambaza injili duniani kote si ndio kutawala dunia?
Unadhani malengo ya Islamic state ni nini?
Ushahidi wa nini na kitu kipo wazi?Unaweza kuleta ushahid wa ulichoandika?
Usije ukawa wew ndo chizi.Qur an inakikubal kitabu cha torati kwa angle ipi?
Ukristo umekubalika kutokana na ufunuo wa Ki Mungu uliopo kwenye imani hiyo na kumbukumbu yenye kuonesha mlolongo wa ufunuo huo ukijumuisha karne nyingi za mafundisho yaliyohifadhiwa vizuri.Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?
Mungu anakufaje sasa?Ukristo umekubalika kutokana na ufunuo wa Ki Mungu uliopo kwenye imani hiyo na kumbukumbu yenye kuonesha mlolongo wa ufunuo huo ukijumuisha karne nyingi za mafundisho yaliyohifadhiwa vizuri.
Pia kwenye ukristo kuna UJUMBE KILELE au THE ULTIMATE MESSAGE. Na ujumbe huu ambao ni AMRI YA UPENDO ndio UJUMBE KIINI au CENTRAL MESSAGE ya Ukristo.
Pia zipo habari za Mungu mwenyewe kujifanya mtu na kuonesha upendo wa hali ya juu mno hata kufa kwa ajili ya mwanadamu.
Pamoja na mambo mengine yaliyojipanga kwa mantiki kubwa ya kimwili na kiroho na yenye kugusa moyo wa mwanadamu kimaadili na kifikra, Ukristo humwakikishia mwamini tumaini la uzima wa milele kwa namna ambayo haipatikani katika dini nyingine.
budda na wahindu,ni special kwa ajili ya wahindi peke yake,lakini ukristo na uislam ni kwa ajili ya dunia nzima ndo manake unaona kwenye nyumba za ibada ya wahindi huwezi kuta taifa lingine lolote zaidi ya wahindina ndo manake hawazipromote,,,,,,kwenye ukristo yesu alisema kuwaambia mayahudi hata mkinikataa mimi mataifa yatanikubali na ndo maana aliwaambia mitumie wake siku ya pentekoste 'enendeni mkahubiri injili kwa mataifa yote nahata kwenye uislam ndo manake mtume muhammad s.w.s alipigana vita takatifu jihad ili kuusambaza uislam na kuna wakati alizidiwa vitani akakimbila ethiopia kujisitiri,,kumbuka ethiopia yote ilikuwa chini ya ukristo wa dhehebu la othodox,alipokutana na mfalme wa ethipia kipindi hicho aliulizwa"unamwabudu nani ktk imani"? mtume akamjibu mfalme "namwamini MUNGU mmoja" basi mfalme akafurahi na kusema"kumbe tupo pamoja"akaamrisha mtume na wenzake wapewe hifadhi......ata ukifuatilia kisa cha suleiman na malkia wa sheba labda nikusimulie kidogo\[suleiman alikuwa na uwezo wa kuongea na kiumbe chochote} basi suleiman aliitisha mkutano wa kila chenye uhai kumbuka suleiman alika na uwezo wa kuongea na kila kiumbe,basi ktk mkutano ule alikosekana ndege mdogo aitwaye hudhud,mfalme akauliza yuko wapi hudhud? mara akatokea hudhud,mfalme akamuuliza ulikuwa wapi? akamjibu nimetoka mbali sana,na nimekuta malikia mmoja kafir anaabudu masanamu,mfalme akaandika barua na kutiisha malkia huyo aje au ataangamiza kwa yeye na wa2 wake, masi malikia akaja na alislim{nimefupisha sana hii hadith}...najua utasema mara niseme ethiopia ilikwa chini ya othodox mara walua wanaabudu masanam,,sikia hizi zilia zama tofauti, kati ya mtume na ethiopia iliyokua imestaarabika ka kati ya seleman na wapotovu,na ukiona muislam anamwita mkristo kafir huyo hajasoma,kwani kwenye q'ran tukufu kuna sehem inasema..."kafir sio muislam,sio mkristo,sio msabath na hata kama m2 hafuati dini yoyote lakini anaamini kti MUNGU mmoja na siku ya kiama huyo sio kafir< "ntathibithisha hili kwa vifungu siku ya jumanne"na ndo manake mtume muhammad anasisitiza...wasome vitabu vilivotangulia,na mtume mwenyewe anawatahadharisha waislam juu ya ISSA kwa ndio moja wapo ya dalili za kiama siku atakaporudi na kumbuka q"ran tukufu inazidi kukazia kwamba mama yake issa amebarikiwa kuliko mwanamke yoyote aliyekuepo,aliyepo hai na atakaezaliwa baadae........SIKULAUMU WALA SIKUSHAMBILIA kwa sababu una haki ya kuhojiIli tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni, dini za Ibrahim zipo nyingi, kwanini waislamu na Wakristo ndio wako bize kupromoti dini zao? Ulishawahi kuwasikia Wahindi au Buddha kufanya promo ya dini zao? Hizi dini ni biashara za watu wenye akili.
Sasa karibuni Waislamu na Wakristo mnieleze Torati inawahusu vipi? Ninyi ni Waisrael?