Kwanini Sinwar amekuwa habari zaidi ya yule aliyekuwa kabla yake?maana kapokea kijiti kwa mda mfupi lakini wengi wameumia zaidi kufa kwake kuliko yule wa kabla yakeKama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.
Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.
Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.
Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Huyu jamaa alikuwa ndio kama Moyo wa HAMAS na alikuwa anapanga mipango akiwa mbali....aliishi mpk Qatar kwa miaka kadhaa huku akitekeleza matukio ya kigaidiKwanini Sinwar amekuwa habari zaidi ya yule aliyekuwa kabla yake?maana kapokea kijiti kwa mda mfupi lakini wengi wameumia zaidi kufa kwake kuliko yule wa kabla yake
Kwahiyo alikuwa na nguvu zaidi kuliko viongozi wake ndani ya Hamas?Huyu jamaa alikuwa ndio kama Moyo wa HAMAS na alikuwa anapanga mipango akiwa mbali....aliishi mpk Qatar kwa miaka kadhaa huku akitekeleza matukio ya kigaidi
Ndio, yeye ndio alikuwa Technician since......Kwahiyo alikuwa na nguvu zaidi kuliko viongozi wake ndani ya Hamas?
Hako ka picha kwenye profile yako, ndio wewe au?1) Nani bwana ko?
2) sifahamu "pd" ni nini.
Wana Msemo wao "we don't negotiate with terrorists" Kumbuka Op Entebbe ,Munich Massacre na nyengine nyingi sidhani intel zote walizonazo washindwe kufikiria kuwakamataKama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.
Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.
Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.
Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Mitandao inazungumzia namna sinwar anavyokamua bikra zake 72 bila kuchoka na kulewa pombe tamu kwenye ile mito mikuuni kweli na hivi sasa mitandao yote duniani,inamzungumza sinwar tu
Ni sahihi inaitwa salat ul ghaib/prayer of absentia huwa anaswaliwa mayit ambaye mwili wake either haukupatikana lakini imethibitika ni kweli amekufa .Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki huyo imamu alivyochachamaa utafikiri anazika kweli
View: https://youtu.be/pbK-wG0BtUQ?si=S2alI_a5UtX3l9r1
Gaza bado pazuri sana, Israel hainafanya kazi ya kutosha. Wanaraha gani hao kuswali huku wakipepewa na feni?? Ona nguo zimefuliwa zipo kwenye kamba zinapepea. Israel wameniangusha sana, wapeleke deone ya king’ora hapo uone wahuni watakavyotoka mita kujisevu hahahahWaislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki huyo imamu alivyochachamaa utafikiri anazika kweli
View: https://youtu.be/pbK-wG0BtUQ?si=S2alI_a5UtX3l9r1
Nchi gani inaweza kupigana na US,UK na German hapa duniani hata Iran peke yake hawezi. Iran hawezi kumuingia Israel kizembe bila sababu ya msingi maana itakua vita Kubwa na hao madingi ataishia kupunguzwa uwezo wake na israel isizurike sana ndio maana anapambana sana hizi proxy zake ziwe imara ili kikinuka apate pa pumulia huku akipanga namna bora yakuwatokawaislam inamana wameshindwa kabisa kabisa kudeal na israeli? Iran yuko wap??
Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.
Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.
Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.
Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Kwa hiyo huyo gaidi sinwar ni mja mwema?!Muislamu akiwa mja mwema hata afe katika mazingira gani na bila kujali maiti imepatikana au haijapatikana na haijalishi amezikwa vipi atakwenda peponi tu.
Bro usiseme waislamu,ukadhani palestina wapo waislamu tu,wapo pia wakristu na wao wanakufa pia,mataifa ya magharibi,america,uingereza,ujerumani,italy wanawapa israeli silaha nyingi na kila aina ya misaada,na inakuwa vigumu sana kupigana na israeli,japo ukweli ni huu,pamoja na silaha zote hizo israeli inapigana na ngo ya hamas ambao wapo kwenye kieneo kidogo tu,na ni wazi wameshindwa kuimaliza ngo hiyowaislam inamana wameshindwa kabisa kabisa kudeal na israeli? Iran yuko wap??
Haswa.Kwa hiyo huyo gaidi sinwar ni mja mwema?!
Hawana jinsi, myahudi amewadhalilishaWaislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki huyo imamu alivyochachamaa utafikiri anazika kweli
View: https://youtu.be/pbK-wG0BtUQ?si=S2alI_a5UtX3l9r1
Anawawahisha kwa mola wao wakapewe zawadi zao zileIsrael keshasema hataka discussion na magaidi.