ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Kikubwa wanafuata mfumo. Kuna waislam hawajui majina ya miezi kwa kislam ila Jan-Dec. wanaijua vizuri.Kuna tofauti kati ya kuandika na kusherekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa wanafuata mfumo. Kuna waislam hawajui majina ya miezi kwa kislam ila Jan-Dec. wanaijua vizuri.Kuna tofauti kati ya kuandika na kusherekea
Mbona mnapingana Tena .... Mbona wenzako wanasema muislamu safi hashangilii mwaka mpya ...Mwaka mpya ni kwa watu wote duniani,
Andika mwaka wa kiislamu katika taarifa zako.....msitumie kalenda yetu ya kikristo ..tumieni kalenda ya kiislamu .....Kuna tofauti kati ya kuandika na kusherekea
Ahame nchi sasaMuislam alie soma dini yake hawezi kusherehekea sherehe zenu za kidini hata chakula chenu haruhusiwi kula.
Na kufata mfumo sio shida kwasababu nchi sio ya kislamKikubwa wanafuata mfumo. Kuna waislam hawajui majina ya miezi kwa kislam ila Jan-Dec. wanaijua vizuri.
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sina cha kujadili na weweAndika mwaka wa kiislamu katika taarifa zako.....msitumie kalenda yetu ya kikristo ..tumieni kalenda ya kiislamu .....
Ahame nchi sasa
Usisahau kobazi hapo nje.....Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sina cha kujadili na wewe
Wewe ni mkuundu wa chatuMleta Uzi wee ni matako ya nyoka.
Ndo Nini?Wewe ni mkuundu wa chatu
Sikukuu ya Xmass na Mwaka mpya ni kwa wenye upeo kama wako, kwangu kila siku ni siku mpya na siku yangu Kuu ni ijumaa tuBwana mdogo hapa huna hoja?
Kwanini hamusherekei xmass lakini mwakampya mnatusumbua mtaani kwa kupiga baruti na mikesha?
Dini inawaruhusu?
Sherehekea kwa kujilinda usijelishwa kitimoto
duh!, mh!Wewe ni mkuundu wa chatu
SijuiNdo Nini?
Ameyaanzisha mwenyeweduh!, mh!
Muislam alie soma dini yake hawezi kusherehekea sherehe zenu za kidini hata chakula chenu haruhusiwi kula.
Ongeza na WasabatoHeri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote
Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.
Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi
Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.
Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.
Happy new year, 2025.
Hawa hawajui kuwa aliyekutangulia kakutangilia tu hakuna namna.Hawa haeleweki
Hawaitaki Xmas ila mwaka mpya wanawasha vipuli