Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Kwa hivyo, hakuna anayejua kuhusu "Injili ya Yohana":

1. Nani aliiandika.
2. Ni watu wangapi waliandika.
3 Ilipoandikwa.
4 Mahali iliandikwa.

Pia, mtu anaposoma injili hii, angeona mara moja kwamba haikuandikwa na Yohana mwenyewe.

Wakristo wanasema kwamba ilikuwa ni Yohana Mtume akiandika kuhusu Yohana Mbatizaji.

Ushahidi katika nukuu hapo juu unathibitisha wazi kwamba huu ni uwongo wa kukata tamaa!

Nawasilisha kwako kwamba hakuna Yohana aliyeandika chochote!

Hebu tuangalie mistari ifuatayo kutoka kwa injili:

"Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani? (Kutoka Biblia ya King James Version, Yohana 1:19)"

Yohana akawajibu, akasema, Mimi nabatiza kwa maji, lakini amesimama mmoja wenu, msiyemjua ninyi;

"Kwa maana Yohana alikuwa bado hajatupwa gerezani. (Kutoka Biblia ya King James Version, Yohana 3:24)"

na kadhalika...

Yeyote aliyeandika injili, je aliteuliwa au kuongozwa na MUNGU Mwenyezi?

Ikiwa ndio, basi mtu huyo ni nani?

Haiwezi kuwa Yohana kwa kuwa ni dhahiri kabisa kutoka kwa aya zilizo hapo juu na nyingi zaidi katika injili yote kwamba Yohana hakuwa mwandishi asilia.

Mtu anapaswa kuwa na upendeleo wa dhihaka na kipofu katika imani ili kukataa hilo.

Kwa hivyo sasa, vipi kuhusu aya hizi maarufu zaidi:

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwako Mungu alikuwa na mamlaka (neno hilohilo la Kigiriki linalotumiwa kumaanisha utawala wa shetani [2] [3]). (Kutoka katika Biblia ya King James Version, Yohana 1:1)"

“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. (Kutoka Biblia ya King James Version, Yohana 3:16)”

Mistari hii ni wazi iliandikwa na watu wa ajabu na si na yeyote wa wanafunzi wa awali wa Yesu.

Kwa hiyo, ni kufuru kuzingatia aya kama za Kimungu na kujaribu kuthibitisha kwamba Yesu ndiye Muumba wa Ulimwengu kupitia hizo.

Uongo wa utatu ulizaliwa kati ya miaka ya 150 hadi 300.

Inawezekana kabisa na kuna uwezekano mkubwa kwamba kanisa fulani liliandika kile kinachoitwa "Injili ya Yohana" kutoka kwa sehemu ambazo walipata.

Ona kwamba kuna "barua" 24,000 au karatasi zilizopatikana ambazo hazikujumuishwa katika Agano Jipya la leo, ambayo ina maana kwamba sehemu zilizotumiwa kuandika "Injili ya Yohana" na vitabu vingine vyote na injili za Agano Jipya zina shaka sana. na hazina uthibitisho wowote kwamba ziliandikwa na yeyote wa wanafunzi wa awali wa Yesu.

Injili ya Yohana iliandikwa juu ya Yohana lakini sio na "Mtakatifu Yohana" wa asili.

Tofauti kubwa na ufisadi mkubwa! Huwezi kuzingatia takataka kama Maneno Matakatifu ya MUNGU Mwenyezi.
Hayo uliyo andika muham mad aka allah Anakujibu!
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

إذا كنت لا تؤمن بالكتاب المقدس، فأنت ضائع
'iidha kunt la tuman bialkitab almuqdasi, fa'ant dayie
 
Let the video itself

Let the video itself enlinghten your wrongful thoughts
Anaongea Kikristo Kristo😇🙄😆😆😆
Hathubutu kuongeza hivyo Afghanistan, and the like wangemgeixa qibla...
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Lakini pili:

Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu wa damu moja ingaweje kuna baadhi ya wachache washika dini ambao hutaka kulazimisha kutaka kushikamana na mafundisho ya chuki dhidi ya wengine

Jambo la tatu, Naipongeza serikali yangu ya TANZANIA, jinsi ilivyo makini hasa katika kusimamia uhuru wa kuabudu na kuwachukulia hatua wowote wenye kutaka kuleta sintofahamu za kidini

Asante TANZANIA kwa kuendelea kusimamia misingi yote ya kulinda Imani zote na kuacha uhuru wa kuabudu, Jambo moja lingine la kujivunia ni kwamba, twaweza kuwa chini kielimu lakini Elimu ihusuyo Dini, tunaimudu vema na haituzingui, waarabu wao waendelee na imani yao isiyotambulika na dini zote hapa nchini, wao kuwa na utamaduni wa kujilipua mabomu na kuleta taharuki

Nikirejea kwenye mada sasa...!

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri

Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?

View: https://x.com/OzraeliAvi/status/1820723491580371153
 
Kwasababu huwa hawapo huru kwenye nchi zao wanaishi owa kufuata wengine wakiwa nchi za ulaya wanakuwa huru kuliko nchi zao wanaishi kinafiki kwa kuogopa sheria
Mwanaume ameumbwa awe huru
 
Ndio hiki unachombiwa ni kiherehere kwenye nchi za watu husikii. Si hizo mali wangeenda kuzitafuta na kuzitumia kwao! Kwani shida iko wapi mpaka wang'ang'ane kuishi na London na kutaka wenyeji waishi kama wao
Nani aliyetaka wenyeji waishi Kama wao,hivi huwa mnafikiri!?..wao wazungu walikaa miaka mingapi kwa watu wa ulumwengu wakipora na kutumikisha!?
 
Hayo uliyo andika muham mad aka allah Anakujibu!
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

إذا كنت لا تؤمن بالكتاب المقدس، فأنت ضائع
'iidha kunt la tuman bialkitab almuqdasi, fa'ant dayie

UMEKUWA SIKIO LA KUFA LISILOSIKIA DAWA ; KILA MARA HUWAJIBU HII LAKINI HAMTAKI KUSIKIA

Labda mara hii mtasikiliza

View: https://www.youtube.com/watch?v=Lk62MHtjhoc
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Lakini pili:

Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu wa damu moja ingaweje kuna baadhi ya wachache washika dini ambao hutaka kulazimisha kutaka kushikamana na mafundisho ya chuki dhidi ya wengine

Jambo la tatu, Naipongeza serikali yangu ya TANZANIA, jinsi ilivyo makini hasa katika kusimamia uhuru wa kuabudu na kuwachukulia hatua wowote wenye kutaka kuleta sintofahamu za kidini

Asante TANZANIA kwa kuendelea kusimamia misingi yote ya kulinda Imani zote na kuacha uhuru wa kuabudu, Jambo moja lingine la kujivunia ni kwamba, twaweza kuwa chini kielimu lakini Elimu ihusuyo Dini, tunaimudu vema na haituzingui, waarabu wao waendelee na imani yao isiyotambulika na dini zote hapa nchini, wao kuwa na utamaduni wa kujilipua mabomu na kuleta taharuki

Nikirejea kwenye mada sasa...!

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri

Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
Hata wewe upo Tanzania nchi ambayo ina waislamu zaidi ya 65%, kwanini huhami
 
Ulaya Marekani ni pesa yako tu nawe una uhuru wa kwenda popote hamia hata Zimbabwe ni hela yako tu, wenye nchi zao wamewapokea ila wewe unayeishi namtumbo unahoji acha wenye hela waende popote duniani hata chini ya bahari au mwezini kelele hatutaki
 
Nakubaliana na wewe Apostle! Hoja siyo hiyo, hoja ni wewe kwenda huko huku ukiwaita wenye nchi hiyo ni makafiri, wakati huo huo unazo nchi ambazo si za makafiri ambapo huko ndiko kunakifaa na dini yako!

Namna hiyo mnajikuta mnakula na kitimoto za makafiri
 
Hukuwahi kuongea la maana.
Huwa unaropokaga tu.
Wahamiaji wa kiarabu hutokea nchi zenye vita SYRIA,LEBANON,IRAQ,YEMEN.
Na ukifuatilia nadhani utaelewa nani chanzo cha machafuko ya hayo mataifa ni hao hao wazungu wenyewe.
Umewahi kusikia mwarabu wa QATAR,OMAN,BAHRAIN,KUWAIT,DUBAI,BRUNEI ana mawazo ya kuhamia Ulaya!??
Nchi za hao wafu zingekuwa hazijaingizwa katika vita basi wangekua kwao wanajenga taifa Lao.
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?
 
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?
Ripoti ya mwisho inaonesha wakimbizi wengi kuanzia 2021 kuja 2023 asilimia 70 ya wakimbizi wa kiarabu wamekimbilia Turkiye na Qatar.
Tena Turkiye ndio wamekimbia kwa wingi kama Syria wameunda hadi kitongoji kinaitwa LITTLE SYRIA ndani ya Turkiye.
 
Acha kuokota okota kadi za clinic za Wagonjwa wa ebola na kutumwagia humu!
Toka lini hizo video ni rejea Zako badala ya Quran, Hadith, na miratul muamed??🎤

Wewe hutaki kujifunza unataka ubishi , Tutakwenda TU MWISHO LABDA utaamini , labda uwe wale Bwana Yesu aliwaita wenye mioyo migumu

Kwanza kabisa, ni muhimu kujua kwamba ni ikiwa “Biblia” za leo, pamoja na matoleo yake yote na tofauti za wingi wa “vitabu” vyake na “injili”, zilikuwa Neno Takatifu la Asili la MUNGU Mwenyezi, basi huko haitakuwa na haja ya Quran Tukufu.

Lakini kwa kuwa zimechakachuliwa basi ni wazi hatuwezi kuchukulia kuwa ni Maneno Matakatifu na ya Kimungu ya MUNGU Mwenyezi.

Quran Tukufu ilikuja kuthibitisha Ukweli uliomo ndani ya Biblia.

Mwenyezi Mungu hakuwahi kudai kwamba Biblia ni kamili na 100% ni ya Uungu.

Uislamu ni shahidi kwenye Biblia na inapambanua baina ya ukweli na uongo na ufisadi katika Biblia .

Biblia ni kama KITABU CHA HISTORIA chenye makosa na mabadiliko ya mwanadamu ndani yake.

Chochote kinachoafikiana 100% na Uislamu ni halali, na kitu kingine chochote chenye kutokubaliana na Uislamu hata kidogo kinatupiliwa mbali:
 
Kwa nini wasiende Misiri na au Iran ambako kuna amani?

Nchi za kiarabu zinapokuwa na migpgoro, si waende kwa wenzao na siyo huko kwa makafiri?

Aliyeziharibu hizo nchi ni nani ?? hata hapa kwetu mauwaji ya 1964 yaliyobatizwa jina la mapinduzi yalirabitiwa na Waingereza katika harakati zao za kumsaidia Nyerere kuidhibiti Zanzibar.

Manowari za kivita za Kiengereza zilikuja kuwasaidia wavamizi kutoka Tanganyika , zilikuwepo hapo Prison island
 
Waarabu wengi wako uncivilized hilo liko Wazi hawana elimu na sio wastaarabu kbs hilo ndio tatzo kubwa kwao ,Mwarabu msomi alieelimika hautakuta ana maneno yenye kejeli hvo kamwe, ila hawa waarabu weusi wa Buzuruga na Nyamanoro ndio jau.
 
Back
Top Bottom