Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo. Je, kiislamu iko sawa?

Israel keshasema hataka discussion na magaidi.
 
Unadhani hamas wajinga
 
Hivi akilipuliwa mwili ukawa majivu atakwendaje peponi?

Sema walioandaa hizi dini walitutapeli sana
Unatapeliwa mwenyewe wala hutapeliwi na mtu mwisho wa siku tutafufuliwa na kua wazima na hapa kila nafsi ama mtu atalipwa alokichuma huu mwili kama housing tu kwenye Simu ishu nafsi ndio inayotakiwa
 

Halafu aanze upya mipango ya vita? Bora wammalize mazima.
 
Wote hao ni Waarabu, dini ni wao waliibuni, hivyo wafanye watakavyo, shida, ni pale muafrika ambaye hajawahi kutoka kitaa ila analazimisha watu kwenye hiyo dini ya muarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…