Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa


Mkuu wewe ni mwanamme kweli?
 
Cha ajabu!
Hata haueleweki unamlalamikia nani kwa jina, asiye mwislamu anayepiga vita mfumo wa kuwaandaa watoto wenu kwa njia ya madrasa?

Kama issue ni ya zile mboko za mwalimu wa madrasa kuburuzwa kortini, hapa uwe mkweli.

Yawezekanaje mzazi asiye na mtoto madrasa akafanya hila hizo ulizozilalamikia?

Na je yawezekana mzazi wa mtoto aliyemburuza mwalimu kortini akawa siyo mwislam?

Liweke vizuri jambo hili ili ueleweke.
 
Madrasa sawa iia shule za elimu dunia kuingizwa mambo ya dini siyo sawa tena shule za serikali mambo ya hijabu ni kosa kubwa sana pia hayana faida yoyote zaidi ya kuligawa taifa ....toka hijabu ziingie mashuleni ndiyo kwanza umalaya umeongezeka kwa watoto wa kike
 
Ndio muwafundishe watoto karate na taikwondo?,ndivyo Qur'an inasema?
Kwani kuna tabu gani hapo,hayo ni mafunzo yakuuweka mwili vizuri (ukakamavu),yanaruhusiwa, mbona hata shule za kawaida yapo na hamsemi??,,hali kadhalika kulima,mchakamchaka,kuimba,kuruka kichura,kamba nk
 
KUHUSU WANAWAKE KUKOSA AKILI HASWA AKILI YA UONGOZI MWANAMKE YOYOTE HANA HIYO AKILI YA UONGOZI ...ANAWEZA KUWA NA AKILI ZINGINE ZOTE ILA SIYO AKILI YA UONGOZI .....HAPA NIPO PAMOJA HATA NA MUDI BOY
 
Kama Uislamu unategemea maandiko kwenye Biblia basi hizo madrasa zifutwe hazina maana yoyoteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
KUHUSU WANAWAKE KUKOSA AKILI HASWA AKILI YA UONGOZI MWANAMKE YOYOTE HANA HIYO AKILI YA UONGOZI ...ANAWEZA KUWA NA AKILI ZINGINE ZOTE ILA SIYO AKILI YA UONGOZI .....HAPA NIPO PAMOJA HATA NA MUDI BOY
Hizo zote zipo sahihi sema yeye kaziweka atakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…