Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nyie mnaruhusiwa na mnahaki hiyo. Ila hawa ambao babu zao waliingia kwenye dini ili wapate ajira kwa muarabu au misheni, harafu wakawarithisha baba zao, kisha leo wanajidai wanaijua sana na kuipigania ni wapumbavu sana. Wanatakiwa kukaa kimya.Kwa sisi tuliotafuta kwa mapenzi yetu dini na imani ya kweli kwa kusoma imani tofauti tofauti mpaka tukaja ku settle na moja tunaruhusiwa kushupaza shingo?