Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo. Je, kiislamu iko sawa?

Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo. Je, kiislamu iko sawa?

Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.

Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.

Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.

Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Kwanini Sinwar amekuwa habari zaidi ya yule aliyekuwa kabla yake?maana kapokea kijiti kwa mda mfupi lakini wengi wameumia zaidi kufa kwake kuliko yule wa kabla yake
 
Kwanini Sinwar amekuwa habari zaidi ya yule aliyekuwa kabla yake?maana kapokea kijiti kwa mda mfupi lakini wengi wameumia zaidi kufa kwake kuliko yule wa kabla yake
Huyu jamaa alikuwa ndio kama Moyo wa HAMAS na alikuwa anapanga mipango akiwa mbali....aliishi mpk Qatar kwa miaka kadhaa huku akitekeleza matukio ya kigaidi
 
Huyu jamaa alikuwa ndio kama Moyo wa HAMAS na alikuwa anapanga mipango akiwa mbali....aliishi mpk Qatar kwa miaka kadhaa huku akitekeleza matukio ya kigaidi
Kwahiyo alikuwa na nguvu zaidi kuliko viongozi wake ndani ya Hamas?
 
Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.

Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.

Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.

Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel
Wana Msemo wao "we don't negotiate with terrorists" Kumbuka Op Entebbe ,Munich Massacre na nyengine nyingi sidhani intel zote walizonazo washindwe kufikiria kuwakamata
 
Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki huyo imamu alivyochachamaa utafikiri anazika kweli

View: https://youtu.be/pbK-wG0BtUQ?si=S2alI_a5UtX3l9r1

Ni sahihi inaitwa salat ul ghaib/prayer of absentia huwa anaswaliwa mayit ambaye mwili wake either haukupatikana lakini imethibitika ni kweli amekufa .
 
Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki huyo imamu alivyochachamaa utafikiri anazika kweli

View: https://youtu.be/pbK-wG0BtUQ?si=S2alI_a5UtX3l9r1

Gaza bado pazuri sana, Israel hainafanya kazi ya kutosha. Wanaraha gani hao kuswali huku wakipepewa na feni?? Ona nguo zimefuliwa zipo kwenye kamba zinapepea. Israel wameniangusha sana, wapeleke deone ya king’ora hapo uone wahuni watakavyotoka mita kujisevu hahahah
 
Duuh
Wanyoshe tu mikono juu basi
Tatizo lao mibishi sana
 
waislam inamana wameshindwa kabisa kabisa kudeal na israeli? Iran yuko wap??
Nchi gani inaweza kupigana na US,UK na German hapa duniani hata Iran peke yake hawezi. Iran hawezi kumuingia Israel kizembe bila sababu ya msingi maana itakua vita Kubwa na hao madingi ataishia kupunguzwa uwezo wake na israel isizurike sana ndio maana anapambana sana hizi proxy zake ziwe imara ili kikinuka apate pa pumulia huku akipanga namna bora yakuwatoka
 
Kama israel wasingefanya uzembe wa kumuua Sinwar, ilikua bonge moja la asset na ingebadilisha uelekeo wa vita hii.

Wangejaribu at least kumzoom vizuri wangemkamata akiwa hai(wao wakaona wapige 💣)kisha wakamtumia Kama King katika mazungumzo(draft) na Hamas.

Wakikubaliana wanamchoma sindano ya sumu ya kuua kidogo kidogo, kisha wanamwachia.

Kichwa cha sinwan thamani yake ilikua ni sawa na mateka wooote wa israel

Isingefanikiwa Mkuu, hawa watu wanataka kuwa wafia dini "martyrs". Wanataka wafe katika mapigano wakamilishe ibada au nguzo ya kufia imani na msimamo. Kwa siyo Hamas wala Sinwar angekubali "swapping" ya mateka kisa kadakwa au kawekwa kizuizini au anateswa.

Hii ni vita ya "ideology vs existence" yaani mtu anaifia imani yake, yupo tayari kufa ili akamilishe lengo la itikadi yake.

Fuatilia Press ya Hamas kufuatia kifo cha Sinwar, hawajuti wala hawaoni kama pigo kwao, wanasema amefia vitani, amekufa anapigana, hajajitoa uhai, ametolewa uhai kwa iyo ametimiza lengo la kufia iman "Martyrs". Israel anafahamu fika kwamba hatapata mateka hao kwa vyovyote vile. Anajua kwa hakika.

NIRUDI KWENYE MADA: Myahudi hawezi kuwapa mwili wa Sinwar maana kaburi lake itafanyika "Holy place" na sehemu ya kumtukuza na kukuza ideology. US alifanya hivi kwa Osama pia kumzika baharini kuogopa kadhia kama hii.

Haman wanapigania ideology "itikadi" na wayahudi wanapigania uwepo wao yani "existence".
Waarabu hawana la kupoteza, Myahudi akiwamaliza Hamas hapo Gaza na kuigeuza majivu, watoto wa hapo Gaza watakua na wataunda Hamas nyingine na lengo litakiwa lile lile kumuondoa Myahudi juu ya uso wa dunia (Jambo ambalo haliwezekani).
 
Muislamu akiwa mja mwema hata afe katika mazingira gani na bila kujali maiti imepatikana au haijapatikana na haijalishi amezikwa vipi atakwenda peponi tu.
Kwa hiyo huyo gaidi sinwar ni mja mwema?!
 
waislam inamana wameshindwa kabisa kabisa kudeal na israeli? Iran yuko wap??
Bro usiseme waislamu,ukadhani palestina wapo waislamu tu,wapo pia wakristu na wao wanakufa pia,mataifa ya magharibi,america,uingereza,ujerumani,italy wanawapa israeli silaha nyingi na kila aina ya misaada,na inakuwa vigumu sana kupigana na israeli,japo ukweli ni huu,pamoja na silaha zote hizo israeli inapigana na ngo ya hamas ambao wapo kwenye kieneo kidogo tu,na ni wazi wameshindwa kuimaliza ngo hiyo
 
Back
Top Bottom