Asalaam alkum....lengo kuu la iftari,nikuwalisha wasio jiweza,mayatimaa,maskini walio funga lakini ftari hawana,pia na kupata thawabu kwa ALLAH.kuna watu wengi tu wanafturisha yatima,maskini bila camera,walaa picha na hii ndo sia na fadhila za ftari na funga. Qruan inasema ole wao wanaufanya ria katika ibada(ria ni kujionesha,).hao wote unao waona wanakosa fadhila za iftari,maana wanafanya kwa kujionesha.yawezekana mzee baharesa alftarisha na kutoa sadaka sanaa lakini ulishamuona anatoa mbele ya camera.