Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Kukosea haimaniishi Wala hainifanyi nisiwe katka hakiUsijihesabie haki buna unakosea mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukosea haimaniishi Wala hainifanyi nisiwe katka hakiUsijihesabie haki buna unakosea mkuu
Usijihesabie hakiHilo la walokole nawaachia wenyewe.
Ila sisi waislamu tupo katika haqi(kweli) sasa kwa nini tusijiamini? na nini kingine baada ya haqi isipokuwa batili?
Au ulitaka tusemaje?
Haqi(kweli) haichangamani na batili.
😂😂😂😂😂 naomba alfu tatu mkuuTafadhali usiniharibie Swalatul asri.nimeshachukua udhu wangu.
Kanzu yangu haina mfuko.😂😂😂😂😂 naomba alfu tatu mkuu
Unayumba sanaKanzu yangu haina mfuko.
Kwa ubishi sikuweziKukosea haimaniishi Wala hainifanyi nisiwe katka haki
Mfano wa unaowasema ni kimsboy ni mdini ajabuHellow
Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole
Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana
Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani anajua au ana huwakika na hayo?
Na walokole mnakuta mtu akitenda dhambi mnasema mumtenge kanisan yaani afukuzwe nilikuwaga na sali katika kikundi cha sara akatokea dada anatongoza wanaume vibaya mno wakawa wanasema tumtemge asije hapa anatuambukiza laana zake
Mimi nilipinga nikasema hakuna mkamilifu ni rehema tu zinatifanya tunafika madhabahuni lakini kama ingekuwa tunaonyeshwa matendo yetu kila siku tusinge fika hapoa tunge chinjana
Nikaja kugundua watu hao wanaonyoshea wenzao vidole ni wabaya sana yaani wana mambo machafu sana
Kiufupii acheni unafiki kuna mtu muna muattack vibaya sans
No, usinifanye nijione sipo katika haki kama unavyojiona wewe.Usijihesabie haki
😂😂😂😂😂😂No, usininifanye nijione sipo katika haki kama unavyojiona wewe.
Sasa kama sioni kuwa Uislamu ni dini ya haqi hivyo kuna haja gani ya kuendelea kuwa muislamu.
Nimejiridhisha kuwa Uislamu ni dini ya haqi ndio maana nauguata kwa kufa na kupona.
😂😂😂😂😂😂View attachment 2436729No, usininifanye nijione sipo katika haki kama unavyojiona wewe.
Sasa kama sioni kuwa Uislamu ni dini ya haqi hivyo kuna haja gani ya kuendelea kuwa muislamu.
Nimejiridhisha kuwa Uislamu ni dini ya haqi ndio maana nauguata kwa kufa na kupona.
Kwhy huo msimamo wako wa kutomtambua Mungu hauna unafiki???...Kiranga una double standards nyingi Sana sema hujijui tu
Sasa hivi ndio nimeelewa kwanini Walokole ndio mlikuwa mstari wa mbele kupiga vita Mahakama ya Kadhi ya Bakwata.Hatutaki unafiki na Mungu atusaidie tusiwe wanafiki.Na pia hatutaki kuhukumu kwa sababu mwenye kuhukumu kwa haki ni Mwenyezi Mungu peke yake
Kuna sehemu nimeutaja ulokole hapo?,au hujiamini?Sasa hivi ndio nimeelewa kwanini Walokole ndio mlikuwa mstari wa mbele kupiga vita Mahakama ya Kadhi ya Bakwata.
Wapi nimesema sijiamini?Kuna sehemu nimeutaja ulokole hapo?,au hujiamini?
Hua napenda kutumia mfano wa mtoza ushuru na mfarisayo.Hellow
Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole
Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana
Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani anajua au ana huwakika na hayo?
Na walokole mnakuta mtu akitenda dhambi mnasema mumtenge kanisan yaani afukuzwe nilikuwaga na sali katika kikundi cha sara akatokea dada anatongoza wanaume vibaya mno wakawa wanasema tumtemge asije hapa anatuambukiza laana zake
Mimi nilipinga nikasema hakuna mkamilifu ni rehema tu zinatifanya tunafika madhabahuni lakini kama ingekuwa tunaonyeshwa matendo yetu kila siku tusinge fika hapoa tunge chinjana
Nikaja kugundua watu hao wanaonyoshea wenzao vidole ni wabaya sana yaani wana mambo machafu sana
Kiufupii acheni unafiki kuna mtu muna muattack vibaya sans
Unaona unavoenda OP?,nimesema au nimekuuliza?Wapi nimesema sijiamini?
Inawezekana ikawa Ligaba 1.5Unaona unavoenda OP?,nimesema au nimekuuliza?