comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nashusha nondo bado nataka majibu, japo thread zangu wenye mtandao wao wanazifutaStill typing…………….
Mambo ya Dini hayanihusu? Labda wewe, Mimi yananihusuUtapata vidonda vya tumbo kwa kuumizwa na mambo yasiyokuhusu tena kwa pesa zao wenyewe.
Dini zote ni biashara hakuna dini ya kweli.
Unahusika vipi na matumizi ya pesa za watu?Mambo ya Dini hayanihusu? Labda wewe, Mimi yananihusu
Soma heading hapo, nipe jibu, kama huelewi kitu au jibu huna pita hivi 👉Unahusika vipi na matumizi ya pesa za watu?
Utakuwa maskini milele kama hutojifunza to mind your own business.
Ndio malengo yangu haya, MTU ajibu majibu , Safi Sana DINI NI BIASHARAYoote hayo UISLAMU unakataza ila WAISLAMU wanafanya kwa faida zao za kidunia.
Usinipangie cha kucomment lofa wewe.Soma heading hapo, nipe jibu, kama huelewi kitu au jibu huna pita hivi 👉
Nimewaza kitu kama hicho, MAONYESHO NI MENGI SANAShow off. Inshort funga ya waislam wakwetu hawa zilizonyingi hazina thawabu.
Sawa, najua hujala, sasa kama hujala hasira zako unaniletea Mimi? Rudi kwenu sitimbi ukalime viaziUsinipangie cha kucomment lofa wewe.
😭😭 hili limeniliza sanaUtapata vidonda vya tumbo kwa kuumizwa na mambo yasiyokuhusu tena kwa pesa zao wenyewe.
Dini zote ni biashara hakuna dini ya kweli.
Wengine wameanza kunitukana, badala ya kunipa majibu, LENGO LA IFTARI ........Ngoja waje na aya
Kinachokuuma wanaofuturisha huna access ya kwenda kubonyea mnuso wa bure ndio hasira zote hizi.Sawa, najua hujala, sasa kama hujala hasira zako unaniletea Mimi? Rudi kwenu sitimbi ukalime viazi
LENGO LA KUFUTURISHA NI NINI??? ( KWA MUJIBU WA IMANI YA KIISLAMU? )Kinachokuuma wanaofuturisha huna access ya kwenda kubonyea mnuso wa bure ndio hasira zote hizi.
Diamond leo kafuturisha Masaki, sasa utaweza kutoka Kiburugwa ufuate futari Masaki?
Uswahili hakuna wa kufuturisha watu wanapambana na hali zao.
Punguza chuki.
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.
Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.