kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Israel keshasema hataka discussion na magaidi.Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.
Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.
Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.
Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel