Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Angalia latest stats ni asilimia ngapi ya raia wa marekani ni muslims , ni 1.34 %, most of them wakiwa blacks na immigrants. So bado sana
 
Ronaldi anafata nini arabuni,waislam wa ulaya wanakula hadi kitimoto
Amefata pesa, tena mmemnunua wenyewe akawape ufundi wa jinsi mpira unachezwa ndani yake nyinyi eti mnavutia watalii

Kwani warabu wa Kiislam wamenunuliwa huko au wamejipeleka kama wakimbizi?
 
Angalia latest stats ni asilimia ngapi ya raia wa marekani ni muslims , ni 1.34 %, most of them wakiwa blacks na immigrants. So bado sana
Hao wamarekani ndiyo hawataki kabisa dini, ukiristo wameutupa kule,udwanzi wa Mungu kushuka kuvaa mwili wa kibinadam,asulubiwe ili kutuokoa wameona udwanzi
 
Kwa hiyo inasaidia nini?
Walivamia hizo nchi na mwisho wa siku walipewa walichokitafuta. Kama vile leo Hamas wanavyopewa wanachokitafuta kwa Netanyahu
 
Unamaanisha kwa mwarabu na mwanake wa Syria mwislamu akibahatika kuingia Ulaya ni sawa na kumuona masihi Baba wa Amani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…