Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole
Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana
Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani anajua au ana huwakika na hayo?
Na walokole mnakuta mtu akitenda dhambi mnasema mumtenge kanisan yaani afukuzwe nilikuwaga na sali katika kikundi cha sara akatokea dada anatongoza wanaume vibaya mno wakawa wanasema tumtemge asije hapa anatuambukiza laana zake
Mimi nilipinga nikasema hakuna mkamilifu ni rehema tu zinatifanya tunafika madhabahuni lakini kama ingekuwa tunaonyeshwa matendo yetu kila siku tusinge fika hapoa tunge chinjana
Nikaja kugundua watu hao wanaonyoshea wenzao vidole ni wabaya sana yaani wana mambo machafu sana
Kiufupii acheni unafiki kuna mtu muna muattack vibaya sans