Kabla sijamtambua Mungu, thibitisha yupo kwanza.
Mimi sina unafiki wala double standard.
Kwa sababu naweza kusema wewe ni mjinga na sikupendi. Nakwambia hapa.
Wewe ni mjinga, na sikupendi.
Kila wiki nawapeleka watu ignore list kwa sababu hii. Wewe mjinga, sikupendi, sitaki kuona post yako tena, nenda ignore list. Bye.
Sina dini inayonikataza kusema sikupendi, sina falsafa inayonikataza kukuita wewe mjinga.Sina tatizo kukupeleka ignore list.
Sina tatizo la unafiki.
Tatizo lipo kwa wale wanaojidai kuwa wanahubiri dini ya upendo, halafu dini yao inakubagua kwa kukosa upendo.
Cognitive dissonance.
Unafiki.