Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Usisikilize majitu majinga yakakutoa kwenye reli infact unatakiwa uwaeleweshe kwa lugha ya staha na watakuelewa tu.
 
Kuna poits hapa zina maana sana na ni kweli.

Hiyo ya kwanza 100%

Ya nne 100%
 
Waislam wana Madra, je nyie Makafiri mnanini?
 
Video ya madrasaa imerekodiwa na muislam. Aliyepeleka habari polisi ni mzazi muislam. Wakristo au dini zingine zinaingiaje hapo? Accountability starts with you msipende kulalamikia wengine mambo yenu wakati wao hawana time na nyie.
 
Udini Hauna afya katika Karne hii ya sayansi na teknolojia
 
Wewe washauri waislam wenzeko bila kinyoshea vidole Imani nyingine maana aliyeenda kumshitaki huyo dogo ni mama wa mtoto ambaye ni muislam
 
Aliyerekodi video ni muislam mwenzenu, aliyeenda kushtaki ni muislam mwenzenu. Nani sasa unamlenga hapa?
 
Duhhh... πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚, kitabu cha wahuni hiki
 
Ukitaka mtoto wako ajifunze ushoga na umalaya, mpeleke madrasa
 
Yepi ambapo ktk ukiristo haupo

UISLAM NI DINI YA KUTUNGA NA HAIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD​


Hakuna mwanadamu ye yote kabla ya ujio wa Muhammad, ambaye aliwahi kuwa Muislamu, wala aliyewahi kuujua Uislamu, kama kuna Muislamu ambaye anaweza kunithibitishia kuwa, kuna mtu aliyewahi kuwa Muislamu, kabla ya Quran kuwepo, basi nitasilimu na kuwa Muislam:-
Angalizo :- Unapotoa ushahidi usitumie Quran, wala kitabu cho chote ambacho kimepatikana baada ya kuja Muhammad, bali nahitaji ushahidi katika vitabu vilivyokuwepo kabla ya Muhammad kuja na Quran, na usichukue matukio ambayo Muhammad ameyaiga kutoka kwa watu wa zamani, kama
a) Kutawadha.
b) kusujudu
c) Kuvaa kanzu
d) Nk.
Na kusema huo ndo uislamu, bali ukisema hivyo, basi uambatanishe na ushahidi kimaandiko, kutoka kwenye vitabu nje ya Quran, iliyokuja mwaka 610 baada ya Kristo, maandiko yasemavyo kuwa kusujudu, kuvaa kanzu, kutawadha ni uislamu, yakipatikana basi leo hii nitasilimu na kuwa muislamu!
ZINGATIA :- kama hautapata ushahidi wa uwepo uislamu au neno Uislamu (Ψ§Ω„Ψ₯Ψ³Ω„Ψ§Ω…) kwenye vitabu vilivyokuwepo kabla ya Quran, basi tambua kuwa umeongopewa kuwa, Uislamu upo tangu zamani za Adamu, maana haiwezekani, watu kama,
Adamu
Habil
Nuhu
Ibrahimu
Lutu
Sara
Ishamael - Ismail
Isaka - Is-haqa
Yakobo Yaqubu
Yusufu
Yunusi -Yona
Musa
Haruni
Daudi
Suleiman
Eliya - Ilyasa
Zakaria
Yahya - Yohana
Yesu,
Wasijitambue kuwa wao walikuwa waislamu, mpaka waje kusemewa na Muhammad, mwaka wa 610. Zinduka, ujue kuwa Uislam ni dini bandia na haukuwepo kabla ya Muhammad.
#courtesy of aliyekuwa Ustadh Abel Suleiman Shiliwa ambaye sasa ni Mtumishi wa BWANA Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…