Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

nilikuwa najiandaa kukujibu. lakini mungu kanijaliaaa nimeupia jicho avatar na jina lako. nikaona nimeshajiridhisha kuwa wewe ni mtu wa aina nani. . so bro try smthing else hakuna mashiko kwenye hizo ngonjera.. watu tuko bize mlangoni tunawaasubiri mawaziri watimulie na mkulu naye asepe. hiyo yako hadithi ya kale. ukiazna kusimulia tu wasikilizaji wanaendelezea wenyewe.
 
waislamu tunadai nini kwenye katiba mpya?

waislamu sehemu mbali mbali nchini wamekuwa wakiliuliza jukwaa kuhusu ni yepi madai ya waislamu katika utoaji maoni yatakayokusanywa na tume? Yafuatayo ni baadhi ya madai yetu ya msingi kabisa na mengine mtaarifiwa baadae kupitia makongamano na vikao husika;-

  • mahakama ya kadhi iwepo nchini na iwekwe kwenye katiba .
  • usekula wa dola ufafanuliwe maana kimaneno nchi haina dini lakini katika utendaji wa serikali nchini kama vile kuna dini inayopewa kipaumbele.
  • uhusiano wa kimataifa tanzania ijiunge na oic vinginevyo uhusiano na vatican pia uvunjike.
  • uhuru wa ibada utambuliwe (hivi sasa kuna uhuru wa imani na si uhuru wa ibada kwani waislamu wanapotekeleza baadhi ya ibada wanabughudhiwa. Mfano, kusali sala tano kwa wanafunzi, maaskari na wafanyakazi, uvaaji wa hijabu, ufugaji ndevu, bunge kuendelea siku za ijumaa, mitihani kufanyika siku za sikukuu za idi n.k.)
  • haki za kimakundi ziainishwe, zitambuliwe na zitiwe katika katiba.
  • sheria za kiislamu zitambuliwe na ziheshimiwe. Sheria za kiislamu za ndoa, mirathi na talaka na haki za wanawake ziheshimiwe.
  • siku za mapumziko zizingatie imani za dini na siyo wakristo peke yao (jumamosi – wasabato, jumapili – madhehebu mengine ya wakristo).
  • ubaguzi wa kidini unaofanywa na serikali usiwepo. Mfano, serikali kuingia mikataba ya kutoa pato la taifa kwa wakristo kupiti mou.
haya ndiyo baadhi ya madai yetu katika mchakato wa katiba. Waislamu tudai madai haya na hayo mengine tutakayoyatoa.
Imetolewa na;
sheikh muhammad issa

source
jukwaa la waislamu

vatican ni ya wakatoliki kunguru na wala si ya wakristo kama unavyodai. Ukilitaka hili lienende katika usawa kila dhehebu litakuwa na mshirika wake na mwisho wa siku yaweza kuwa chaos.
 
Du!! NAWAONEA HURUMA WALIOTEULIWA KUKUSANYA MAONI. Kama thinking ni hii basi sijui nani ataongelea national issues.

Lakini nisaidieni, mie kumbukumbu yangu ni kuwa vyama vya wafanyakazi ndio walioomba siku ya Jmosi kusiwe na kazi ili waweze angalau mwenye ka mradi kake kama shamba, mifugo n.k apate nafasi ya kuvisimamia na wala sio serikali kutoa kwa sympathy ya Wasabato. Hata hivyo sehemu nyingi ukiacha serikalini Jmosi ni siku ya kazi.

Lakini pia suala la Mou mbona Rais alilitolea ufafanuzi wa kutosha? Hivi MoU ni jambo la kudumu? hivi siku serikali ikijitoa mtadai nini? Aliwaambia kuwa nanyi ombeni muanishe huduma za jamii ambazo hazifungamani na dini yoyote, unapolidai hapa kana kwamba umekatazwa una maana gani? Hii inaonyesha namna ubishi/ wivu/ ulevi wa imani na kutokuwa makini vinayosumbua wengi. Aliyaeleza yote mbele ya baraza la Idd

Kama huamini nenda katika hospitai yoyote inayomilikiwa na kanisa uone kama utaulizwa dini yako ndo uhudumiwe.

Suala la Vatican: Hivi tukiwa na uhusiano na OIC na baaye kwa sababu zozote tukavunja uhusiano wa kibalozi na Vatican, mtakuwa radhi Uhusiano wa OIC ufe eti kwa sababu Vatican imevunja uhusiano? kuwepo kwa A kunategemeana na kuwepo kwa B? Tuna uhusiano na nchi nyingi za Islamic state huko nako hampati misaada ya kutosha mpaka sasa akili zote ziko OIC? Mbona mnataka kutuletea akili za utegemezi? Yaani unajiunga upate msaada/ mkopo basi? Tuna issue ya EAC ambapo tunaweza kupata fursa za kupanua wigo wa masoko na ajira , mbona akili haiwatumi huko? Yaani ukiona caption ya "islamic" mahali basi akili yote inahama unafikira hela ya mafuta na misaada

Suala la ibada: Hapa naona umelishwa sumu tu ya chuki. Serikalini na hata mashirika ya Umma, wanaotaka kwenda sala ya ijumaa wanaenda bila kubughudhiwa na hata nilipokuwa naongea na rafiki yangu akitoka msikitini akaniambia kuwa wameamriwa na Quran kuwa baada ya ibada watawanyike wakajitafutie riziki. University of DSM niliwahi kufanya mtihani jumapili mara nyingi tu.

Mahakama ya kadhi: Unadai kitu ambacho hujazuiwa kufanya, maajabu haya.
 
Hospitali ya bugando 90% ya uendehsaji wake unatoka serekalini,wauguzi,madaktari,wafagiaji,madawa,ujenzi,na nk, vyote hivyo vipo chini ya serikali na hapo ni kodi ya watanzania wote bila kujali ni mkristo,muislamu,mpgani,mhindu,nk. na mgonjwa akifika pale hatibiwi bure kuna gharama ambazo baadhi ya watu hushindwa kuzilipa na kudiliki kupita ktk nyumba za ibada hasa misikitini ili kuweza kupata fedha za kulipa hgalama hizo, SUALI, JE FAIDA YA MAPATO YA HOSPITALI HIYO HUINGIA KANISANI AU SEREKALINI?JE SERIKALI HAIWEZI KUJENGA HOSPITALI ZAKE AU KUPANDISHA BAADHI YA HOSPITAL ZA MIKOA KUWA RUFAA?JE MABILIONI YA FEDHA YANAYOPELEKWA HUKO NI YA WAKRISTO PEKEE?
hizi hospitali za kidini ambazo zipo katika uendeshwaji pamoja na serikali sio kwamba haziwezi kujiongoza hata leo hii. KWANZA UELEWE KUWA, WAGONJWA PALE NI WAISLAM, WAKRISTO NA WATU WOTE, UGONJWA HAUCHAGUI. serikali yenyewe ndo iliwaomba mashirika ya dini ili kwamba itie mkono pale huduma zipungue garama kwasababu serikali haina pesa kujenga mahospitali kila eneo...hivyo ni kwamba wamesubsdise ili wewe na watoto wako wakiislam pia wapate huduma ya chini...kama wewe unaona si vyema kufanya hivyo, andamana hata leo hii kwamba mahospitali na shule hizi zirudishwe kwa makanisa...ili serikali ijenge yao..hapo utalipa garama kubwa sana na ushungi'/kanzu yako utakapoumwa na kuisogelea hospitali hizo...kwasababu huja jinsi, mashehe wako hawajengi shule na hospitali zaidi yakufuga majini na kuroga watu..na kuuza madawa ya kienyeji.....uelewa wenu wote mnauacha kule maka, na misikitini, mkirudi mtaani huwa makopo kabisa...
 
waislamu tunadai nini kwenye katiba mpya?

waislamu sehemu mbali mbali nchini wamekuwa wakiliuliza jukwaa kuhusu ni yepi madai ya waislamu katika utoaji maoni yatakayokusanywa na tume? Yafuatayo ni baadhi ya madai yetu ya msingi kabisa na mengine mtaarifiwa baadae kupitia makongamano na vikao husika;-

  • mahakama ya kadhi iwepo nchini na iwekwe kwenye katiba .
  • usekula wa dola ufafanuliwe maana kimaneno nchi haina dini lakini katika utendaji wa serikali nchini kama vile kuna dini inayopewa kipaumbele.
  • uhusiano wa kimataifa tanzania ijiunge na oic vinginevyo uhusiano na vatican pia uvunjike.
  • uhuru wa ibada utambuliwe (hivi sasa kuna uhuru wa imani na si uhuru wa ibada kwani waislamu wanapotekeleza baadhi ya ibada wanabughudhiwa. Mfano, kusali sala tano kwa wanafunzi, maaskari na wafanyakazi, uvaaji wa hijabu, ufugaji ndevu, bunge kuendelea siku za ijumaa, mitihani kufanyika siku za sikukuu za idi n.k.)
  • haki za kimakundi ziainishwe, zitambuliwe na zitiwe katika katiba.
  • sheria za kiislamu zitambuliwe na ziheshimiwe. Sheria za kiislamu za ndoa, mirathi na talaka na haki za wanawake ziheshimiwe.
  • siku za mapumziko zizingatie imani za dini na siyo wakristo peke yao (jumamosi – wasabato, jumapili – madhehebu mengine ya wakristo).
  • ubaguzi wa kidini unaofanywa na serikali usiwepo. Mfano, serikali kuingia mikataba ya kutoa pato la taifa kwa wakristo kupiti mou.
haya ndiyo baadhi ya madai yetu katika mchakato wa katiba. Waislamu tudai madai haya na hayo mengine tutakayoyatoa.
Imetolewa na;
sheikh muhammad issa

source
jukwaa la waislamu

kial ukilala ukiota lazima uje na utumbo km huu......jipange namna ya kujenga shule, hospitali, barabara na huduma zingine za jamii km wafanyavyo wakristo na utapata thawabu kwa allah wako........
Hivi umewahi kujiuliza au kuuliza au hata kusearch kwenye google "the smallest country in the world "ni ipi?....utaambiwa vatican is the smallest country............katiba haihusiani na dini yoyote...kupumzika jumapili na jmosi kuwa siku fupi ni siku za dunia nzima hata uarabuni iko hivyo..............km tz haiwafai waislamu mi nawashauri wahamie uarabuni au kwingineko kwenye utumbo km huo hapa tz hatutaki mambo ya dini kuendeshwa na serikali....
 
mnadai wali....kipunga au?....mkitandika mkeka na kuanza kuuviringisha kwenye mikono kuubugia kwenye mdogo....unasahau hadi kuswali...hahaha. kalagabaho.
 
[h=2]Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?[/h]Waislamu sehemu mbali mbali nchini wamekuwa wakiliuliza Jukwaa kuhusu ni yepi madai ya waislamu katika utoaji maoni yatakayokusanywa na tume? Yafuatayo ni baadhi ya madai yetu ya msingi kabisa na mengine mtaarifiwa baadae kupitia makongamano na vikao husika;-

  • Mahakama ya Kadhi iwepo nchini na iwekwe kwenye katiba .
  • Usekula wa dola ufafanuliwe maana kimaneno nchi haina dini lakini katika utendaji wa serikali nchini kama vile kuna dini inayopewa kipaumbele.
  • Uhusiano wa kimataifa Tanzania ijiunge na OIC vinginevyo uhusiano na Vatican pia uvunjike.
  • Uhuru wa ibada utambuliwe (hivi sasa kuna uhuru wa imani na si uhuru wa ibada kwani waislamu wanapotekeleza baadhi ya ibada wanabughudhiwa. Mfano, kusali sala tano kwa wanafunzi, maaskari na wafanyakazi, uvaaji wa hijabu, ufugaji ndevu, bunge kuendelea siku za ijumaa, mitihani kufanyika siku za sikukuu za Idi n.k.)
  • Haki za kimakundi ziainishwe, zitambuliwe na zitiwe katika katiba.
  • Sheria za Kiislamu zitambuliwe na ziheshimiwe. Sheria za Kiislamu za ndoa, mirathi na talaka na haki za wanawake ziheshimiwe.
  • Siku za mapumziko zizingatie imani za dini na siyo wakristo peke yao (Jumamosi – Wasabato, Jumapili – Madhehebu mengine ya Wakristo).
  • Ubaguzi wa kidini unaofanywa na serikali usiwepo. Mfano, serikali kuingia mikataba ya kutoa pato la taifa kwa wakristo kupiti MoU.
Haya ndiyo baadhi ya madai yetu katika mchakato wa katiba. Waislamu tudai madai haya na hayo mengine tutakayoyatoa.
Imetolewa na;
Sheikh Muhammad Issa

source
jukwaa la waislamu

Mngefanya la maana kama mngedai kuruani iandikwe kwa kiswahili!!!!
 
Ni kweli lkn kwa nini haya yapo? Na kwa nini wengine wakose? Na wengine wapate? Suala la udini tanzania liliasisiwa mwl.nyerere na ndiyo maana waislam wanatakakulifuta.je wajua chanzo cha kuwepo mapumziko siku ya jumamosi na jumapili.

"no right to say without research"

Correction: "No right to SPEAK without research"
 
Mimi kwanza naamini kuwa mpaka mtu amejiunga na mtandao makini kama Jamii Forums atakuwa angalau ana elimu ya msingi kabisa ambayo ni ya sekondari. Kwa hawa jamaa kuleta hoja kama hii inaonyesha kuwa elimu yao haiwasaidii kabisa. Dunia nzima inajua kuwa
WAKRISTU WANA KATIBA YAO, BIBLIA NA WAISLAM WANAKATIBU YAO, KURAN TUKUFU. Tunatafuta hapa sasa ni katiba ya KISERIKALI NA WALA SI YA KIDINI. Watanzania tuamke tusonge mbele. Watu wa DINI wapo wataendesha mambo yao na sisi tusio wa dini tuendelee mbele na katiba yetu ya TANZANIA. Tuache UDINI, TUJENGE NCHI.

Ebhana eeh! Waambie hawa watu,yaani wao wakilala,wakiamka ni mahakama ya kadhi,ooh! Sijui wakristo wanapendelewa na kashfa nyingine kama hizo. Wajadili mada za kuleta maendeleo ktk nchi.
 
hizi hospitali za kidini ambazo zipo katika uendeshwaji pamoja na serikali sio kwamba haziwezi kujiongoza hata leo hii. KWANZA UELEWE KUWA, WAGONJWA PALE NI WAISLAM, WAKRISTO NA WATU WOTE, UGONJWA HAUCHAGUI. serikali yenyewe ndo iliwaomba mashirika ya dini ili kwamba itie mkono pale huduma zipungue garama kwasababu serikali haina pesa kujenga mahospitali kila eneo...hivyo ni kwamba wamesubsdise ili wewe na watoto wako wakiislam pia wapate huduma ya chini...kama wewe unaona si vyema kufanya hivyo, andamana hata leo hii kwamba mahospitali na shule hizi zirudishwe kwa makanisa...ili serikali ijenge yao..hapo utalipa garama kubwa sana na ushungi'/kanzu yako utakapoumwa na kuisogelea hospitali hizo...kwasababu huja jinsi, mashehe wako hawajengi shule na hospitali zaidi yakufuga majini na kuroga watu..na kuuza madawa ya kienyeji.....uelewa wenu wote mnauacha kule maka, na misikitini, mkirudi mtaani huwa makopo kabisa...

duh bora umewachana live bana...
mimi furahi sana
hope wkend yangu itakua njemaaaa
 
ukiamua kuingia jf uwe tayari kuwa wazi na usionekane mtu anayetafuta huruma ya watu hapa. Me binafsi sina ugomvi na kikundi cha watu wa imani fulani kutaka nini kiwemo kwenye katiba ili mambo yao yaweze kwenda. Lakini tukumbuke katiba siyo ya dini fulani wala ya kikundi kidogo cha watu wanaohitaji matakwa yao yaingizwe ili waishi vizuri. Tukiuchukulia mchakato wa katiba kwa mtazamo huu hatuwezi kupata katiba ambayo italijenga taifa, ila makundi ya watu. Kwa mfano, ccm wana mambo yao ambayo wangelipenda yawemo kwenye katiba ili waendelee kubakia madarani milele daima, chadema nao wana yao ambayo wanapenda yaingie ili washike dola, cuf tayari walishawasilisha mswada wa katiba, siyo mawazo...no mswada wa katiba kwenye wizara ya sheria na katiba. Vivyo hivyo nccr, tadea, tlp, adc, wakatoliki, waanglikana, wasabato, aic, tag, full gospel bible fellowship, waalimu, madaktari, wabunge, wakulima, wafugaji, machinga, mama lishe na kila aina ya kundi ambalo unalifahamu.

Sasa fikiria tukigawanyika katika makundi haya na kila kundi likaainisha mahitaji yake na ndiyo kikawa kilio chao....tutapata katiba ya aina gani? Hapo kutakuwa na katiba kweli au utakuwa utani tunaleta. Maana kwenye madai ya waislamu haujasema kuwa umiliki wa ardhi, matumizi mazuri ya rasilimali, madaraka ya rais, tume huru ya uchaguzi, muundo wa muungano, muundo wa serikali, serikali iwe na wizara ngapi za kudumu na ukomo uwe wizara ngapi, kama ni muhimu kuwa na wakuu wa wilaya, das, ras, na wakurugenzi katika eneo moja la kufanyia kazi, vipi haki za watoto, na mengine mengi ya msingi. Haya hayahusiani na kundi lolote miongoni mwa makundi ambayo nimeyataja hapo juu. Tukisema kila mmoja alizungumzie kundi lake, nani atazungumzia masuala ya kitaifa kama ambayo nimeyaainidha kwa herufi kubwa hapo juu. Hauoni kuwa tutakuwa hatulitendea haki taifa letu?

Hivi waislamu mkipewa mahakama ya kadhi ndiyo kero zenu zitaisha? Tanzania ikijiunga na oic, muislamu wa kagera na kigoma vijijini wananufaika nini na oic? Au ni ulaji wa mashekh tu? Na najiuliza kama mtaruhusiwa kupumzika na kutokufanya kazi siku ya ijumaa kero zinakuwa zimeisha? Mbona mimi mkristu jumapili napiga kazi kama kawaida? Dini ni mapokeo tu...hapo awali kabla ya waarabu na wazungu hatukuwa na ijumaa, jumamosi wala jumapili, tulikuwa tunafanya kazi kila siku za juma na mambo yetu yalikuwa safi kuliko hata sasa ambapo tunajifanya watu wa mungu ilihali hatuzifuati amri zake...nini dini bwana? Angalia nchi ambazo zimejipambanua kuwa za kidini, iraq, iran, libya, na sasa sudan kaskazini, yemen, syria, afghanstan na nyingine nyingi, mambo siyo shwari huko...kila siku watu wanakufa kama mbwa...!

Nashauri...tuangalie na tuchangie mambo ya msingi kwenye tume ya katiba. Tukileta mambo ya udini, wengine wataleta mambo ya ukanda, tutafika mbali na kuleta mambo ya ukabila ya ukijiji, hatutabaki salama. Tuzungumzie mambo ambayo yanatufanya kuwa wamoja kama watanzania. Dini kila mtu ana yake na wengine hawana kabisa na wanaishi, tena maisha mazuri bila stress, dini zenyewe za sasa, wachungaji, mapadri na mashehe wamekuwa wachumia tumbo...hakuna lolote...

Mwalimu nyerere alisema, najua utapinga kwa sababu wewe muislamu...."hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi. Haiishi tu kusema wewe ni mkristo na mimi ni muislamu. Ukimaliza kusema mimi mtanganyika na wewe mzanzibar, tukifika pemba tutasema wewe mpemba na mimi muunguja, huku bara tutasema wewe wa kaskazini na mimi wa kusini, hata kwenye dini, leo unajiita muislamu na kuwaorganize waislamu mambo yenu...siku yakitokea ya kutokea, utasema wewe mshiha...na mimi msuni...wewe muislamu wa tabora na mimi wa mwanza....hadi makanisani....wote ni wakristo...lakini tutasema wewe mkatoliki, na mimi mlutheri...tutabaguana hadi kwenye familia zetu, na tukicheza na dhambi hii, tutaanza kubagua hadi viungo vya miili yetu....wewe mkono wa kushoto na wewe wa kulia." dhambi ya ubaguzi siyo nzuri...

Maji yanatuunganisha wote, maliasili zetu kama misitu, wanyama, madini, gesi, mafuta na makaa ya mawe yanatuunganisha wote kama watanzania. Tukipata katiba nzuri yenye mgawanyo mzuri wa madaraka, kupunguza madaraka ya rais, kuunda tume huru ya uchaguzi kuondoa wakuu wa wilaya, kutengeneza serikalil za majimbo, wote waislamu na wakristo tutafaidika na haya mambo...siyo habari za mahakama za kadhi, kuvaa hijabu, kuabudu...haya nimapokeo tu, yajadiliwe misikitini yaishie huko...sasa tukifikia kuweka kwamba sasa kuvaa hijabu ruksa...kwenye katiba, inakuwa nchi ya kiislamu sasa. Au tuseme sasa mahakama ya kadhi hiyo, serikali itagharamia....na wakristo wakidai yao....? Nani atasema serikali haina dini tena? Tuache hii mambo....asante, naamini utakuwa umenielewa vyema.

Together we can bring the changes we need...yes we can...tuache udini...tanzania mbele kama tai...mengine yanafuata.....

hawa waislamu wana uwezo mdogo sn wa uelewa na ndiyo maana wanafeli sana....inawezekana haya maelezo pia wasiyaelewe
 
hizi hospitali za kidini ambazo zipo katika uendeshwaji pamoja na serikali sio kwamba haziwezi kujiongoza hata leo hii. KWANZA UELEWE KUWA, WAGONJWA PALE NI WAISLAM, WAKRISTO NA WATU WOTE, UGONJWA HAUCHAGUI. serikali yenyewe ndo iliwaomba mashirika ya dini ili kwamba itie mkono pale huduma zipungue garama kwasababu serikali haina pesa kujenga mahospitali kila eneo...hivyo ni kwamba wamesubsdise ili wewe na watoto wako wakiislam pia wapate huduma ya chini...kama wewe unaona si vyema kufanya hivyo, andamana hata leo hii kwamba mahospitali na shule hizi zirudishwe kwa makanisa...ili serikali ijenge yao..hapo utalipa garama kubwa sana na ushungi'/kanzu yako utakapoumwa na kuisogelea hospitali hizo...kwasababu huja jinsi, mashehe wako hawajengi shule na hospitali zaidi yakufuga majini na kuroga watu..na kuuza madawa ya kienyeji.....uelewa wenu wote mnauacha kule maka, na misikitini, mkirudi mtaani huwa makopo kabisa...

Waelimishe kaka! Ila hapo mwisho umemchana sana,mpaka damu zinatoka?
 
Waelimishe kaka! Ila hapo mwisho umemchana sana,mpaka damu zinatoka?

lakini amesema kweli, inakuwaje hospitali zinatibu watu wote, lakini wao wanaotibiwa wanapinga huduma zisiwe supported...inakuja akili ni kweli? kwani hospitali huwa zinatibu wakristo tu? mbona hakuna vitambulisho vya kuingilia hospitali vinavyowataka wakristo tu ndo waingie hospitalini humo? akili au matope haya?
 
hawa jamaa, wakienda maka na msikitini, wakirudi mtaani wamebaki makopo, akili zote wameacha kule msikitini. argument zao unaweza fikiri ni za mwanadamu wa karne ya kumi na nane. punguani si punguani...kuanzia mashehe wao hadi mfagia msikiti.
 
jamani hatupumuziki jumamosi kwa sababu siku zakusali hapana ila duniani kote tuna fahamu hizi ni weekend
 
Hospitali ya bugando 90% ya uendehsaji wake unatoka serekalini,wauguzi,madaktari,wafagiaji,madawa,ujenzi,na nk, vyote hivyo vipo chini ya serikali na hapo ni kodi ya watanzania wote bila kujali ni mkristo,muislamu,mpgani,mhindu,nk. na mgonjwa akifika pale hatibiwi bure kuna gharama ambazo baadhi ya watu hushindwa kuzilipa na kudiliki kupita ktk nyumba za ibada hasa misikitini ili kuweza kupata fedha za kulipa hgalama hizo, SUALI, JE FAIDA YA MAPATO YA HOSPITALI HIYO HUINGIA KANISANI AU SEREKALINI?JE SERIKALI HAIWEZI KUJENGA HOSPITALI ZAKE AU KUPANDISHA BAADHI YA HOSPITAL ZA MIKOA KUWA RUFAA?JE MABILIONI YA FEDHA YANAYOPELEKWA HUKO NI YA WAKRISTO PEKEE?
..hoja maskini hio? na haiendani na hoja ya mahakama ya kadhi/kiislamu, hospital inatibu kila mtu bila kujali rangi au dini hata jinsia, je hio mahakama ya kadhi inahudumia nani? yaani hapo ndugu zangu hamtoki na haitawezekana kabisaaa
 
That altitude ndo itakayoibomoa Tanzania Wakritu or Waislamu wote ni wa Tanzania those claim kwamba wanaonewa si kweli hebu jiisolate wewe kama wewe lini ulibaguliwa kwasababu ya imani yako?au ulinyimwa haki yako kwasababu ya imani yako?Haya maneno ya mtaani ya mtu akijiskia whether iwe kwa wivu au otherwise ndo yanajenga uncessesary chuki!!!
 
Jamani mtoto aache shule aende msikitini? Tena mara tano! Basi alama za ufaulu zipunguzwe kwa waislamu. Ndiyo maana zanzibar wanafeli sana!!!!!!! Kwani akiinama kwenye dawati na kumshukuru Mungu wake hatamsikia? Jumamosi na jumapili anaendelea na zake tano. Pia mnataka ijumaa isiwe siku ya kazi? Tufanye kazi siku nne tu? Mkifanya ijumaa na wakati wa msikitini mkienda msikitini hamuingii mbinguni? Hapa kuna dalili za uvivu. Nchi hii hata ingekuwa ya kiislamu madai yenu yasingeisha
 
Naogopa sana kuchangia kwenye mada kama hii, maana naweza kula ban ya maisha!
 
Back
Top Bottom