Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Hayo uliyo andika muham mad aka allah Anakujibu!
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.


إذا كنت لا تؤمن بالكتاب المقدس، فأنت ضائع
'iidha kunt la tuman bialkitab almuqdasi, fa'ant dayie
 
Let the video itself

Let the video itself enlinghten your wrongful thoughts
Anaongea Kikristo Kristo😇🙄😆😆😆
Hathubutu kuongeza hivyo Afghanistan, and the like wangemgeixa qibla...
 

View: https://x.com/OzraeliAvi/status/1820723491580371153
 
Kwasababu huwa hawapo huru kwenye nchi zao wanaishi owa kufuata wengine wakiwa nchi za ulaya wanakuwa huru kuliko nchi zao wanaishi kinafiki kwa kuogopa sheria
Mwanaume ameumbwa awe huru
 
Ndio hiki unachombiwa ni kiherehere kwenye nchi za watu husikii. Si hizo mali wangeenda kuzitafuta na kuzitumia kwao! Kwani shida iko wapi mpaka wang'ang'ane kuishi na London na kutaka wenyeji waishi kama wao
Nani aliyetaka wenyeji waishi Kama wao,hivi huwa mnafikiri!?..wao wazungu walikaa miaka mingapi kwa watu wa ulumwengu wakipora na kutumikisha!?
 


UMEKUWA SIKIO LA KUFA LISILOSIKIA DAWA ; KILA MARA HUWAJIBU HII LAKINI HAMTAKI KUSIKIA

Labda mara hii mtasikiliza


View: https://www.youtube.com/watch?v=Lk62MHtjhoc
 
Hata wewe upo Tanzania nchi ambayo ina waislamu zaidi ya 65%, kwanini huhami
 
Ulaya Marekani ni pesa yako tu nawe una uhuru wa kwenda popote hamia hata Zimbabwe ni hela yako tu, wenye nchi zao wamewapokea ila wewe unayeishi namtumbo unahoji acha wenye hela waende popote duniani hata chini ya bahari au mwezini kelele hatutaki
 
Ulaya Marekani ni pesa yako tu nawe una uhuru wa kwenda popote hamia hata Zimbabwe ni hela yako tu, wenye nchi zao wamewapokea ila wewe unayeishi namtumbo unahoji acha wenye hela waende popote duniani hata chini ya bahari au mwezini kelele hatutaki
Nakubaliana na wewe Apostle! Hoja siyo hiyo, hoja ni wewe kwenda huko huku ukiwaita wenye nchi hiyo ni makafiri, wakati huo huo unazo nchi ambazo si za makafiri ambapo huko ndiko kunakifaa na dini yako!

Namna hiyo mnajikuta mnakula na kitimoto za makafiri
 
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?
 
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?
Ripoti ya mwisho inaonesha wakimbizi wengi kuanzia 2021 kuja 2023 asilimia 70 ya wakimbizi wa kiarabu wamekimbilia Turkiye na Qatar.
Tena Turkiye ndio wamekimbia kwa wingi kama Syria wameunda hadi kitongoji kinaitwa LITTLE SYRIA ndani ya Turkiye.
 
Acha kuokota okota kadi za clinic za Wagonjwa wa ebola na kutumwagia humu!
Toka lini hizo video ni rejea Zako badala ya Quran, Hadith, na miratul muamed??🎤

Wewe hutaki kujifunza unataka ubishi , Tutakwenda TU MWISHO LABDA utaamini , labda uwe wale Bwana Yesu aliwaita wenye mioyo migumu

Kwanza kabisa, ni muhimu kujua kwamba ni ikiwa “Biblia” za leo, pamoja na matoleo yake yote na tofauti za wingi wa “vitabu” vyake na “injili”, zilikuwa Neno Takatifu la Asili la MUNGU Mwenyezi, basi huko haitakuwa na haja ya Quran Tukufu.

Lakini kwa kuwa zimechakachuliwa basi ni wazi hatuwezi kuchukulia kuwa ni Maneno Matakatifu na ya Kimungu ya MUNGU Mwenyezi.

Quran Tukufu ilikuja kuthibitisha Ukweli uliomo ndani ya Biblia.

Mwenyezi Mungu hakuwahi kudai kwamba Biblia ni kamili na 100% ni ya Uungu.

Uislamu ni shahidi kwenye Biblia na inapambanua baina ya ukweli na uongo na ufisadi katika Biblia .

Biblia ni kama KITABU CHA HISTORIA chenye makosa na mabadiliko ya mwanadamu ndani yake.

Chochote kinachoafikiana 100% na Uislamu ni halali, na kitu kingine chochote chenye kutokubaliana na Uislamu hata kidogo kinatupiliwa mbali:
 
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?

Aliyeziharibu hizo nchi ni nani ?? hata hapa kwetu mauwaji ya 1964 yaliyobatizwa jina la mapinduzi yalirabitiwa na Waingereza katika harakati zao za kumsaidia Nyerere kuidhibiti Zanzibar.

Manowari za kivita za Kiengereza zilikuja kuwasaidia wavamizi kutoka Tanganyika , zilikuwepo hapo Prison island
 
Waarabu wengi wako uncivilized hilo liko Wazi hawana elimu na sio wastaarabu kbs hilo ndio tatzo kubwa kwao ,Mwarabu msomi alieelimika hautakuta ana maneno yenye kejeli hvo kamwe, ila hawa waarabu weusi wa Buzuruga na Nyamanoro ndio jau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…